kesi ya lissu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    Wakili Maduhu: Mahakama ilikiuka Katiba kumhukumu Lissu kwa kosa dogo

    Wakili Maduhu amewasilisha upinzani mkali wa kisheria akieleza kuwa matumizi ya dhana ya "kosa dogo" katika uamuzi wa mahakama yalikabiliwa na upungufu mkubwa. Alifafanua kuwa ili mahakama iweze kumtia hatiani mtuhumiwa kwa kosa dogo, sheria inaweka sharti la kuwepo kwa masharti manne...
  2. tucker carlson

    Anna Henga LHRC: Lissu kuzuiwa kuona mashahidi wake kuliathiri haki yake ya kujitetea

    Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Anna Henga, amesema matumizi ya mashahidi wa kificho katika kesi ya Tundu Lissu yaliathiri haki ya mshtakiwa kujitetea kikamilifu. Soma Pia: Anna Henga LHRC: Kuteswa kwa waangalizi wa kimataifa kwenye kesi ya Lissu...
  3. tucker carlson

    Anna Henga LHRC: Kuteswa kwa waangalizi wa kimataifa kwenye kesi ya Lissu kumedhoofisha taswira ya Tanzania kimataifa

    Wakuu, Akizungumza na waandishi wa habari, kiongozi Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu Anna Henga (LHRC) ameeleza kuwa kituo hicho kimesikitishwa na matukio ya kukamatwa, kuteswa na kurudishwa makwao kwa waangalizi wa kimataifa waliofika nchini kufuatilia mwenendo wa...
  4. DR HAYA LAND

    Nahisi haya matukio yanayo trend ni yakupangwa ili kuua attention ya watu kujadili kesi ya Lissu haiwezekani watu wote wajadili video za ngono!

    VITA YA KUTAWALA AKILI ZA WANANCHI! Inashangaza kuona jinsi mjadala wa video za ngono za mwanafunzi wa sekondari unavyoweza kutawala mitandao ya kijamii, wakati kuna masuala mazito ya kitaifa yanayohitaji ufuatiliaji wa wananchi, ikiwemo kesi ya Tundu Lissu. Tujiulize maswali magumu: Kati ya...
  5. Cute Wife

    Kesi ya Lissu ina nyaraka mbili za Hukumu! Ipi Sahihi na ipi ni Batili?

    Baada ya hukumu kusomwa mahakamani, lazima pawepo na nyaraka rasmi inayoonyesha kilichofanyika na kilichoamuliwa kwa ajili ya kumbukumbu. Nyaraka hiyo ndiyo msingi unaotumiwa iwapo pande husika zitataka kurejelea shauri au kuanzisha mchakato wa rufaa. Nyaraka hizi zikoje? Hukumu ya Kwanza...
  6. BIOTOXINS

    Kwa nini hukumu ya kesi ya Lissu ilivuja? Kwetu ni furaha, Machawa huzuni

    Hapa ndipo ninapoanza kupata matumaini kwamba mambo yanayojiri huko juu si mepesi. Taarifa zinapovuja kuhusu jambo nyeti kama hili, kwetu ni fraha mambo ni moto lakini hutufanya tutafakari kwa kina. Kwa kawaida, taarifa za ndani zinapovuja kuna maswali kadhaa ya kujiuliza: Hutakiwi ...
  7. Samia atosha tukutane2030

    Mahakama ya Tanzania inatoa haki. CHADEMA wanajua hili ndio maana walipeleka mawakili kwenye kesi ya Lissu

    CHADEMA ni chama cha kulaumu tangu 2000. Chaguzi hazina haki kwakuwa tume si huru lakini wamesahau kuna kipindi bunge lilijaa wabunge wa CHADEMA na vyama vingine. Mahakama haina haki lakini mmoja wao akiyakanyaga tu akifikishwa mahakamani CHADEMA wanajazana kwenye corridor za mahakama. Hakuna...
  8. C

    Wakili Addo November: Hukumu ya Tundu lissu imeonesha uhuru wa mahakama

    Wakili Mwandamizi, Addo November, amesema uamuzi wa Mahakama Kuu katika kesi namba 19065 iliyokuwa ikimkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, unaonesha uhuru wa Mahakama nchini katika kusimamia utawala wa sheria. Akizungumza katika Mahojiano Maalumu na...
  9. C

    Boniface Mwabukusi: Hii ni siku ya aibu kwa utawala wa sheria nchini Tanzania

    Sisi ni nchi inayofuata mfumo wa Common Law, siyo mfumo wa Civil Law Katika mfumo wetu, Mahakama ni mwamuzi huru na asiyeegemea upande wowote (impartial adjudicator), siyo mpelelezi, siyo mwendesha mashtaka, wala siyo mtunga mashtaka. Lakini kwa hali ya kushangaza, leo tunakutana na Mahakama...
  10. C

    Jamhuri yaiomba mahakama Tundu Lissu apewe adhabu kali

    Upande wa Mashtaka umeiomba Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, kumpa adhabu kali Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Antiphas Lissu, baada ya kukutwa na hatia ya kosa la uchochezi, ili iwe mfano na onyo kwa watu wengine wenye nia ya kuvuruga...
  11. 5

    Mtandao wa WhatsApp na Facebook haupatikani. Je, ni kwasababu ya kesi ya Lissu?

    Wadau wa ukumbi huu naomba kuripoti whatsapp na facebook kama zimefungiwa au ni mitambo yangu tu Natanguliza shukurani. Updates ya kesi ya Lissu - bonyeza hapa
  12. C

    Mahakama yamtia hatiani Tundu Lissu kwa kosa dogo la uchochezi

    Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, imehitimisha kesi ya uhaini iliyokuwa ikimkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, kwa kumwondolea shitaka kuu la uhaini huku ikimtia hatiani kwa kosa dogo la uchochezi kinyume na Kifungu cha 390 cha Kanuni ya Adhabu. Katika...
  13. C

    Mahakama: Maneno ya Lissu hayathibitishi nia ya kutenda uhaini

    Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Dar es Salaam imesema upande wa mashtaka umeshindwa kuthibitisha kiini cha pili cha kosa la uhaini wa kuitishia Serikali linalomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu. Uamuzi huo umetolewa leo Ijumaa, Novemba 6, 2026, wakati mahakama hiyo ikiendelea kusoma...
  14. Q

    Lissu hatopatikana na kosa la uhaini, ataachiwa halafu atakamatwa tena kwa kosa la uchochezi

    Lengo ni kufungwa kwa miaka mitano au zaidi ili asishiriki siasa hadi kipindi cha Samia kipite. Asalaam aleikumu. Update ya hukumu ya kesi ya Uhaini inayomkabili Tundu Lisuu unaweza kuifuatilia hapa
  15. Cute Wife

    MAGAZETI NOVEMBA 6: Vyombo vya Vya Habari na Hukumu ya Tundu Lissu anayekabiliwa na Kesi ya Uhaini

    Hukumu ya Tundu Lissu inaenda kusomwa leo November 6, 2026, tukio kubwa ambalo kila Mtanzania, mwanademokrasia, mpigania haki na mpenda haki, uhuru wa mahakama, uhuru wa maoni, kukusanyika na uraia kwa ujumla anataka kujua litaenda vipi. Ni kama wakati ule wa skendo za Richmond, Escrow na...
  16. AI BRAINFULL

    Hakuna chombo cha habari cha hapa Tanzania kilichotambua kama leo mahakama ya Tanzania inaweka rekodi

    Sio MAGAZETI, RADIO, WALA TV. zote kimya wapo na habari zao za hovyo vyombo vichache tu vimedonoa habar zake. HALAFU anatokea popoma anasema zifanywe tafiti kwanini watu hawaziamini media za Tanzania!
  17. Yoda

    Ushoga ni habari kubwa wiki hii kuliko hukumu tarajiwa kesi ya Lissu!

    Hili jambo linapaswa limfikirishe kila mwanachadema ambaye bado anaendelea na harakati nyakati hizi. Wiki hii watu wanajadili ushoga zaidi na kwa kiasi fulani uchaguzi wa Marekani. Ni msiba mkubwa kwa taifa.
  18. K

    Balozi wa Marekani Tanzania kuhusu kesi ya Lissu

    Kuhusu kesi fake ya Lissu
  19. C

    Anaandika Wakili Paul Kisabo: Nimetoka Ukonga kuzungumza na Tundu Lissu. He is fine na anawasalimia wote

    I remain optimistic about tomorrow but am also prepared for the worst, so if the best comes, I will go straight to Arusha to take my brother home. If the worst happens, then the struggle will continue. It will not be the end of the world; it will just be a new chapter in the struggle for...
  20. Wauzaji wa Container Tz

    Show ya miaka 30 ya Bongo fleva Mbeya tarehe 07 inaweza ikaathirika kwa njia hasi endapo kutakuwa na maamuzi tofauti kesho katika kesi ya Lissu?

    Ni muhimu management yao wakatanzama Hilo jambo either wasogeze show mbele au mahakama imuachie huru Lissu kesho Kinyume na hapo inaweza kuibua tension, hasira n.k nakupelekea show yao kuharibika. Maana Mbeya ni Moja ya mkoa wa kisiasa ambao upinzani Wana nguvu kubwa sana.
Back
Top Bottom