kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. JamiiForums Tanzania Mbunge Esther Matiko apendekeza Gen-Z wa Kenya Wakamatwe

    "Udhalilishaji mtandaoni unafanywa na hao watu wa nje tunasema, lakini zinasambazwa na kwenye mitandao ya Kitanzania, tuko wapi? Kwa nini tunaruhusu hii? Ni udhalilishaji na unaweza kuona kwamba ni udhalilishaji kwa sababu Mama, yaani Rais wetu ni mwanamke," alieleza Mbunge Esther Matiko...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge ashangazwa Martha Karua kurudishwa Kenya akiwa salama

    "Tulikosea kweli yule Martha Karua kumrejesha kule, na hili kosa lisitokee tena hapa, hivi mtu anatoka huko analeta ujinga wake hapa halafu eti anarejeshwa mzima, salama salmini kweli. Na yule anayesema anadai kapigwa eti anashuka kwenye gari anajichechemeza kweli? Yule alikuwa apigwe arudi na...
  3. JamiiForums Tanzania Utofauti wa siasa za Kenya na Tanzania kwa mujibu wa ChatGPT

    Utofauti wa siasa za Kenya na Tanzania unaweza kuangaliwa kwa misingi mbalimbali kama vile mfumo wa vyama vya siasa, uhuru wa vyombo vya habari, historia ya kisiasa, na utekelezaji wa demokrasia. Hapa chini ni baadhi ya tofauti kuu: --- 1. Mfumo wa Vyama vya Siasa Kenya: Ina mfumo wa vyama...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Tukiri kuwa uongozi wa Rais unatuharibia mambo si tu ndani ya Tanzania, bali pia na Ulaya, Malawi, South Africa na sasa Kenya; tujitafakari

    Ukianza na mambo ndani ya nchi, uongozi wa Raisi Samia umetuvuruga kuliko raisi yeyote aliewahi kuongoza nchi hii. Ni katika uongozi wa Raisi Samia tunaona msuguano uuliopitiliza na vyama vya upinzani hadi taasisi za kidini kwa kiwango kikubwa kuliko huko nyuma - hadi kufikia kesi za uhaini...
  5. W

    JamiiForums Tanzania Wanaharakati wa Kenya wanaishambulia Serikali yetu, Nasikitika kuona watanzania wengi wapo kimya, huu sio uzalendo, tuipende nchi yetu.

    Kwa jinsi wakenya wanavyoicharua Serikai yetu huko kwao ni sawa na mteja alieenda Kariakoo kafika Dukani, mwenye duka anamuangalia tu winga anavyomcharua bei mteja bila huruma, watanzania walio kimya hawana tofauti na mwenye duka. Sana sana unaowaona wanajibu mashambulizi ni wenye vyeo...
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mbunge wa Juja George Koimburi aliyetekwa apatikana kwenye shamba la kahawa akiwa amejeruhiwa vibaya

    Mbunge wa Juja, George Koimburi, amepatikana akiwa amejeruhiwa vibaya kwenye shamba la kahawa Kaunti ya Kiambu. Koimburi,ambaye ni mtetezi mkubwa wa Naibu Rais wa zamani Rigathi Gachagua, alitekwa nyara Jumapili, Mei 25, nje ya Kanisa la Full Gospel Mugutha akiwa na mkewe, Anne Koimburi...
  7. JamiiForums Tanzania Je, wanaharakati wa Kenya na nchi Jirani watakuja tena kwaajili ya Kesi ya Lisu ili kuzidi kuitia ndimu na kuchafua serikali ya Tanzania?

    Habari za Leo! Tunajua kilichowakuta awamu ya Kwanza. Bado tunaendelea kushuhudia vijana wa Kenya wakitoa sumu kwa Mamlaka ya Tanzania hasahasa kumshambulia Rais wetu. Swali, je wanaharakati hao wataendelea kuja kushuhudia kesi ya Lisu ili kuzidi kuiharibu taswira ya nchi yetu kimataifa...
  8. JamiiForums Tanzania Gen Z Kenya, wapata kihoro, wanatukana, Tanzania kimyaaa !

    Watazania kiboko, wewe tukana, na mtu anakuona mjinga.
  9. JamiiForums Tanzania Video : Sheikh Izzu ddiyn toka Kenya amjia juu Matha Karua na wenzake

    ♦️Adai watetezi wa haki za binadamu hawajawahi tetea japo haki moja wakafanikiwa. ♦️Amtaka Karua na wenzie kutetea haki za waKenya kwanza. ♦️Pia akumbushia Karua alivyoshiriki kuwadhulimu waKenya wakati wa rais Mwai Kibaki.
  10. JamiiForums Tanzania Jumuiya za Kimataifa, Gen Z Kenya, Elon Musk na Diaspora saidieni kupaza sauti ukandamizaji mkubwa unaoendelea Tanzania

    Hii ni kwa wale wenye mapenzi mema ma wazalendo wa nchi yao, Wote tunashuhudia ukandamizaji mkubwa wa demokrasia, utekaji na mauaji makubwa yakifanyika mchana kweupe. Wote tunashuhudia ni kwa jinsi gani CCM imedhamiria kutumia mabavu kwa namna yoyote kuhakikisha inasalia kwenye dola, Nani...
  11. JamiiForums Tanzania Mbunge wa Nyatike, Kenya: “Freedom of Speech” iko Kenya pekee, ukivuka mipaka mambo yako tofauti

    "Mimi kama Mbunge wa Nyatike, tunapakana na Tanzania na Uganda. Nyatike ipo kwa kona ya Kenya kabisa, mahali ukivuka unaingia Tanzania na ukienda kidogo unaingia Uganda. Kitu ambacho hawa watu wetu walikuwa hawajaelewa vizuri, hii mambo ya freedom of speech kwa East Afrika nzima, ipo Kenya peke...
  12. JamiiForums Tanzania Kwa Nini UVCCM hawawajibu Vijana wa Kenya?

    Naona UVCCM wako Kimya Tu wakati Mwenyekiti wao anabalaswa na Gen Z! Nilitamani hata wangeandamana kuonyesha solidarity na Mwenyekiti wao but WAKO kimya. Je kimya hiki kinaashiria nini? Why wamemuacha Mwenyekiti wao peke yake ndio ajibizane na Wakenya? Kuna theories kadhaaa hapa, twende pamoja...
  13. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya Just Schooled Us—Time to Wake Up Tanzania

    Yo, for real—I ain't feelin’ what went down with those Kenyan activists. That move? Straight up foul. See, Kenya don’t play like that. That’s a country where folks speak their truth, stand ten toes down for their rights, and ain’t afraid of no damn authority. And honestly? It fires me up in the...
  14. JamiiForums Tanzania Rais William Ruto (Kenya) Amjibu Rais Samia Suluhu Hassan (Tanzania) baada ya kutoa kauli ya kuwabagaza na kuwadharau Wakenya..

    https://youtu.be/tarwA0cZbcI?si=Wizm2OyFYriZzJzg https://youtu.be/LI58lCwODxQ?si=3O5x8UYnDDmWtSL7 #Kwa wachunguzi wa mambo, wanaona moja kwa moja kuwa kauli hiI ya Rais Ruto imemlenga kumjibu Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania baada ya kauli yake ya wiki hii iliyoonekana kuwalenga wakenya...
  15. N

    JamiiForums Tanzania MAREKANI YADAI kuchunguza ripoti za mateso za mwanaharakati wa Kenya Boniface Mwangi na Agather Atuhaire wa Uganda nchini Tanzania; inataka uchunguzi

    https://nation.africa/kenya/news/africa/us-demands-answers-from-tanzania-on-boniface-mwangi-agather-atuhaire-torture-claims--5055008?fbclid=IwY2xjawKedsVleHRuA2FlbQIxMQABHukqJTQqQdD9M6_P7IAPsxMA2SmVPDulEpTFYPt8dKYcN4gL5jg93slqRle4_aem_Z13cOlvjRQOfJnicy5KMJg
  16. JamiiForums Tanzania Kenya ndilo Taifa jirani lilo na undugu mkubwa zaidi wa damu na Tanzania kuliko taifa lingine lolote.

    Kwa Tanzania mataifa jirani yanayotunguza taifa ambalo kwa undugu wa damu wa makabila tunao share kwa wingi zaidi na Kenya hivyo kulifanya kuwa taifa ndugu yetu zaidi kuliko wengine, hata kama hatupendani kuliko hao wengine. Makabila yanayopatikana Kenya na Tanzania ni mengi zaidi kuliko ya...
  17. JamiiForums Tanzania Kwa jinsi Taifa hili lilivyojaa vilaza bila amsha amsha za vijana wa Kenya wale wanaharakati wageni wangepotezwa mazima kama Mdude .

    Naijua Tanzania vizuri, nawajua Watanzania vizuri, nawajua viongozi vizuri na ninawajua vijana wanyoa punk vizuri. Uwezo wao wa kufikiri hawa vijana wanyoa punk ni mdogo sana hasa wakiwa kwenye land cruiser. Wanaona washamaliza. Hawaoni mbele. Wangewapoteza milele wanaharakati wageni...
  18. JamiiForums Tanzania Marekani imelaani sana kutekwa na kuteswa kwa wanaharakati wa Kenya na Uganda na baadae kutelekezwa. Wataka hatua zichukuliwe

    Mungu awabariki Wazungu wanatusaid8a sana kupamabana na hawa wakoloni weusi. Ukion hii ujue ni trela move kamili inaandaliwq,
  19. S

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua sababu za msingi za vijana wa Kenya wanaosema "Ruto must Go"

    Uzi tayari. Natanguliza shukrani
  20. JamiiForums Tanzania Vijana wa Kenya sio kwamba wanajielewa isipokuwa ni vijana wasio na Adabu; waliokata tamaa

    Hamjambo Wote! Baadhi ya watanzania wamekuwa wakitoa maoni yao wakiwasifu vijana Wakenya kwa kile wanachokiita Kujielewa na Kujitambua. Huku wakiwatupia lawama vijana wa kitanzania kuwa ni vijana Maamuma, waoga, wasiojielewa, wapowapo tuu. Lakini Tathmini yangu ipo Kinyume kabisa na maoni yao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…