kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Mpiga Tarumbeta aibua Kicheko Mazishini Kenya, tarumbeta yazingua!

    Katika tukio lililogeuka burudani ya ghafla katikati ya huzuni, mpiga tarumbeta mmoja nchini Kenya amezua kicheko wakati wa mazishi baada ya tarumbeta yake kushindwa kutoa sauti stahiki! 😅 Video hiyo ya kuchekesha inaonesha mpiga tarumbeta akiwa makini kupuliza ala hiyo ya sherehe huku sura...
  2. Yoda

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaoilamu na kuizodoa Kenya ya katiba mpya hawaifahamu vizuri Kenya ya katiba ya zamani ya Jomo, Moi na Kibaki

    Kuna watu wachache wanapuyunga mtandaoni wakiitukana Kenya iliyo na katiba mpya huku wakisema bora wangebaki na katiba yao ya zamani tu . Hawa ni watu wajinga wasioifahamu vizuri Kenya ya Jomo Kenyatta na Daniel Arap Moi. Hawa watu wanapaswa kujua kuhusu mauaji ya Kisimu ya mwaka 1969 ya zaidi...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Nadhani kinachoitesa Kenya ni miraa (mirungi) kuruhusiwa

    Nimefuatilia maandamano ya leo huko Kenya, kuna kitu nimekiona hakiko sawa, Watu wengi waliokuwa wakiandamana walikuwa wamelewa. Inaonekana wanakwenda barabarani kwa msukumo wa kilevi (mirungi). Muda wote wanatafuna majani . Raila alipokuwa akihutubia jioni alikuwa ameambatana na wenzake, lkn...
  4. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Imagine mwanamke anapoteza maisha kwenye maandamano Kenya kama hivi ila Tanzania midume inakua chawa kwasababu ya uoga

    Hii ni kenya mwanamke kapoteza maisha Kwa kuipambania nchi yake tanzania sifa kuu ya midume inakua chawa yote ni njaa na uoga
  5. Crocodiletooth

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya inaangamia kipuuzi kabisa

    Nimeitoa huko kwa mdadisi na aliyekuwa mshiriki wa ujenzi wa katiba ya kenya, :::::::::::::::::::::::::::::: KENYA INATEKETEA KISA KATIBA MPYA: NI FURSA NA SOMO KWA TANZANIA Ni dhahiri polisi wa kawaida wamezidiwa. Sasa jeshi limelazimika kuingia kupambana na wanaojiita GenZ. Bahati...
  6. funaku

    JamiiForums Tanzania Should Tanzania intervene to restore peace and order in Kenya?

    As a humble EAC citizen Im obliged to propose a permanent solution towards a long lasting unrest and disorder in our neighbouring Nation of East Africa namely Kenya. We might know for sure that this on going civil unrest at Kenya is partly due to historical background of tribal clashes fueled...
  7. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watu 10 wauawa katika Makabiliano ya Maandamano ya Saba Saba

    Watu wasiopungua watano wameuawa katika maandamano ya Saba Saba ya leo huku makabiliano kati ya polisi wa kupambana na vurugu na waandamanaji yakizidi kushika kasi. Katika eneo la Kangemi, raia mmoja alipigwa risasi na hali yake haijafahamika, huku wengine wawili wakithibitishwa kufariki...
  8. Stuxnet

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Picha: Kinachoendela Kenya kinatisha, Gen Z wapanga kuandamana kwa siku 7 mfululizo

    Hawa Gen Z wanateketeza nchi yao na hashtag yao ya #RutoMustGo
  9. Manjagata

    JamiiForums Tanzania Gen-Z wa Kenya wanataka kujinasua wa kwetu wenyewe ni Chawa wa Mama!

    Wakati vijana wa Kenya wakipambana kujinasua na makucha ta wanasiasa vijana wa kwetu wakiongozwa na Lucas Mwashambwa wao wamegeuka kuwa chawa wa mama! Hii ni aibu kwa vijana wetu! Unafika mahali unajiuliza ni wapi tulipokosea?
  10. Daby

    JamiiForums Tanzania Sawa, Vijana wa Kenya wana haki kuandamana kupinga utawala dhalimu. Lakini Agendas zao zimechukuliwa na wanasiasa

    Kenya wakipita 2027 vizuri wamshukuru Mungu. Mwaka 2007 walipouana mambo yalianza hivi hivi. Kuenguliwa kwa Riggy G kummemfanya afanye siasa za ukabila waziwazi. Hata haogopi kutamka kauli zinazoweza/japo zimeanza kuligawanya taifa kikabila. Ukiwaskia wanasiasa hasa wa Bonde la ufa hoja yao...
  11. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Kenya-raisi ajielezea alikotoa za kugawa fedha!

    nchini kenya kuna ishu ya raisi kujenga Kanisa ikulu, ila kilichonishangaza kama mtanzagiza ni kwamba raisi Ruto kasema anatumia fedha zake au kwa maana nyingine ameelezea alikozitoa fedha za kujengea Kanisa kwa maana kwenye bajeti haipo, sasa vs tanzagiza raisi kanunua magoli, kagawa fedha...
  12. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Gachagua ametoa shutuma nzito dhidi Rais Ruto kukandamiza jamii ya Mt Kenya

    Makamu wa Rais Mstaafu Rigathi Gachagua ametoa tuhuma nzito dhidi ya Rais William Ruto, akidai kuwa anaendesha mpango wa kutesa jamii ya Mlima Kenya kwa makusudi. Akizungumza tarehe 5 Juni 2025 katika mazishi ya shangazi yake marehemu Gladys Gathoni Kahua huko Kaunti ya Nyeri, Gachagua alisema...
  13. Yoda

    JamiiForums Tanzania Watu wa dini wabinafsi sana, Waislamu Kenya nao wataka msikiti kujengwa ndani ya Ikulu!

    Baada ya Rais Ruto wa Kenya kulewa kidini na kuifanya dini kuwa mojawapo ya nyenzo kuu za utawala wake kuvuna ushawishi miongoni mwa raia hadi kufikia kujenga kanisa ikulu ya Kenya kwa kile anachodai ni kwa pesa za mfukoni kwake binafsi hatimaye Waislamu wa Kenya huko Mombasa nao wameibuka na...
  14. DuaZaMama

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto: Sitoomba msamaha Kwa kujenga Kanisa Ikulu

    Rais wa Kenya, William Ruto amesema hatomuomba msamaha yoyote kwa kitendo cha yeye kujenga Kanisa Ikulu ambapo amewashangaa wanaoanza kuleta manenomaneno kwasababu amejenga Kanisa hilo huku akisisitiza kwamba hajaanzisha Kanisa jipya bali anajenga Kanisa bora zaidi na la kisasa baada ya kukuta...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Tanzania kufungua Michuano ya CAF CHAN 2024, Fainali kupigwa Kenya

    TotalEnergies CAF CHAN 2024: Tanzania Kuhost Mechi ya Ufunguzi, Uganda Kuhost Mechi ya Mshindi wa Tatu/Nne, Kenya Kuhost Mechi ya Fainali Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF), kwa ushirikiano na mataifa matatu yatakayohosti Mashindano ya TotalEnergies CAF African Nations Championship (CHAN)...
  16. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kenya inafanya uchaguzi mwaka 2027,fainali za mataifa ya Afrika (CAF) 2027 zitachezwa Nairobi, je itawezekana na jinsi wameanza kuvurugana?

    Mechi ya fainali ya kombe la mataifa ya Afrika itapigwa Nairobi. Lakini tunazijua siasa za Kenya zilivyo na machafuko, maandamano na kuuana. Uchaguzi wa taifa la Kenya ni 2027.Sioni kama hii fainali itapigwa Kenya. Tanzania naiona ikibeba fursa
  17. Mzalendo2015

    JamiiForums Tanzania Akili Munemba(AI) inavotumiwa na Kenya kulinanga Bunge la 12 kama Bunge la Vihiyo

    https://youtu.be/txvRnIcB9tc?si=DI7EpxtR-jnsGoai Kumekuwa na matukio ya kushangaza tokea lile sekeseke la Wanaharakati wa Kenya kuja Tanzania kusikiliza kesi ya Mhe. Tundu Antipas Lissu, Mwenyekiti wa Chama kikuu cha upinzani CHADEMA. Wanaharakati hao baadaye walikamatwa na Polisi wa Tanzania...
  18. A

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yanayoendelea Kenya Karua hajawaalika

    Nimekuwa nikifuatilia maandamano ya Kenya kwa karibu sana,yanayoendelea ni yale yale matokeo ya kutotii mamlaka na madhara yake wote tumeyashuhudia. Kilichonifanya nitie kalam yangu ni uhusiano uliopo kati ya CHADEMA,EALS,na wanaharakati wa haki za binadamu wasiofahamu panapodaiwa haki kuna...
  19. incognitoTz

    JamiiForums Tanzania Aliyepigwa risasi ya kichwa na polisi wakati wa maandamano ya juni 17, Kenya Ubongo umekufa

    Dah.. Boniface Kariuki, yule muuza barakoa, aliyepigwa risasi kichwani na polisi wakati wa maandamano ya Juni 17, 2025. Kulingana na msemaji wa familia, Emily Wanjira, madaktari katika Hospitali ya Taifa ya Kenyatta wamesema kuwa ubongo wa Kariuki umekufa (brain death), ingawa viungo vyake...
  20. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kenya ni demokrasia inayoharibiwa na mzigo wa madeni uliokithiri.

    Kwa miaka mingi Tangu nyakati za Uhuru Kenyatta na sasa Ruto serikali ya Kenya ilikuwa katika bonanza la kukopa pesa ndani na nje ya nchi kwa pupa huku ikiwaaminisha raia wake deni lao ni himilivu na kwa ajili ya maendeleo yao. Umefika wakati sasa madeni yameiva, theluthi mbili(60%) ya mapato...
Back
Top Bottom