Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.
Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).
Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.
Waandamanaji wa Kenya ninawaangalia hapa Citizen TV hakika ni vijana Wadogo Wadogo Watupu
Wabunge wameambiwa waamue kusuka au kunyoa Kwani safari ya kutafuta Kenya mpya ndio inaanza Rasmi Leo
Ni vijana Wadogo Wadogo kama akina Lucas huyu wa UVCCM 😂😂
Hatuna Barabara , shule zetu mbovu sana . Bima za afya ni majanga .
Maji hatuna ,umeme hatuna wa uwakika .
We are very poor
Kwa nini tunajenga flow 22 za gorofa Kenya Kama barozi !!???
Tunaenda wapi ?!
Tanzania is dead
More than 200 protesters have been arrested in Kenya’s capital, Nairobi, in ongoing protests against proposed tax hikes in a finance bill that is due to be tabled in parliament.
Civil society groups say that despite the arrests, demonstrations and a planned sit-down outside the parliament...
Muda huu William Ruto Rais wa Kenya amewaongoza wabunge wa Muungano wa Kenya Kwanza, kukubaliana na mambo mengi yaliyokuwa kwenye Bajeti ya nchi hiyo ambayo yalikuwa yanapingwa na Wakenya kuondolewa.
Baada ya mbinyo toka Kwa Wakenya Kwa zaidi ya wiki Moja hatimaye serikali imekubali yaishe...
Kanuni ni zile zile kwenye uchumi na hata kwenye maisha ya kawaida.
Ili ujenge uchumi wako mfukoni unahitaji kukusanya mapato, kubajeti matumizi na kidhibiti upotevu na matumizi holela ya Fedha zako mwenyewe.
Kwenye upande wa kudhibiti matumizi na kuhakikisha hakuna ukwepaji wa kodi, upotevi...
KENYA: Baadhi ya Wanawake wanaoishi karibu na Kambi ya Mafunzo ya Kijeshi inayoongozwa na Jeshi ls Uingereza ya BATUK wamelalamikia kutelekezwa na Wanajeshi wanaotuhumiwa kuwabaka na kuwaachia Watoto bila msaada wowote
Kwa mujibu wa ripoti ya CNN, mamia ya Wanawake wameandika malalamiko hayo...
Kwa mujibu wa taarifa ya VoA, Azam na Citizen TV ni Kwamba nchi ya Zambia ndio imeelemewa zaidi na madeni wakiwa kundi Moja na Zimbabwe, Congo, Kenya na Msumbiji
Tanzania tuko ukanda Salama Kwamba madeni yetu Yako ndani ya Uwezo kuyalipa
Malawi, Nigeria na Senegal ni walipaji wazuri wa madeni...
Nimeamini kenya Ni taifa kubwa kwa nyanja zote za siasa na uchumi na mamb ya kijamii kwa kuitazmaa bajeti yake tu Ni Mara mbili ya bajeti ya Tanzania ya trillion 46
Taifa Lina ekeza kwenye mamb ya .msingi sna hakna blaa blahaa Kama huku kwetu serkali inasamehe Kodi kwa vitu vya kipuuz na...
Jaji Jacqueline Mogeni wa mahakama ya Ardhi Kenya, ametupilia mbali hoja ya chama cha siasa cha Kenya Africans National Union (KANU) ya kudai kuwa walinyang'anywa Jengo la Kimataifa la mikutano la Kenyatta (Kenyatta International Conference center-KICC) kinyume Cha Sheria.
Pia Jaji Mogeni...
Kwa kutumia mali asili zetu tunaweza fanya mabadiliko kiuchumi na kuimalisha jamii zetu,Pamoja na kujisimamia kiuchumi na kupunguza utegemezi kutoka nje ya nchi.
Bahari:
Utalii wa Pwani: Endeleza utalii wa kirafiki kando ya bahari. Tangaza hoteli za pwani, michezo ya maji, na juhudi za...
Nakumbuka zili zuka habari na minong'ono mingi ya mabwana hawa wawili.
Ghafla waka pewa cheo cha Uaskari, mara tafrija zisizo eleweka.
Skendo za raisi wa kipindi kile, sijui mwanae au mkewe naye yumo. Mpinzani akadai mamluki wamefika.
Je nani aweza sema kitu juu ya lipi lilikuwa lengo lao hasa.
Baraza la Habari la Kenya kupitia
Idara ya Utafiti, Mipango na Mikakati ilitoa Muhtasari wa Uripoti wa Mauaji ya Wanawake nchini humo ambapo Baraza hilo lilibaini kuwa baadhi ya Vyombo vya Habari vimekuwa vikiripoti mauaji ya Wanawake bila weledi, hasa kwa kutoa habari zisizo sahihi, zisizo na...
Ndugu Engineer naona kaamua kumpa mpinzani Raila Odinga urais wa Taifa la Kenya badala ya William Ruto. Kalisema jina lake kwa utulivu na uhakika. Nawashauri wasiiweke tena Kenya kwenye mipango yao ya pre-season..
Tatizo ni kwamba wasomali hawapendi kuwekwa kundi moja na waafika licha ya kuwa ni waafrika, wao hujiona waarabu lakini hata hao waarabu wanawaona ni waafrika, kiufupi wao hawana strong bond na waafrika wengine, ukiingia jamiiforums yao inayoitwa somalinet utakutana na nyuzi nyingi sana...
Shirikisho la Kimataifa la Biashara ya Utalii wa Mikutano ICCA limezitaja Nchi 4 muhimu Kwa biashara ya Utalii wa Mikutano Barani Afrika ambapo Afrika Kusini inaongoza.
Cha kushangaza Tanzania imeshika imeshika nafasi ya 5 ikizidiwa na Nchi za Rwanda,Uganda na Kenya.
My Take
January Amefuta...
Kwa system ya Kenya huwa naona mara nyingi governor akichallenge na rais, is the hovernor more powerful?
Mfano kinachoendelea sasa Governor wa Mombasa kapiga marufuku miraa lakini Rais Ruto karuhusu
Kwa Wakenya, ukiwatajia neno Tanzania, haya ndiyo huwajia akilini mwao:
1. Kwa ndugu zao
2. Nchi yenye vivutio vingi
3. Nchi yenye wasanii bora
4. Nchi yenye uongozi Bora
5. Nchi ya wakarimu
Wewe unaona nini akilini mwako usikiapo neno Kenya?
"Miezi saba iliyopita, Rais William Ruto wa Kenya alipowasili Beijing, China ilimkaribisha kwa zulia jekundu. Safari hii anapoelekea Washington, anapokelewa tena kwa zulia jekundu." Katika wakati ambao sera za serikali ya rais wa Marekani Joe Biden kuhusu Afrika zimekuwa zikilalmikiwa, tovuti ya...
Yatupasa kuamka na kuwa makini na kuona jinsi gani kasi yetu ya kuwa taifa lenye uchumi mkubwa Afrika ya mashariki na kati linatimia, by hooks and crooks!
Katika kushindana na nchi ambayo kila wakati ipo macho!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.