Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.
Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).
Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.
The Kenyan government has denied reports that a company linked to Zimbabwean businessman Wicknell Chivayo was awarded a contract to expand Nairobi's Jomo Kenyatta International Airport (JKIA).
Zimbabwean media reports had claimed that IMC Construction, a company associated with Chivayo, was...
Mashindano ya Mpira wa Miguu kwa Team za Wanawake umri chini ya Miaka 17, Africa ya Mashariki na Kati kwa mwaka 2026 yanaendelea.
Leo Tanzania inakipiga na jirani Kenya.
Tanzania ilicheza ikampiga Sudani 10 kwa bila. Madogo wako vizuri.
Mwanadada Bahati anakipiga hatari, akaibuka WOM...
Leaders attending the 2026 G7 Summit in Évian-les-Bains, France, have pledged to strengthen efforts aimed at addressing rising debt burdens facing developing countries. In a joint declaration issued at the summit, the world's leading economies committed to supporting reforms that would improve...
Kama mnavyojua, linapokuja suala la miradi mikubwa ya miundombinu (mega projects) katika ukanda wetu wa Afrika Mashariki, mambo huwa hayaishi vituko. Baada ya kelele nyingi, migomo ya wafanyakazi, na kesi mahakamani zilizopelekea kufutwa kwa ule mkataba tata wa uendeshaji wa Uwanja wa Ndege wa...
You have to deal with the real issue within the stomach, not kushona makalio.
Huwezi kutuzuia kwenda Kakamega kufanya mkutano kwa kuweka GSU, you have deal with the real issue in the stomach, not stitching the anus! Stool Itapenya tu!
A young student has sparked conversation after boldly calling on the area MP to address poor learning conditions in local schools. Speaking during a public event, the learner highlighted the struggles faced by students who continue to study in classrooms without windows.
"Tumechoka kusubiri,"...
Watu Zanzibar kama mjawahi kukutana nao unaweza kujua ni watanzania.
Ila hawa watu wapo kwa vyovyote kujionesha sio watanzania hata kuvaa bendera za kenya.
Ili jambo sikuwahi kufikiria miaka nyuma sana ila leo kwa kauli zao zinaonesha ukweli.
Kuwa muungano huu mkilazimisha kinachofata...
Akijibu swali bungeni, Waziri amesema kuwa serikali ina mkakati madhubuti wa kufanya operesheni za mara kwa mara katika maeneo yanayodhaniwa kuwa na viashiria vya biashara ya ukahaba.
Amesema operesheni hizo hufanyika kupitia Jeshi la Polisi kwa kushirikiana na idara maalum, ambapo watu...
The Kenyan government will primarily rely on domestic borrowing to finance its 2026/27 budget, Treasury Cabinet Secretary John Mbadi has announced. Speaking during the presentation of the KSh4.84 trillion budget, Mbadi said the government plans to borrow approximately KSh684 billion from the...
Treasury Cabinet Secretary John Mbadi has defended Kenya's 2026/27 national budget, saying every expenditure included in the spending plan was thoroughly justified before approval under a new budgeting approach. Speaking ahead of the presentation of the KSh4.84 trillion budget, Mbadi revealed...
Fedha imekuwa ngumu sana natamani nijiunge na chadema maana wao lissu amehaidi akiwa rais hali itakuwa bora.
===========
Kenya imekuwa na mipango ya kujenga arena kubwa ya kisasa inayolenga kuimarisha sekta ya michezo, burudani na matukio ya kimataifa nchini humo. Mradi huo unatarajiwa kuwa...
Bien kutoka Kenya ameendelea kuthibitisha ubora wake katika muziki wa Afrika Mashariki kwa kutawala kwa takriban miaka sita mfululizo. Tatizo ni kwamba baadhi ya mashabiki wa Nasibu Abdul (Diamond Platnumz) na kundi lenu bado ni wabishi kukubali ukweli huo licha ya mafanikio yanayoonekana wazi.
Jaji Mkuu Mstaafu wa Kenya, David Maraga, amekamatwa na Polisi asubuhi ya Jumatatu, Juni 8 2026, muda mfupi baada ya kuanza maandamano dhidi ya ujenzi wa miundombinu ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Nairobi. Waandamanaji wengine tisa pia walikamatwa pamoja naye.
Polisi na maafisa wa kulinda misitu...
Mamia ya Wakenya walimiminika katika mitaa ya Nairobi mnamo Juni 1, 2026, kushiriki maandamano ya amani ya kupinga femicide na kuhamasisha hatua za haraka kuhusu ongezeko la watoto wanaopotea nchini.
Wakiwa na mabango yenye ujumbe wa "Stop Killing Women" na "Where Are Our Children?"...
Kenya’s education sector is facing a troubling wave of student unrest, with riots erupting over reasons that often appear bizarre yet carry devastating consequences. At Lenana School, students recently went on a destructive rampage after expressing disappointment with the Maroon Festival, an...
Political leaders from the Mt Kenya region have accused President William Ruto of engaging in ethnic profiling and sidelining the region in key government appointments and development decisions. The leaders, drawn from various political parties allied to former Deputy President Rigathi Gachagua...
Cecilia wanjiku, Binti mwenye umri wa miaka 16, mwanafunzi wa kidato cha tatu.
Baada ya Ajali ya moto kuanza Bwenini, wanafunzi wengine walikimbilia nje, ccecilia aligundua sauti ya wenzake wakiomba msaada, ndipo alipo Rudi, na blanketi alio iloweka kwenye maji, nakujifunika huku akiwakinga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.