Kasarani kuna story imeacha watu na maswali mingi kuliko answers. Mwanamke mmoja aliyewahi trend baada ya kuchora tattoo ya Rais allegedly alishambuliwa na watu watatu waliokuwa wameficha nyuso zao.
Inadaiwa walimtaka “awape kile Ruto alimpea,” na aliposema hana chochote, wakamdunga acid na...