kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. K

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Kenya haitaweza kufumbia macho serikali ya Tanzania tena! Lazima watasaidia demokrasia

    Serikali ya Kenya haitaweza kufumbia macho serikali ya Tanzania tena! Lazima watasaidia demokrasia. Kikubwa ni kwamba Kenya ndiyo wawekezaji wakubwa Tanzania. Lakini Tanzania na Kenya ni watu walewale waliotawaliwa na makoloni tofauti. Kuna maelewano sasa kwa Raisi Ruto wa Kenya na Odinga...
  2. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Inspekta Jenerali aomba radhi kwa polisi kusema uongo juu ya kifo cha Ojwang'. Halafu kuna Polisi wetu Tanzania!

    Inspekta Generali kwa niaba ya Jeshi la Polisi Kenya ameomba radhi kuhusu ripoti iliyotolewa na polis kuwa Ojwang' alikufa baada ya kujigonga mwenyewe ukutani alipokuwa gerezeni Asema ripoti hiyo ilikuwa ya uongo, kifo chake hakikusababishwa na kujigonga mwenyewe ukutani na kwamba anaomba radhi...
  3. JamiiForums Tanzania Usaidizi wa gen z wa Kenya waidhoofisha kampeni nonsense ya no reform no elections ya Chadema iliyopoteza uelekeo kisiasa nchini Tanazania

    Kampeni hiyo imezimika kama moto wa mabua mitandaoni, field na ground baada ya wanainchi kuipuuza kizalendo zaidi. Hali hiyo imekuja baada ya gen z wa Kenya kuacha tena kusambaza hiyo ujinga kutokana na m.sarungi kuacha kutoa pesa kwa gen z wa Kenya, na chadema Tanzania nao wakajikuta...
  4. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakulima wadogo wa Kenya wakumbatia teknolojia ya kisasa ili kuongeza mavuno yao

    Magharibi mwa Kenya, mkulima wa mahindi Josephat Ouma alipitia kwenye safu za mabua ya kijani akiwa na simu yake janja mkononi. Alisita na kuinama kabla ya kupiga picha ya jani lililokuwa linaonekana kupatwa ugonjwa. "Zamani nilikuwa nikisubiri mtu aje kusaidia. Tena baadhi ya wakati alikuwa...
  5. JamiiForums Tanzania Kenya memez special tread

  6. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mbunge Kenya aiba vifaa vya simu

    Mbunge nchini Kenya aiba vifaa vya simu,venye thamani ya milioni 1.9 ya Kenya.akamatwa kwa kupitia CCTV camera.Mbunge huyo ni wa Kitui.Polisi wameweza kumjua,baada ya uchunguzi.
  7. JamiiForums Tanzania Natafuta Kijana Alie Kenya Tufanye Dili.

    Hello wakuu Africa Mashariki na Kati, Natafuta Kijana mwenye Hasira kali na maisha, kuna jambo/deal nataka tuifanye hatutatoka mikono mitupu. Nicheki DM tupange tunaanzia wapi.
  8. JamiiForums Tanzania Balaa na Nusu: Kenya wana Kenyans on Twitter (X) ila Tanzania imezaliwa Tanzanians on Instagram (IG). Wanashambulia kama Nyuki

    Hapa Afrika kuna watu wanafahamika kama Jeshi la Mashambulizi. Hao ukianzisha ugomvi nao huko X (Twitter) jihesabie umepoteza pambano kabla hata halijaanza. Watu hao ni Wakenya wa Twitter (X) au kwa jina Maarufu Kenyans on Twitter. Baada ya kudharauliwa kwa muda mrefu Watanzania sasahivi...
  9. JamiiForums Tanzania Godbless Lema, hospitali zote hizi nchini lakini unaenda Kenya ukaangaliwe bega, una hofu gani?

    Imeripotiwa kuwa ndugu Lema alizuiwa mpakani Namanga akidai kuwa alikuwa akienda kwa akina Martha Karua kuangaliwa afya ya bega lake na shida nyingine ambayo hakuitaja. Ukweli hii ilinifikirisha sana kama mtanzania kama kweli tumefika hapo. Ni kweli Tanzania hakuna hospital na wataalam ambao...
  10. I

    JamiiForums Tanzania Lissu, Lema, Mange na Wanaharakati wa Kenya: Wanapigania haki au wanajenga CV kwa Wazungu?

    Kwa muda sasa tumeendelea kushuhudia wimbi la watu wanaojitambulisha kama wapigania haki za Watanzania, lakini maisha yao halisi yako mbali na uhalisia wa mwananchi wa kawaida. Wana uraia wa mataifa mengine, wanaishi kwenye nchi za ulimwengu wa kwanza, huku wakitumia majukwaa ya mitandao na...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Yawezekana Boniface Mwangi na Agather Atuhaire wakawa waongo, ila Mbunge aliyesema "Walitakiwa warudishwe wakiwa kwenye gesi" kachukuliwa hatua gani?

    Mjadala mkubwa kwa sasa ni habari zinazowahusu Boniface Mwangi kutoka Kenya na Agather Atuhaire kutoka Uganda walipokuwa Tanzania. Wakati serikali ilikanusha madai ya ukiukwaji wa haki zao, baadhi ya raia na mashirika ya kiraia walitilia shaka mazingira ya tukio hilo. Lakini hata kama...
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vile Chuki ya Tanzania kwa Kenya was Institutionalized

    By Meshach Yobby (Facebook post) I think this will be my last post on Tanzania, and why their hatred for us was institutionalised. I'll try to summarise. Before independence, Nyerere wanted Kenya, Uganda, Tanganyika, Zanzibar, to form the East African Federation. He knew it would be easier to...
  13. JamiiForums Tanzania Gitonga, mwana tiktok maarufu kutoka Kenya asema Boniphace Mwangi ni muongo wa kutupwa

    Wakenya wameshtukia uongo wa Boniphace Mwangi, wanamuanika upuuzi wake kila mahali.
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ile kesi ya kenya waliofungua kuwashtaki israel kumuua Yesu iliishia wap?

    Mwaka wa 2013 wakenya walifungua kesi kuwashtaki israel kumuua Yesu, mwenye updates kesi iliendaje atutaarifu https://www.timesofisrael.com/kenyan-lawyer-suing-israel-over-jesuss-death/
  15. JamiiForums Tanzania Tetesi: Kampuni ya Kukodisha Helikopta Kenya Yakataa Kuwahudumia Chama cha Chaumma

    Kampuni moja ya kukodisha helikopta nchini Kenya imekataa kutoa huduma kwa Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) Hata sisi tutapata vya kwetu,l😍😍😍
  16. B

    JamiiForums Tanzania PAMOJA VISA iko mbioni kurahisisha watu kuzunguka katika nchi wenyeji wa mashindano ya CHAN 2025

    03 June 2025 Nairobi, Kenya PAMOJA VISA iko mbioni kurahisisha watu kuzunguka latika nchi wenyeji wa mashindano ya CHAN 2025 Michuano ya CHAN 2025 ikiwa inakaribia, nchi tatu za Afrika ya Mashariki zimejipanga kutoa viza maalum PAMOJA VIZA, itakayowapa mashabiki wa soka kuzunguka katika...
  17. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KENYA: Mchungaji achomwa moto na Wananchi kwa kosa la Kumlawiti Mtoto

    Mchungaji huko Nyeri anayeshutumiwa kumbaka mvulana wa miaka tisa ameuliwa na wanakijiji wenye hasira. Simon Ndegwa, ambaye alikuwa mchungaji katika kanisa la True Disciple Ministry na anayefahamika vizuri na familia ya mvulana huyo, anashukiwa kufanya kitendo hicho cha kinyama kwa wavulana...
  18. JamiiForums Tanzania Ni jambo la kawaida kuona wana siasa wanaigiza tupate burudani mfano kule Kenya ila Tanzania wamezidi

    Hapa natoa mfano ila wenzetu Stive Nyerere aka lucas mwashamba kazidi mpaka tumemfahamu kwa kushiriki misiba mpaka kububujikwa na machosi. Sasa angalia movie. Unajua kwa nini lucas mwashamba kuwa na kuweka dot to dot.
  19. JamiiForums Tanzania Demokrasia ya Kenya si demokrasia tena bali chombo cha kuwa pumbaza.

    Kinachonishangaza ni kwamba wanafanya uchaguzi mwaka 2027, but wapo busy as if uchaguzi unafanyika July 2025!... Jamii ya magharibi ilituweza sana kutupatia mfumo ambao baadhi bila kujielewa umewafanya wawe busy for nothing, the way wachache wanavyotaka tanzania yetu iwe hivyo! Wenzetu kila...
  20. JamiiForums Tanzania Naomba mnifundishe kiswahili cha Kenya maana nateseka sana huku, natongoza nakataliwa

    Habari gani wana JF. Wakuu nawakaribisha wale wote wanaojua kiswahili cha Kenya hasa misamiati wanayotumia wanapoongea, misemo yao pamoja na ule mchanganyiko wao wa maneno ya kiingereza na kiswahili (code switching &code mixing). Nasema hivi kwa sababu sasa hivi nikitongoza wanawake wa Kenya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…