kero

  1. K

    KERO Matokeo ya Diploma UDOM yamechelewa Wanafunzi tupo kwenye hatari ya kushindwa kuomba kujiunga na masomo ya Shahada

    Wahitimu wa ngazi ya Diploma kwa mwaka wa masomo 2025/2026 tunakabiliwa na changamoto ya kushindwa kuomba nafasi za masomo ya Shahada kwa mwaka huu kutokana na matokeo yetu kutokuwa yamewekwa kwenye mfumo hadi sasa. Hadi wakati huu, bado hatujapewa taarifa rasmi kuhusu sababu ya kuchelewa kwa...
  2. F

    KERO Kero na Dhuluma UDOM, Wanafunzi Wateseka!

    UDOM KUNA SHIDA SAUTI YA WANAFUNZI INAPASWA KUSIKIKA 👉Kero ya Kwanza: Madeni Yasiyoeleweka na Kufukuzwa Chuo Wanafunzi hawadaiwi ila wanawekewa madeni kwenye akaunti zao kwa makusudi pesa ambazo hawaelewi chanzo chake na matokeo yake huwekewa "withheld". Baada ya muda mrefu, hutolewa barua ya...
  3. peno hasegawa

    TRC: Mnatafutwa Jf kujibu tuhuma au hii Kero za SGR kubadili ratiba ni faida ya wamiliki wa Mabasi au serikali! Kukaa kimya sio mnamuaibisha Rais

    Sikilizeni ukweli wa hali halisi!
  4. K

    KERO HALI HALISI TEMDO: Mishahara, Increment na Madeni ya Watumishi

    TEMDO (Tanzania Engineering and Manufacturing Design Organization) ni Shirika la Umma Tanzania linalojikita katika usanifu wa mashine na mitambo, uhandisi wa bidhaa, utengenezaji wa prototypes na teknolojia za uzalishaji viwandani. Pamoja na majukumu hayo, kuna changamoto kadhaa zinazowakabili...
  5. A

    KERO Tunashindwa kupata huduma kupitia mfumo wa Madini Portal. Tunaomba suala hili lishughulikiwe haraka

    Tunaomba kuwasilisha malalamiko kuhusu changamoto ya kushindwa kupata huduma kupitia mfumo wa Madini Portal, hali ambayo imekuwa ikisababisha usumbufu na hasara kwa waombaji na wadau wa sekta ya madini. Madini Portal ni mfumo muhimu unaotumika kutoa na kufuatilia huduma mbalimbali zinazohusiana...
  6. A

    KERO Basi la RUKSA la Mwanza - Tanga limesababisha mzigo wangu wa Dagaa kuharibika

    Nilituma mzigo wa dagaa kutoka Mwanza kwenda Tanga kupitia kampuni ya basi la RUKSA. Mzigo huo ulipakiwa kwenye basi, lakini baada ya siku tatu ndipo ulipofika Tanga ukiwa umeharibika na kuoza. Hii ni changamoto kubwa kutokana na ucheleweshaji usio na sababu za msingi, kwani dagaa ni bidhaa...
  7. O

    Jambo linalokera hata wewe una lako ila pia jitahidi usiwe kero kwa wengine

    kero ni kitu kinachokera sijatoa tafsiri lakini kila mtu ana kero kwa wengine na yeye pia anaweza kerwa. kama unakera jua unakerwa pia. je, ni kero gani inakukera sana inaweza kuwa moja au mbili n.k. YANGU: UNAMWITA MTU NJOO AU KARIBU TULE . UNASHANGAA KAENDA CHOONI, AU ANAPENGA KAMASI...
  8. mpasta

    KERO YA UCHACHE WA VYOO-AIRPORT MWANZA

    KERO YA VYOO UWANJA WA NDEGE MWANZA - WENYE MAMLAKA FANYENI KAZI Leo nimepata fursa ya kushuhudia hali ambayo, kwa maoni yangu, inahitaji hatua za haraka katika Uwanja wa Ndege wa Mwanza. Eneo hilo lina vyoo vichache sana kwa ajili ya abiria, ambapo upande wa kutoka abiria kuna vyoo viwili...
  9. A

    KERO Kero ya michango tunayokumbana nayo Wazazi wa Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Mbagala Kuu

    Kero yangu inahusu shule ya sekondari Mbagala Kuu iliyopo Manispaa ya Temeke. Kila mara shule hii imekuwa ikiwataka wazazi kuchangia fedha kwa ajili ya mitihani ya majaribio. Kwa mfano, wazazi tulichangishwa Shilingi 2,000 kwa ajili ya Mock Kidato cha pili, na sasa tumeombwa tena kuchangia...
  10. Moto wa volcano

    Tusisumbuane kuhusu michango ya harusi imekuwa kero this is too much

  11. W

    KERO Hizi ni changamoto kubwa zinazohitaji uchunguzi katika Ofisi za Wizara ya Ardhi Mwanza

    Tunaomba mamlaka husika zifanye uchunguzi kuhusu changamoto zinazowakabili wananchi na watumishi katika Ofisi za Wizara ya Ardhi Mwanza, ili zipatiwe ufumbuzi wa kudumu. Changamoto ya vyoo vya matumizi ya pamoja Jengo hilo lina mlango mmoja wa kuingia kwenye eneo la vyoo, ambavyo vinahusisha...
  12. M

    Kero gani huwa unapata mtandao wa intanet ukikosekana eneo ulilopo?

    Kuna maeneo ukienda kupata mtandao inakuwa kipengele sana, mtandao haushiki na ukishika ni kwa kuutafuta mpaka unatamani kulia, kama ni wa kuperuzi sana unashindwa kama ni mtu wa kufanya kazi mtandaoni ndio hali inakuwa ngumu. Mawasiliano pia inakuwa changamoto kwa yale yanaohitaji mtandao moja...
  13. M

    KERO Watoza ushuru wa mageti ya kuingia stendi ya mabasi ya Magufuli rudisheni hizo chenji za sh 200 kwa wanaokata tiketi za kuingia stendi

    Habari zenu wakuu. Naomba kufikisha kero yangu ya muda mrefu hapa jukwaani iwafikie watu wenye mamlaka na uongozi wa stendi ya mabasi ya mikoni, Mbezi Magufuli Terminal. Kiwango cha tozo kuingia stendi ya mabasi ya Magufuli ni sh 300 ila unapokwenda pale na kutoa sh 500 basi wahudumu wake...
  14. L

    KERO

    AUWSA ARUSHA..tangu mwezi wa Tano hawajashughulikia Bomba la Maji lililopasuka Kata ya Oloiren Mwanama Reli na Maji kuharibu barabara. Hali ni mbaya sana sasa.
  15. A

    KERO Bandari kavu zilizopo Kata ya Sandali, Temeke ni kero, malori yanapaki hovyo

    Kata ya Sandali, Temeke kwenye eneo la Wizara ya Mifugo na Kilimo kuna bandari kavu imekuwa kero kubwa sana kwa njia ya kwenda Kanisa la KKKT kupitika sababu malori yamekuwa yanaziba njia na huduma ya usafiri imekuwa changamoto. Yanaharibu barabara yana park mpaka kwenye mitaa imekuwa kero...
  16. W Mallya

    Kero ya kunyang'anywa mashamba Makomero Igunga

    WAMILIKI WA MASHAMBA – KATA YA MAKOMERO IGUNGA MJINI – TABORA TANZANIA Tarehe: 17 Septemba 2026 KWA: MHESHIMIWA WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA WAZIRI MKUU DODOMA YAH: OMBI LA SERIKALI KUPITIA OFISI YA WAZIRI MKUU KUINGILIA KATI NA KUCHUNGUZA MGOGORO WA MASHAMBA KATIKA...
  17. W Mallya

    Ombi la serikali kupitia ofisi ya waziri mkuu kuingilia kati na kuchunguza mgogoro wa mashamba katika kata ya Makomero, Igunga mjini, Tabora

    Mheshimiwa Waziri Mkuu, Sisi, wamiliki wa mashamba katika eneo la Makomero, Igunga Mjini, Mkoa wa Tabora, tunawasilisha kwako ombi hili kwa heshima kubwa tukiiomba Serikali kupitia Ofisi yako iingilie kati na kuwezesha uchunguzi wa kina kuhusu suala la matumizi na umiliki wa mashamba katika...
  18. A

    KERO Serikali iingilie kati na kuchunguza mgogoro wa mashamba katika Kata ya Makomero, Igunga Mjini

    WAMILIKI WA MASHAMBA – KATA YA MAKOMERO IGUNGA MJINI – TABORA, TANZANIA Tarehe: 17 Septemba 2026 KWA: MHESHIMIWA WAZIRI MKUU Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Waziri Mkuu DODOMA YAH: OMBI LA SERIKALI KUPITIA OFISI YA WAZIRI MKUU KUINGILIA KATI NA KUCHUNGUZA MGOGORO WA MASHAMBA KATIKA...
  19. A

    KERO Wakazi wa Tanga, Kata ya Masiwani, Mtaa wa Tanzanite tunaomba kutengenezewa daraja la Kanisani na daraja la Chini Mnarani

    Sisi wakazi wa Jiji la Tanga, Kata ya Masiwani, Mtaa wa Tanzanite, tunaomba mamlaka husika zitusaidie kukarabati na kuboresha daraja la Kanisani. Tumekuwa tukipata changamoto kubwa kuvuka katika maeneo mawili, Daraja la Kanisani na Daraja la Chini Mnarani, hasa wakati wa mvua. Madaraja haya...
  20. A

    KERO Huduma Mbovu Shule ya Wasichana ya Dr. Tulia Mbeya

    Naomba nitoe kero yangu kwa mkuu wa shule na Makamu mkuu wa shule ya Sekondari ya Wasichana ya Dr. Tulia, Mbeya Kero; Hawahudumii watu kabisa (wageni wanaofika) ,watu wanakwenda shuleni kwa shida mbalimbali lakini wanaambiwa na mlinzi, 'wahusika bado hawajafika', lakini kiuhalisia wahusika wapo...
Back
Top Bottom