Mheshimiwa Waziri Mkuu,
Sisi, wamiliki wa mashamba katika eneo la Makomero, Igunga Mjini, Mkoa wa Tabora, tunawasilisha kwako ombi hili kwa heshima kubwa tukiiomba Serikali kupitia Ofisi yako iingilie kati na kuwezesha uchunguzi wa kina kuhusu suala la matumizi na umiliki wa mashamba katika...
WAMILIKI WA MASHAMBA – KATA YA MAKOMERO
IGUNGA MJINI – TABORA, TANZANIA
Tarehe: 17 Septemba 2026
KWA:
MHESHIMIWA WAZIRI MKUU
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Ofisi ya Waziri Mkuu
DODOMA
YAH: OMBI LA SERIKALI KUPITIA OFISI YA WAZIRI MKUU KUINGILIA KATI NA KUCHUNGUZA MGOGORO WA MASHAMBA KATIKA...
Sisi wakazi wa Jiji la Tanga, Kata ya Masiwani, Mtaa wa Tanzanite, tunaomba mamlaka husika zitusaidie kukarabati na kuboresha daraja la Kanisani.
Tumekuwa tukipata changamoto kubwa kuvuka katika maeneo mawili, Daraja la Kanisani na Daraja la Chini Mnarani, hasa wakati wa mvua. Madaraja haya...
Naomba nitoe kero yangu kwa mkuu wa shule na Makamu mkuu wa shule ya Sekondari ya Wasichana ya Dr. Tulia, Mbeya
Kero; Hawahudumii watu kabisa (wageni wanaofika) ,watu wanakwenda shuleni kwa shida mbalimbali lakini wanaambiwa na mlinzi, 'wahusika bado hawajafika', lakini kiuhalisia wahusika wapo...
Nimekutana na changamoto wakati wa kujaribu kujiunga na Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT), na jambo ambalo limenipa kero zaidi ni kukosa msaada kupitia njia rasmi za mawasiliano zilizowekwa na chuo.
Nimejaribu kupiga namba za simu zilizowekwa kwenye tovuti yao kwa ajili ya masuala ya...
Kumekuwa na malalamiko ya watumiaji wa mabasi yaendayo haraka (BRT), kuhusu ukubwa wa nauli za mabasi hayo na kutokuwepo kwa tiketi za muunganisho wa safari.
Soma pia: Changamoto ya nauli za mabasi ya Mwendokasi (DART/UDART) na kero ya tiketi zisizo na muunganiko wa ruti (Gerezani - Kimara -...
Barabara ya Mwenge, ambayo ni miongoni mwa makutano makuu na muhimu zaidi jijini Dar es Salaam, inaendelea kushuhudia msongamano mkubwa wa magari, hasa wakati wa asubuhi na jioni. Eneo hili linalounganisha Barabara ya Ali Hassan Mwinyi, Bagamoyo, na Sam Nujoma ni kiungo muhimu sana cha usafiri...
Wananchi na wanunuzi wadogo wa felo katika eneo la Mgodi wa Msasa, Runzewe, Geita, tunaomba msaada wa mamlaka husika kutokana na changamoto kubwa inayotukabili katika shughuli zetu za kila siku za kujipatia kipato.
Kwa kawaida, tunaponunua felo kutoka migodini, tunapeleka kwenye Steka kwa ajili...
Habari wana-JamiiForums,
Hivi karibuni, tumeshuhudia tukio ambalo limeacha maswali mengi kuliko majibu kuhusu mwelekeo wa usalama wa nchi yetu. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, ameingia kwenye vichwa vya habari baada ya kuwaita wasanii na maarufu wa mitandao ya kijamii na...
Wadau, naomba uzoefu wenu kuhusu TRA.
Nimeona niwashirikishe jambo ambalo nimekuwa nikikutana nalo katika shughuli zangu za biashara. Kuna baadhi ya watumishi wa TRA ambao, wakati wa kushughulikia masuala ya kikodi au ukaguzi, wamekuwa wakinipa hisia kwamba bila kutoa "Rushwa" au “kitu kidogo”...
Imekuwa ni tabia ya muda mrefu kwa baadhi ya daladala jijini Mwanza kufupisha route nyakati za usiku, hali inayowaacha abiria kwenye maeneo ambayo siyo vituo vyao vya mwisho.
Kwa mfano, jana nilipanda daladala kutoka Kiloleli, ambapo konda alieleza kuwa gari hilo linaishia Kona ya Bwiru. Hata...
Habari zenu Wana-Jukwaa,
Naandika uzi huu kuwasilisha kero inayowakabili wananchi na wasafiri wa kila siku wanaotumia Mabasi ya Mwendokasi (DART) katika korido ya Morogoro Road, kuanzia Kivukoni, Gerezani, Kimara hadi Mbezi.
Tunatambua mchango mkubwa wa usafiri wa mwendokasi katika kupunguza...
Naandika uzi huu kufikisha kwa CEO na Uongozi wa Stendi Kuu ya Mabasi ya Magufuli (Mbezi Luis) baadhi ya kero zinazowakabili wananchi na wasafiri wanapotumia huduma za stendi hiyo.
Sisi kama wananchi hatupingi kulipa TSh 300 za kiingilio, kwa kuwa tunaelewa kuwa tozo hiyo inalenga kuchangia...
Anonymous
Thread
bus
bus terminal
kero
magufuli
magufuli bus terminal
unyonyaji
vyoo
wizi
Wananchi tunaotumia usafiri wa umma, hususan wakazi wa Buza, tunakabiliwa na kero ya kutozwa nauli tofauti na bei elekezi.
Kwa mfano, nauli kutoka Mnazi Mmoja hadi Buza ni Shilingi 700, lakini baadhi ya magari yanapofika kituoni Buza huishia mwanzoni mwa kituo. Abiria wanaopanda hapo hutozwa...
Nimezaliwa mwaka 1997, na Ilala ilikuwa sehemu nzuri sana kwa watoto kuishi na kukua kwa sababu ilikuwa karibu na maeneo mengi ya kucheza, huku miundombinu ikiwa tayari imefika maeneo hayo.
Hata hivyo, baada ya zile kota za pale Karume kuvunjwa na kujengwa Uwanja wa Karume wa mpira, pamoja na...
Naomba kuwasilisha kero yangu inayohusu kuunganishwa kwa umeme wa REA Kijijini kwetu IGONYAMU KATA YA IWINDI MBEYA DC.
Baada ya mda mrefu wa kusubiri kuunganishiwa umeme kijijini kwetu na wanakijiji kujitolea kuchimba mashimo na kubeba na kusimika nguzo kwa umbali mrefu kwa nguvu ya wanakijiji...
Anonymous
Thread
baada
kerokero ya umeme
kijijini
mbeya
mda
mrefu
naomba
nguzo
rea
umeme
umeme wa rea
yangu
Ndugu Watanzania, kumekuwa na malalamiko kuhusu ukiukwaji wa haki za wajawazito kupata huduma za afya, ambapo baadhi yao wanalazimishwa kulipia vipimo ambavyo vinapaswa kutolewa bila malipo.
Vipimo vinavyodaiwa kulipishwa ni pamoja na:
Hemoglobin (HB) – kipimo cha kiwango cha damu.
ABO/Rh –...
Mimi ni mkazi wa Chalinze, Mtaa wa Nero, Darful. Tunaendelea kukabiliwa na changamoto ya ukosefu wa maji mara kwa mara. Wakati mwingine tunakaa hadi mwezi mzima bila kupata maji.
Hadi ninapoandika malalamiko haya, tumekaa takribani wiki mbili bila maji, bila kupewa taarifa yoyote kutoka Idara...
Habarini za asubuhi wana jukwaa,, niende moja kwa moja kwenye mada yangu:
Hivi ninyi watu au tuseme wateja mnao fika ofisini kwa mtu/dukani na kuanza kupepesa macho yako huku na kule kutafuta kitu flani na baadae kuondoka kwa kujisemea kwamba kitu hicho hakipo huwa mnajielewa kweli?, kwanini...