Wakazi tunaoishi maeneo ya jirani na misikiti tunakujulisha kwamba tunkabiliwa na changamoto ya kelele zinazotokana na shughuli mbalimbali za ibada(mara tano kwa siku), hali hii imekuwa ikiathiri kwa kiasi kikubwa maisha yetu ya kila siku, ikiwemo kupumzika, kufanya kazi, na kupata usingizi wa...
Barabara ya Samunge inayoanzia roundabout ya samunge kuelekea roundabout ya Fire inazidi kuwa kero kubwa kila siku kwa sababu ya hiace zinazosimama barabarani kuchukua abiria....
Mbaya zaidi askari wakati mwingine huwepo maeneo hayo bila kuchukua hatua zozote.
Mara kadhaa waziwazi huwa...
Stand kuu ya mabasi msamvu vyoo vyake vinatoa harufu mbaya sna upande wa mabasi yanayoelekea dsm huwezi kukaa kwa sababu ya harufu inayotoka mule usimamizi wa stand tunaomba mmwage dawa ya kukata harufu abiria tunateseka
Vyoo vya Stendi Kuu ya Mabasi Msamvu vinatoa harufu kali na mbaya kiasi cha kuwafanya abiria washindwe kukaa kwa amani katika eneo la mabasi yanayoelekea Dar es Salaam.
Hali hiyo inasababisha usumbufu mkubwa kwa abiria wanaosubiri usafiri, kwani harufu inayotoka kwenye vyoo hivyo imeenea hadi...
Ilikuwa Jamuari 25, 2026 nilipoleta hapa changamoto iliyopo Stendi ya Mabasi Shinyanga, ya kutorudishiwa chenji kutoka kwa wahudumu waliopo kwenye choo Cha Stendi hiyo.
Lakini nilizungumzia pia changamoto kama hiyo iliyopo kivuko Cha abiria Kisorya Wilayani Bunda Mkoani Mara na Ukerewe Mkoani...
Mimi ni mkazi wa Mtaa wa Mkanada, Kata ya Wazo, Wilaya ya Kinondoni. Kwa muda sasa, tumekuwa tukikabiliwa na kero kubwa ya kelele zinazotokana na kiwanda cha kutengeneza matofali kilichopo katika eneo letu, hali inayotunyima utulivu na kuathiri maisha yetu ya kila siku.
Mashine zinazotumika...
Anonymous
Thread
kero
kinondoni
kiwanda
kuhusu
mazingira
tofali
wakati
wakati mgumu
wazo
KERO YA BAA YA MTIPESA ILIYOPO KIMARA TEMBONI-MTAA WA SARANGA KWA MAKOFIA NDANI YA WILAYA YA UBUNGO.
Je mmiliki wa baa ya Mtipesa iliyopo Mtaa wa Saranga kwa Makofia ndani ya Wilaya ya Ubungo ana nguvu, mamlaka na haki kuliko wakazi/wananchi wote wa mtaa husika?
Wakazi wa mtaa tajwa tumekuwa na...
Anonymous
Thread
kero
kimara
ndani
saranga
ubungo
wilaya
wilaya ya ubungo
Hii tabia na namna ya utangazaji, inashusha hadhi na heshima ya Radio Maria. Utangazaji una maadili yake yanapokiukwa inakuwa Kero kwa Wasikilizaji! Nipo nasikiliza kipindi hapa inakera sana Watangazaji wa kipindi hiki wanajichekeshachekesha ujinga mtupu.
Ujumbe huu ni kwa ajili yao...
Picha mbali mbali zikimuonyesha Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akipiga kura kwenye Kituo cha kupigia kura cha Ofisi ya Kijiji cha Chamwino mkoani Dodoma, Leo tarehe 04 Novemba, 2026 katika Uchaguzi mdogo wa Ubunge wa Jimbo la Chamwino.
Uchaguzi huo...
Wanabodi hivi inakuwaje taasisi kubwa za serikali ambazo zinatakiwa kutoa huduma kwa jamii kidijitali au ana kwa ana zinakuwa zinatumia namba za huduma kwa wateja either zisizopokelewa au kutopatikana kabisa mfano zile FAX number huwezi kupiga kwa simu ya kawaida .
Email napo changamoto...
Ndugu zangu kwa watu wanaiishi mitaa ya Nyamazobe center kuna milipuko mikali inasikika kila siku, milipuko hiii inafanyika kwenye makazi ya watu, tunaomba mamlaka zitusaidie watakuja kutuua kwa presha
Wakuu salama,
Kuna jambo linaumiza sana kiuchumi na kijamii kuhusu usafiri huu wa mabasi ya Mwendokasi (BRT) hapa jijini Dar es Salaam. Naomba kuweka hili mezani ili labda mamlaka husika ziweze kutuangazia sisi wananchi wa hali ya chini.
Hivi sasa, nauli kutoka Mbezi hadi Gerezani au Mbezi...
Mimi ni mkazi wa Arusha. Kero yangu inahusu baadhi ya askari wa usalama barabarani (trafiki) ambao wanatunyanyasa sisi madereva wa bajaji. Kuna maeneo ya Arusha mjini ambayo haturuhusiwi kuingia, licha ya kuwa maeneo hayo ndiyo yenye fursa nyingi za kupata riziki.
Tukiingia maeneo hayo na...
Anonymous
Thread
arusha
arusha mjini
bajaji
dereva
dereva bajaji
ila
kero
kuhusu
maeneo
mjini
sana
traffic
yangu
Habari!
Kama umekuwa ni mtumiaji wa mabasi ya mwendokasi yanayoendeshwa n kampuni hizi mbiili za MOFAT na UDART utakuwa umegundua utofauti mkubwa sana wa huduma.
Kawaida mabasi ya MOFAT (yenye rangi ya kijani) huwa hayapaki kituoni ilihali abiria wamejaa wakisubiri usafiri ila kwenye hii...
Wakala wa NMB hapa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) ameninyima huduma kwa sababu sina kadi ya NMB ya chuo. Je, ni sheria gani ya nchi inayosema kwamba ni lazima mtu awe na kadi ya NMB ya chuo ndipo aweze kupata huduma za kifedha na kusikilizwa ipasavyo?
Leo, mawakala wa NMB waliokuja kutoa huduma...
Baadhi ya vyuo vya afya nchini vilikamilisha mitihani ya special na supplementary wiki mbili zilizopita, lakini hadi sasa havijatoa matokeo hayo.
Kuchelewa kwa matokeo kunasababisha ucheleweshaji wa kuyawasilisha kwa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), hali inayoweza...
KERO...Mpaka Leo sijapata contorl number wiki 2 zimepita.. surveyor tayari kafika nampigia anasema hukuna mtandao .. napiga huduma kwa wateja 180 wameniambie niende Office... mnatengeneza ukırıtımba mazıngıra ya
RUSHWA... kuna umuhimu gani mm kwenda office wakati namba ya huduma kwa wateja ipo...
Tanzania tuna silka moja ya kuongea uongo hasa linapokuja suala la wakati. Mtu anakuambia nitafika hapo baada ya dakika kumi halafu anafika baada ya saa nzima. Mkutano unaotakiwa kuanza saa tatu asubuhi unaanza saa tano asubuhi. Kiongozi alisemwa atafika saa nne asubuhi anafika saa sita mchana...
Habari wana JF,
Bila kupoteza muda sisi wakazi wa mbalizi centre mitaa yake hadi huku Ifisi tuna changamoto kubwa sana ya maji!
Kabla ya ziara ya Mheshimiwa Makamo w Raisi tulikaa takribani mwezi mzima hakuna hata tone la maji kutoka Idara ya Maji. Siku moja kabla ya Ujio wa Mheshimiwa maji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.