kifo

Mwisho wa uhai, mwili kutokuwa na uhai.
  1. R

    JamiiForums Tanzania Asante Maria Sarungi kwa kutetea nchi yako hapo Oslo kuhusu kifo cha demokrasia Tanzania na utekaji

    Well presented with illustrative cartoons to drive the points home. Msikilize dakika kama kuanzia dakika ya 20 za mwanzo Mwanzo: Dakika ya 20:22 Mwisho: Dakika ya 37:26 https://youtu.be/F2RbjppeaKc
  2. JamiiForums Tanzania Yafahaumu matunda hatari zaidi Duniani yanayoweza kusababisha kifo

    Wakuu piteni hapa kujua mawili matatu hivi. Karibuni sana.Matunda ni ovari zilizokomaa, zilizoiva za mimea ya maua ambayo humiliki mbegu na mara nyingi ni chakula kitamu. Ni sehemu muhimu ya mzunguko wa uzazi wa mmea, kusaidia kutawanya mbegu na kuwezesha ukuaji wake. Lakini mara nyengine...
  3. JamiiForums Tanzania Nguvu ya Mafuta: Safari ya Mfalme Faisal na Siri ya Kifo Chake

    Mnamo mwaka 1973, dunia ilishuhudia tukio la kihistoria ambalo lilibadilisha mwelekeo wa siasa za kimataifa na uchumi wa dunia. Mhusika mkuu wa tukio hili alikuwa Mfalme Faisal bin Abdulaziz Al Saud wa Saudi Arabia. Uamuzi Ulioitikisa Dunia Wakati wa Vita ya Waarabu na Waisraeli (maarufu kama...
  4. JamiiForums Tanzania Ni fainali ya kifo.. Imengiliwa mno na watu wenye maslahi binafsi yasiyojulikana nia yake

    #MICHEZO Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi Simba SC Crescentius Magori ameibuka tena baada ya RS Berkane kufuta chapisho lao ambalo walichapisha kuhusu kubadirishwa kwa uwanja. Magori amesema anaendelea kuchunguza baadhi ya masuala yaliyotekea nyuma na ataripoti kila jambo ikihitajika kwa FIFA...
  5. JamiiForums Tanzania π—šπ—”π—­π—˜π—§π—œ π—Ÿπ—” 𝗠π—ͺπ—”π—‘π—šπ—”π—­π—”: CHADEMA yafa kifo cha Mende!

    Mwenye macho haambiwi tazama
  6. JamiiForums Tanzania Kifo cha Thomas Ogle Kilikuwa tishio kwa watawala wa makampuni

    Kifo cha Thomas Ogle, mvumbuzi wa mfumo wa kipekee wa kutumia mvuke wa mafuta badala ya njia ya kawaida ya kuchoma mafuta kwenye injini (vapor fuel system), kimezungukwa na utata mkubwa na nadharia nyingi za njama. Mnamo miaka ya 1970, Thomas Ogle alitengeneza mfumo ambao uliwezesha gari...
  7. JamiiForums Tanzania Nina hofu ya kifo sana

    Wakuu naombeni msaada wa kisaikolojia aisee nina hofu ya kifo hali inayopelekea kutofanya kazi kwa ufanisi na hali inayopelekea nishindwe kujiamini na kushindwa kutafuta pesa kwa nguvu wakuu Wakuu nina hofu kubwa ya kushindwa Sana na nakosa confidence Sana naombeni msaada wa kisaikolojia wakuu...
  8. JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu ni kuwa Wachaga hawawezi kuachia CHADEMA kilaini kama mnavyoamini, Wachaga na maslahi ni kifo tu ndo kinaweza kuwatenganisha

    Ukweli mchungu ni kuwa Mbowe hawezi kuachia CHADEMA kilaini kama mnavyoamini, Wachaga na maslahi ni kifo tu ndo kinaweza kuwaachanisha Hivi mnawajua Wachaga vizuri kweli kwenye mambo ya maslahi?? Au bado hamuwajui?? Wale jamaa bana kwenye mambo ya maslahi akishakuwa king'ang'anizi hawezi kuacha...
  9. JamiiForums Tanzania Kipindi raisi MOI kenya kuna waziri alikuwa anampinga alikufa kifo kibaya na kila mtu aliyefahamu alikufa ndio ujue serikali ni genge chachafu ikifika

    Kuna waziri mmoja kenya ilitokea kupishana na waziri mwenzake sababu ya kuona raisi mambo yake. Lile tukio la mdude mbeya ndio lilimtokea ila kwa vile alikuwa na mguu wa kuku alipambana nao ila walimchukua na kwenda kumtupa porini akiwa amekufa. Kisa kikaanza hapo yani shaidi wa kwanza tena...
  10. JamiiForums Tanzania Watafiti wanasema ukifika mwaka 2050 watu watakuwa na uwezo wa kuepuka Kifo

    🌍 Aiseeeh Dunia bhana πŸ˜‰, Jamani sio mimi ni watafiti hao walichokisema ni chakushangaza kabisa πŸš’....!!!!! πŸ’‘ Mpaka kufikia mwaka 2050 wataalamu wanasema wataweza kufanikiwa kwenye teknolojia inaitwa bio teknoloji, akili. Bandia (AI) na nano medicine yatakayopelekea kifo kuwa Hiari. πŸ’‘...
  11. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA inakufa kifo cha Mende - Nilijua tu

    Baada ya malalamiko ya waliojitoa CHADEMA (Viongozi waandamizi) niliunganisha dots za tabia ya Mheshimwa Tundu Lisu na kuona alikuwa hajaacha uanasheria mhivyo mtambuwe anachokiona mwanasheria kuwa kosa litabaki kuwa kosa na analoliona lipo right litabakia kuwa hivyo. No Reform no Election...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Lissu akifa leo wauaji ni serikali ya Samia

    Huo ndiyo ukweli. Kwanza mnafungulia mtu kesi ya kunyogwa kwasababu kawazidi kipaji cha kujieleza na uzalendo. Akifa huko jela kwa mashtaka ambayo ni ya upuuzi Mama Samia na serikali yake hawatakuwa na pa kukimbilia. Tunajua kesi zote za kisiasa na maagizo kutoka juu. Maana yake ni maagizo ya...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Wakati wa tetesi za kifo cha Magufuli; CHADEMA badala wapenyeze agenda ya mabadiliko walikuwa bize wanasherekea mitandaoni

    Chadema chama ambacho ni kama kijiwe cha kupiga story kisichokuwa na strategy yeyote ile Namna chadema wasichojua wanachopigania angalia hiki kisa "kifo cha magufuli- baada ya tetesi za kuwepo kwa kifo cha magufuli week moja na nusu kabla haijatangazwa pale waziri mkuu kashitisha ziara mbeya...
  14. JamiiForums Tanzania Raia yeyote wa Uchina au mgeni angefanya uharibifu kwa watoto wa kichina namna hii hukumu yake ingekuwa kifo .

    Watoto hawana hatia, they are innocent. Wanataka wajaribu kila jambo. Haya madude yanatumia AI , yangiingia kichwani effects zake ni zaidi ya mapepo buku yaliyowaingia nguruwe enzi za Yesu. Nimewaona watu vijana kwa wazee waliochakazwa na haya madude mpaka wakachakaa. Serikali je, Kodi ni muhimu...
  15. JamiiForums Tanzania Ukitambua kifo jua umetambua maisha

    Huu Ndio Mwisho Wa Miili Yetu Sisi Ni Wapita Njia Tu Katika Hii Dunia Sio Mahali Pa Kujiona Mbora Kupita Mwenzako Eti Kisa Unaishi Maisha Mazuri Ukajiona Mbora Hapana Sote Mwisho Wetu HuuπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ Tuombe Mwisho Mwema Na Sote Tuingie Katika Pepo Yake.
  16. JamiiForums Tanzania Jessica Magufuli: Nilipata taarifa za kifo cha baba kupitia mitandao ya kijamii

    Akihojiwa kupitia Ayotv mtoto wa Hayati John Magufuli , Jessica Magufuli, amesema kuwa taarifa za kifo cha baba yake alizipata wakati huo akiwa Dodoma kupitia mitandao ya kijamii kama watanzania wengine walivyopata.
  17. JamiiForums Tanzania Nabii aliyetabiri kifo cha JPM ametabiri haya Uchaguzi Mkuu 2025

    https://youtu.be/ZRtV1GTdV3c?si=FZ-HmvFAe2Ezv5Tr Nabii Rolinga alitoa unabii wa kifo cha JPM miezi 3 kabla na ikatokea to the dot. Msikilize unabii wake tena kuhusu Chaguzi Mkuu wa 2025 na kitakacho tokea. Bado Mungu anatumia watu wake. Tatizo ni kibri cha Watawala wa CCM...
  18. JamiiForums Tanzania Kifo cha Papa kinatukumbusha Mungu ndio mtawala. Hofu zote zipelekwe kwa Mungu sio mtu au kipngozi ambaye ni mavumbi

    Mungu anatwala. Haugui Hafi Hachoki Hazimii Hatishwi Matendo yote ya heshima na inada uyaelekezwe kwa Mungu asiyekufa. Viongozi wa kidini na kiserikali wapewe heshima za kibinadamu. Heshima kuu irudi kwa Mungu Muweza wa Yote. Kwa Mujibu wa Biblia. Baba mtakatifu (Yohana 17:11) sio mtu. Ni...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Mtu alie nusurika kifo ktk siasa acheni kumsonga mtalitesa Taifa mtazitesa nafsi zenu

    Nawaomba serikali ya jamuhuri ya muungano kutambuwa mh Lissu sio mwanadam ila ndani yake ana nguvu za ziada baada ya jaribio lakutaka kumuua ndani ya mji mkuu dodoma kushindwa bila shaka mnakumbuka yale yalitokea ambayo hayakuwahi tokea tangu tupate uhuru. Huwotaji jicho la tatu kuona haya ila...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Kifo ni sehemu ya mpango wa Mungu

    Kifo ni sehemu ya mpango wa Mungu Qur'an inasisitiza kuwa kifo ni mchakato wa kawaida uliopangwa na Mwenyezi Mungu kwa kila kiumbe hai. (Surah Aal-Imran 3:185) (Surah Al-Mulk 67:2) 2. Hakuna anayeweza kuepuka kifo Hata Mitume na watu wema hawawezi kuuepuka wakati wake ukifika. (Surah...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…