kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. T

    JamiiForums Tanzania Tazama list ya wabunge wa Kenya na elimu zao, utaona aibu kuwa Mtanzania

    Wandugu Katika pitapita zangu, nimekutana na list ya wabunge wa Kenya, ambayo pia inaonyesha taarifa zao kama elimu nk, aisee nimeona aibu kenge Nahisi ni sawa kabisa Tulia kuondoa page ya list ya tunaowaita wabunge wa Tanzania, wale wanaotuita Kenge kwa website ya Bunge maana ni aibu sana...
  2. JamiiForums Tanzania SI KWELI Donald Trump amtaka Rais Samia kuiomba msamaha Kenya

    Trump katoa masaa 24 kwa rais wa TZ mama Samia kuomba msamaha kwa kenya na kasema hapendi mtu anaechezea kenya na asipo fanya ivyo ata sitisha misaada yote marekani anayo saidia TZ.
  3. JamiiForums Tanzania Kenya vs Tanzania: PLO Lumumba weighs in!

    https://youtu.be/NOoBaOwO6g8?si=_q8xG3hw918zLpm7 Mwana-umajumui wa Uafrika kutoka Kenya katoa maoni yake kwenye chaneli ya Fanya Mambo Afrika kuhusu mambo yaliyojitokeza wiki iliyopita hapa Tanzania kuhusu baadhi ya wanaharakati waliokuja nchini kwa ajili ya kesi haramu inayomkabili Tundu Lisu...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Asilimia 70 ya wafanyakazi wa serekali ya Kenya wana vyeti feki,na asilimia 30 wa mashirika wana vyeti feki

    Wafanyakazi wa serekali ya Kenya asilimia 70.na wa mashirika aslimia 30.,wana veti feki.kwa mujibu wa serekali ya Kenya
  5. JamiiForums Tanzania Wakenya watoa tahadhari kwa Watalii na Wageni kutembelea Tanzania kutokana vitendo vya Utekaji, Utesaji

    Mfumo Mbovu wa Uchaguzi na Katiba mbovu vimetuletea viongozi wasiofaa waliotetea matendo ya utekaji, utesaji na ubakaji wa wageni tena Bungeni, matukio ambayo yametangazwa duniani kote. Tumejionea wenyewe bungeni jana. Sasa Gen Z wa Kenya wamekuja na Mpya. Wanaitangazia Dunia Tanzania sio...
  6. JamiiForums Tanzania Wanaharakati wa UG na Kenya walifanya vurugu gani?

    Kwa ufupi sana Kabla sijaanza kumlaumu Rais wangu wa wadau wengine waliotoa maneno makali kwa wanaharakati na hatimaye kusababisha matusi mazito kutoka Kenya. Naomba kujua wale wakenya walifanya vurugu gani? Ama walikiuka sheria gani za nchi na za kimataifa? Kati ya sisi na wao nani alimfanyia...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Dr Tulia kuwa wabunge walipochangia mtafaruku wa Tanzania na Kenya walikiuka maadili na kanuni za Bunge umeonyesha Naibu Spika hafai kabisa!

    Naibu Spika, alisimamia michango ya "waheshimiwa" Wabunge walipokuwa wakibwabwaja na kutoa kauli za kitoto na kijinga katika suala lililoanzishwa na Raisi Samia kuhusu wanaharakati wa Kenya kuja Tanzania. Wakati huo Dr Tulia hakuwapo bungeni. Wengi wetu tulishitushwa sana na kauli zilizotolewa...
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ruto: I commend Tanzania for overtaking Kenya in goods and services that we trade in in East Africa

    https://youtu.be/3k0m6Rkuv9g
  9. JamiiForums Tanzania Tanzanians vs Kenyans on media: Kenya 3 Tanzania 0

    https://youtu.be/tHAAFLufHDw?si=l5sS0QYnVPjadanB Sikiza hiyo: Kuna mpambano mkali sana kati ya Wakenya na Watanzania kwenye mitandao baada ya sekeseke la Wanasheria na Wanaharakati wa Kenya kukamatwa, kuteswa na kufurushwa kwenda makwao. Wabunge wa Tanzania kina msukuma darasa la 7 anadai...
  10. JamiiForums Tanzania Kenya ilipopinduliwa mwaka 1982, Nyerere aliokoa Taifa lililomchukia

    Ilipofika Agosti 1 mwaka 1982, alfajiri ilianza kwa kimya kilichojaa tafakari ya taifa. Lakini katika kiza cha mapambazuko, lilizuka tone la radi la kisiasa, jaribio la kumpindua Rais Daniel arap Moi. Kiongozi wa mpango huu wa kisasi hakuwa jenerali wala kamanda wa juu, bali askari wa hadhi ya...
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto: Majirani zetu kutoka Tanzania, kama tumewakosea kwa namna yoyote ile, Mtusamehe

    Rais William Ruto: "Majirani zetu kutoka Tanzania, kama tumewakosea kwa njia yoyote ile, Mtusamehe... Kwa marafiki wetu nchini Uganda, ikiwa kuna jambo lolote baya Wakenya wamefanya, tusameheeni. Kwa watoto wetu, kama tumekosea kwa namna yoyote ile, tunaomba msamaha." == President William Ruto...
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Madhara ya Post Election Violence nchini Kenya sababu ya mizaha ya siasa

    Inasikitisha Sana na kamwe tusijipeleke huku.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Naamini mda umefika wa kupata msaada wa kifikra kutoka Kenya ili tujielewe sisi ni kina nani?

    Nakumba Mzee jomo kenyata aliwa kusema sisi ni maiti,kilikuwa ni kipindi cha utawala wa Nyerere, Ni kauli katika makuzi yangu nilikuwa siipendi hata kuisikia,baada ya kupata ufahamu akili na uwezo wa kuchambua mambo nikaona kama kuna ka ukweli vile Lakini mwaka huu nimejiridhisha na kujikubali...
  14. JamiiForums Tanzania Je! Siyo kama Tanzania ilikuwa na ugomvi wa siri na Kenya?

    Kila ninapojaribu kuchekecha akili najikuta nakosa jibu. Hivi respond yetu kama Taifa na tukiwianisha kosa la wahusika vinawiana kweli? Okay fine , let's assume nikweli Bonifasi Mwangi na mwenzake walikuwa wakosaji ,je adhabu za wakosaji wamakosa kama yao ndiyo wanaostahili kuadhibiwa kwa namna...
  15. JamiiForums Tanzania Wanazi wa Ibrah Traore angalieni Citizen TV ya Kenya, General wa US atakuwepo mubashara

    Kenya bado ikiendelea kuwa ndio jukwaa kubwa zaidi la mambo makubwa yanayotokea katika ukanda wa Africa Mashariki imepata ugeni wa ujumbe mzito wa jeshi la Marekani kamandi ya Africa (US AFRICOM) ambapo mkuu wa kamandi hiyo Gen.Michael Langley, leo atakuwa anahojiwa mubashara katika kituo cha...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Majibu ya seneta wa Migori (Kenya) Hon : "Eddy Gicheru Oketch" kuhusu Bunge la Tanzania

    "Mheshimiwa Spika, Tanzania ni nchi maskini kiasi ambacho haipaswi kupewa heshima ya kujadiliwa kwenye baraza letu la Seneti au Bunge la kitaifa. Ina rasilimali nyingi, lakini ina viongozi wasioweza kutumia rasilimali hizo kusaidia wananchi. Hivyo, hatupaswi kupoteza muda kujibu ukosefu wa...
  17. JamiiForums Tanzania Kama wabunge wangekuwa Elite wasingejibishana na Gen Z wa Kenya. Lakini wameonyesha ni daraja Moja. Mtu timamu hawezi kuwajibu na Gen Z wakenya

    Mpo salama! Mbunge mzima, yupo bungeni, anatumia muda wa bunge na watanzania kujibishana na Gen Z ya Kenya. Kweli! Ni ukosefu wa mambo ya kujadili au ni nini? Ni kuongozwa na mihemko au ni kitu gani? Yaani mtu mzima na akili zake asumbuliwe na Gen Z wa Kenya kweli? Nimesikitika Sana...
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wezi wavunja Kanisa wala Mikate ya Sakramenti na wanywa Divai katika Kanisa la ACK Kenya

    Taharuki imetanda miongoni mwa waumini wa Kanisa la Anglikana (ACK) St. Matthew’s Mutithi lililopo Kirinyaga nchini Kenya, baada ya watu wasiojulikana kuvunja na kuiba mali ya kanisa, huku wakinywa divai ya madhabahuni na kula mikate ya sakramenti. Tukio hilo la kusikitisha liliripotiwa na...
  19. JamiiForums Tanzania Tabia ya wabunge kusifia kila jambo inaenda kuleta mgogoro mkali wa kidiplomasia utakaodumu milele kati ya TZ na Kenya

    Habari wakuu Ni kawaida hapa Tanzania kuwasikia wabunge wakimsifia Mh Raisi na ku amplify kile alichokisema ktk hotuba yake yeyote Hii hali tulishaizoea, Mh Raisi hakupendezwa na ujio wa wanaharakati wa kenya nchini, narudia tena ujio wa wanaharakati wa kenya nchini kwetu Hivi sasa wabunge...
  20. JamiiForums Tanzania Seneta wa Kenya Edwini Sifuna asema leo Bunge la Kenya mjadala utakuwa kwa Kiswahili ili Watanzania waelewe Somo

    Hii vita naona ikifika mbali na huenda steling akafia kwenye bustani ya maua. Hii ni kwa ajili ya Msukuma
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…