Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.
Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).
Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.
Kenya has learnt a lot of lessons about trade. This time Kenya is going alone into a trade agreement with United states of America, a move that has angered her african partners in east africa and the African free trade agreement.
Question is, should Kenya care about what other african countries...
Twelve more patients have tested positive for coronavirus in Kenya raising the total number of COVID-19 cases in the country to 246.
Health CS Mutahi Kagwe, in a press briefing at the Jomo Kenyatta International Airport, said the 12 were confirmed from 450 samples that had been tested by Friday...
Ubalozi wa Uingereza nchini Kenya umetuma ‘tweet’ kutoa taarifa kuhusu Kenya kutuma chakula nchini Uingereza ili kulinda ajira za wakenya walioko Uingereza
Serikali ya Kenya imepeleka tani 40 za matunda na mboga za majani Uingereza ili kufanya ‘supermarkets’ za Uingereza ziwe na vitu na wakenya...
Inspekta jenerali wa Polisi, Hilary Mutyambai amewaagiza polisi kumkamata mtu yoyote atakayeonekana mitaani bila kuwa na barakoa. Kuvaa barakoa ni lazima ili kuzuia maambukizi ya #Covid19. Swala hilo limeshatangazwa na gazeti la serikali kupitia ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali Aprili 6...
Port operations at Mombasa remain steady despite a small variance on the weekly arrival of vessels, occasioned by a slow down in the global supply chain over Coronavirus.
Manufacturing and international trade, cargo volumes remain high compared to last year, Kenya Ports Authority(KPA) data...
Wizara ya Afya ya Kenya imetangaza visa vipya 11 vya #Covid19 na kufanya idadi ya visa nchini humo kuwa 208
Mmoja kati ya waliothibitikakuwa na #CoronaVirus ni mtoto wa mwaka mmoja. Sampuli 674 zimechunguzwa kwa masaa 24 yaliyopita
Wanne kati ya hao waliokutwa na #Covid_19 wanahistoria ya...
Attention all Kenyan Dog lovers and breeding kennels,the annual Kenya police dog auction(In Langata ) has been postponed. This gives you time to prepare your wallet and vocal chords for this annual auction that is also a good family event. This year 18 highly trained and battle ready dogs from...
Waziri wa afya Mh. Ummy muda huu anazungumza na viongozi mbalimbali wa dini juu ya mikakati ya kudhibiti Corona.
--
ALIYOZUNGUMZA WAZIRI UMMY MWALIMU (KWA UFUPI)
Viongozi wa dini mnayo nafasi ya kipekee kutoa taarifa sahihi, kwa weledi na uwazi, hivyo kupunguza uwepo wa taarifa zisizo za kweli...
Ndugu Watanzania na taifa kwa ujumla, mimi leo nakuja mbele yenu kuwaambia jambo moja zito sana na kiukweli naomba mnielewe. Nawaomba tuliombee taifa letu na viongozi wetu wasasa na wazee pia.
Hakuna asiyejua tunapita kipindi gani kama taifa na hakuna asiyejua kwa wakati huu mezani kwa Rais...
Mamlaka ya Usafiri wa Anga imefuta safari zote za ndege za abiria za kimataifa tangu jana.
Ndege za mizigo tu ndio zitaruhusiwa kuingia kwa masharti kuwa wafanyakazi wa ndege hizo watawekwa quarantine kwa gharama zao.
At last, wanasiasa wamesikiliza ushauri wetu juu ya Corona pandemic.
Mother hospital kijijini butere subcounty, kakamega county Kenya
Hamptons floating hospital is a game changer in the Medical industry in the Lake region economic bloc (LREB) and will serve five Lake Victoria Counties.
The floating hospital has been designed and is being build by a large...
Hizi ni mashini ambazo zilikua zilinunuliwa kufanya mass rapid testing ya TB na HIV, mashini hizo saba zimewezesha Kemri kuwa na uwezo wa kufanya test 2 Million za HIV ndani ya wiki. Lakini zilikua zinahitaji software mpya ya kuzifanya ziwe zinaweza kupima corona automatickly, software ho mpya...
The number of coronavirus cases in Kenya has risen to 184 after five more patients tested positive for COVID-19.
Health Cabinet Secretary Mutahi Kagwe on Thursday said the new cases include three Kenyans and two foreigners.
Three of the five patients had traveled from Tanzania while the other...
Wameongezeka waathirika 14 huku mmoja akiwa ametokea Tanzanua na kufanya idadi kufikia 172, hadi sasa Kenya imepima watu zaidi ya 5,000 maana kasi ya kupima imeongezeka, mbinu zinatumika kwa umakini kufuata kila aliyekutana au kuhusiana na waathirika.
-----
Fourteen more patients have tested...
Leo tena Kenya imeripoti visa vipya 16 vya maambukizi ya Corona, huku Rais Uhuru Kenyatta akikumbuka shuka wakati kumekucha, ameagiza wakenya wote kuvaa barakoa wakiwa nje za nyumba zao.
Jambo ni jambo la kupongezwa kwa kuanza kuchukua hatua za dhati za kukabiliana na tatizo la kuenea kwa...
Pamoja na viongozi kupunguza mishahara kwa hadi asilimia 80, kupunguza malipo ya kodi na kuanzisha foundation za kusaidia ambao watathirika zaidi kiuchumi Uongozi unapendekeza kufuta malipo ya umeme na maji kwa miezi sita.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.