Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imewekwa Haki kwa Watanzania wote kuwa na uhuru wa kuabudu na kufanya Ibada.
Tanzania pamoja na kutokuwa na dini ila Wananchi wake wamepewa Haki ya kuabudu na kufanya Ibada na Sheria Kuu ya Nchi ambayo ni Katiba.
Sio hivyo ili kuweka msisitizo wa...
Akiongea mahakamani leo Tundu Lissu ameeleza kuwa licha ya kuwa hajahukumiwa lakini anakaa upande wa watu waliohukumiwa kifo katika gereza la ukonga.
"Gereza la Ukonga lina sehemu mbili, kuna sehemu amabayo wafungwa wote waiohukumia miaka 30, mahabusu...... wanatakiwa wakae. Halafu kuna eneo...
https://www.youtube.com/live/oU5eT7Dimu0?si=BYYHRNCBHOz_0_ye
Siku hazikawii kufika, usikilizwaji kesi ya Lissu huo umewadia. Kama mnakumbuka wakayi uliopita upande wa mashtaka walisema wanahitaji muda zaidi kukamilisha upelelezi na wakaambiwa tarehe itakayopangwa kutakuwa hakuna nafasi ya hiki...
Ndugu zangu Watanzania,
Nilikuwa naona mahakama ingefanya na kutoa maamuzi ya kuendesha kesi ya lissu kwa njia ya mtandao. Hii ni kutokana na sababu mbalimbali za msingi. Kwanza imeonyesha Wafuasi wa CHADEMA wamekuwa wakitaka kuhudhuria mahakamani kusikiliza kesi ya kiongozi wao. Wakati huohuo...
Askofu Mkuu wa Makanisa ya SPCT na Rais wa Umoja wa Maaskofu, Wachungaji, Mitume na Manabii na Madhehebu ya Kikristo Tanzania, Askofu Mussa Mlawi, amevitaka vyombo vya utoaji haki nchini kuharakisha usikilizwaji wa kesi zinazomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, na kuhakikisha suala hilo...
https://www.youtube.com/watch?v=6Z3BEm0TZp0
Freddy Chacha Akieleza kilichowatokea baada ya kukamatwa na kupelekwa Mkuranga waliambiwa wanywe maji yaliyokuwa na sumu kwa sababu wameshindwa kumuheshimu mama aliyewaletea maji safi. Amesema pia ana ushahidi wa video jinsi walivyochkuliwa na polisi...
Serikali (simaanishi CCM) labda walikuwa wapo sahihi kuweka hii kesi online, ili kumuhakikishia usalama Tundu Lissu, kwasababu kwa sasa ni 'red line' - kiongozi mwenye ushawishi kwa watanzania kuliko yeyote; hivo endapo kikitokea chochote cha kumdhuru, itaweza kuleta shida kubwa sana, kuanzia...
Kamanda wa Polisi Kanda maalum ya Dar es salaam Jumanne Muliro amejibu madai ya wanaharakati wawili kutoka Uganda, Agather Atuhaire (Uganda na Boniface Mwangi (Kenya) kuwa waliteswa walipokuwa Tanzania, akisema hayo ni maoni yao na kama wana malalamiko waende kushitaki kwenye mamlaka husika...
Kwa haya yanaondelea hakuna mskitini wala kanisani mkasema kutakuwa na usalama na sehemu ambazo zitakuwa zinawindwa na kuwekewa maaskari ni zile nyumba za ibada ambazo zinaeleza mwenendo wa nchi swala utekaji na uwongozi usiopenda wananchi.
Tarajieni kuona mabunduki na silaha nzito pamoja na...
Upande wa mashtaka hauna ushahidi wa kumtia hatiani Tundu Lissu katika kesi ya uhaini, au ile nyingine.
Sasa wameamua kumtafutia mashtaka mengine marahisi ili angalau waweze kumfunga.
Ndio maana ukaona leo wamefanya makusudi kumuingiza Lissu mahakamani wakati Hakimu anaitisha kuanza kwa kikao...
Johnson Mgwabati
Mtaalaam mmoja wa sheria Albert Venn Dicey aliwahi kutafsiri dhana ya Utawala wa Sheria (Rule of Law) kuwa ni “kufuata sheria kama zilivyo.”
Lakini bingwa mwingine wa masuala ya uendeshaji wa makosa ya jinai, utetezi na ushahidi, Prof Abdallah Safari, anasema katika andiko...
Tujiulieze ni kwanini barua inayodaiwa kuwa ni ya kulifunga kanisa la Gwajima itokewa siku ambayo Lissu anafikishwa mahakamani?
Majibu: Hii ni dalili kesi ya Lissu haiwezi kudumu muda mrefu.
Ni wazi watawala hawapendi mjadala kuhusu hii kesi na hivyo ni swala la muda tu kabla hii kesi haijafutwa.
Tatizo Halisi la Afrika: Si Ukosefu wa Rasilimali, Bali Ni Ukosefu wa Maadili Miongoni mwa Viongozi
Je, tatizo la Afrika ni la kiuchumi, kiutamaduni au kisiasa? Je, ni ukosefu wa vipaji au rasilimali? Au ni bahati mbaya ya kihistoria? Maswali haya yanaulizwa kila mara, lakini jibu halisi...
Leo hii nimejaribu kufuatilia kesi hii nimegundua uelewa wa wanasheria wa utetezi umepwaya sana lkn kongole kwa upande wa Jamhuri
Siwezi eleza wapi wamepwaya lkn bila huruma ya SSH kama mama naona jamaa IDU na uenyekiti wake atastaafia akiwa gerezani
Tukutane 16/06,hivi hao wanasheria ndio...
habari, mnaruhusiwa kucheka
kwa nini wananchi mnalipuuzia kuangalia bunge lenu mnaniachia mimi peke yangu na makarani wa bunge pekee(hawazidi 10)?
hii haikubaliki 😂
Watanzania tunatakiwa kuliangalia bunge letu namba za views zipande pale mjini YouTube.
haiwezekani kesi ya Lissu izidi Bunge...
ILe kesi ilivyoisha tu tarehe 19, May ilifutwa!l na wote waliokuwa wanarusha pia iliondolewa. Nadhani kimemo kilipita kikiwataka wote waondoe. Kwa waliobakisha kama Global ilikuwa ni ile video ya nje pekee lakini ndani ya chumba cha mahakama iliondolewa.
Nilitaka kuweka uzi lakini waliirudisha...
Waandishi wa habari zaidi 15 kwa nyakati tofauti wamezuiwa kuingia Mahakamani na kuamriwa kukaa mbali na viunga vya Mahakama ya Kisutu, ambapo wameambiwa kuwa wameruhusu waandishi wa habari 10 pekee kuingia ndani.
Mmoja ya waandishi ambaye amekumbana na changamoto hiyo ameeleza "Wanasema ni...
Leo ni wakati mwingine tena wa kusikiliza kesi zinanzomkabilo Tundu Lissu.
Nini kitajiri, tutarajie kusikia habari mpya ya Lissu kuachiwa?
Wacha tuone nini kitajiri.
https://www.youtube.com/live/uUHWvriUjLw?si=TwsNHUnhRe8mu8vl
====================================
Mwenyekiti wa CHADEMA...
Lissu aachiwe huru au kesi iharakishwe.
Halafu Chadema na CCM warudie mazungumzo ya reconciliation in a typical 10-point agreement plan of action ( well known in conflict resolution talks)ambayo preferably yahudhuriwe na viongozi wa JWTZ.
PIa Uchaguzi Mkuu ufanyika kwa kuwashirikisha JWTZ...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.