kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. Trubarg

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Sheria Kali za kudhibiti Covid 19 zinawalenga masikini pekee

  2. Magonjwa Mtambuka

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mauaji ya kikabila huko Kenya

    Hawa bado wana mambo ya kizamani sana. Eti ukabila bado unawafanya wanyukane mishale na kuuana. Halafu utawasikia oh mbona na huko Tanzania kuna fujo. Kizungu cha ugoko kingii lakini bado. ======= Ethnic killings in Marsabit County continue to intensify as four more people are killed today...
  3. CARIFONIA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kati ya Kenya na Tanzania ni nchi ipi yenye wasichana warembo zaidi?

    Kuna battle nimeiona sehemu fulani kati ya Wakenya na Watanzania kila upande ukijinadi kua na warembo wazuri kumshinda mwenzake, binafsi mimi mara yangu ya kwanza kufika Kenya nilipata shida sana kutofautisha kati ya mwanaume na mwanamke kwani wanawake wengi wa Kenya hawana tofauti na wanaume...
  4. Geza Ulole

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania One of kenya Police mitumbas chopper land crashed in Meru county

  5. Analogia Malenga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Bendera yapepea nusu mlingoti kuomboleza kifo cha Pierre Nkurunziza

    Rais Uhuru Kenyatta ameagiza bendera ya Kenya na ya Jumuia ya Afrika kupeperushwa nusu mlingoti kwa heshima ya marehemu Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza kuanzia kesho Juni 13 hadi siku ya mazishi Rais Pierre Nkurunziza alifariki Juni 9 katika hospitali ya Karusi Fiftieth Anniversary baada ya...
  6. Influenza

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania COVID-19 in Kenya: 90 more people test positive, total rises to 3,305

    90 more people have tested positive for COVID-19 in Kenya bringing the total number of positive cases in the country to 3,305. Health CAS Rashid Aman said all the new patients are Kenyans: 62 are male while 28 are female. The youngest of them is 14 years old while the oldest is 80 years old...
  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Polisi washutumiwa kuwaua watu 15 kiholela

    Kenya: Polisi washutumiwa kuwaua watu 15 kiholela Mamlaka inayoangazia utendakazi wa polisi nchini Kenya IPOA, Jumatano ilisema kwamba Wakenya wapatao 15 wameuawa na polisi katika taifa hilo la Afrika Mashariki katika kipindi hiki ambacho kumewekwa marufuku ya kutoka nje usiku, kati ya masharti...
  8. Cannabis

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Polisi watatu Kenya wakamatwa kwa kumburuza mwanamke kwa pikipiki

    Polisi watatu wamekamatwa nchini Kenya baada ya mmoja wa polisi hao kuonekana akimchapa na kumburuza mwanamke mmoja kwa pikipiki. Mwanamke huyo anadaiwa kuhusiana na tuhuma za wizi mjini Nakuru. Mwanamke huyo amelazwa hospitali baada ya kuumia miguuni na mikononi. Mwanamke huyo amekiambia...
  9. Teargass

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya total paved roads hit 21,000km in 2019

    Kenya total tarmaced roads increased by 1500km in one year to 21,000km in 2019. In 2018, Kenya had a total of 18,600km of paved roads in the entire country. This was three two times what Tanzania had the same year. Paved roads are expected to 23,000km in 2020
  10. President of China

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba watalaam wa pande zote Kenya na Tanzania musaidie. GDP inapatikanaje?

    Salamu wa JF. Naomba matusi yasiwepo. GDP (gross domestic product) inapatikanaje? Mpaka mashirika ya kimataifa wanatoa ripoti. Kwa upande wangu nikichukulia neno domestic product inakuwa na maana ya mazao yatokanao na uzalishaji wa ndani. Ninaomba kujua hao wataalamu wa mashirika ya kimataifa...
  11. Analogia Malenga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Polisi sita kushtakiwa kwa mauaji waliyotekeleza wakati wa 'marufuku ya kutembea usiku'

    Wakenya wapatao 15 wameuawa na polisi nchini Kenya katika kipindi hiki ambacho kumewekwa marufuku ya kutembea usiku ili kudhibiti maambukizi ya virusi vya corona, ripoti huru ya mamlaka inayoangazia makosa ya polisi katika taifa hilo (IPOA) imesema. Polisi sita sasa watashtakiwa kwa makosa ya...
  12. Mwanamwana

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serikali Kenya yatangaza wagonjwa wapya 127 wa COVID 19 na kufikisha idadi ya 2,989

    127 more people have tested positive for coronavirus in Kenya bringing the total to 2,989. Health CAS Rashid Aman said 2,247 samples were tested in the last 24 hours. 124 of the new cases are Kenyans while three are foreigners: 84 are male and 33 are female. The youngest patient is a...
  13. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Why is Kenya more famous than most other African countries? Is this true or exaggeration

    Why is Kenya more famous than most other African countries? This is an interesting question, I’ve also found myself wondering why Kenya is so well known compared to most other African countries, so I did a bit of digging, and here’s what I found: History It is considered the cradle of...
  14. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapambano ya Corona: Kenya yapata msaada wa $78M kutoka Umoja wa Ulaya (EU)

    Katika kupambana na madhara ya corona Kenya imeendelea kupokea misaada kutoka nchi mbali mbali Duniani ili kusaidia sekta ambazo zitaathirika zaidi. Hadi sasa Kenya imeshapokea msaada wa Dollar Millions 350 kutoka umoja wa ulaya na nchi moja moja za ulaya zimeichangia Kenya Dollar Million 33...
  15. Influenza

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wagonjwa 95 waongezeka, baada ya sampuli 1,096 kupimwa ndani ya saa 24. Jumla ya visa yafikia 2,862

    Health Chief Administrative Secretary Dr. Rashid Aman on Monday announced that a record 97 patients were in the last 24 hours discharged from various health facilities in the country after recovering from COVID-19. Dr. Aman, speaking during the daily coronavirus briefings at Afya House in...
  16. Dr Akili

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ona katiba mpya ya Kenya inavyowatesa Wakenya

    Kamwe fahari wawili hawawezi kaa zizi moja. Katiba yao mpya iliweka fahari zaidi ya watatu katika zizi moja. Ona sasa mambo ya utawala wa nchi unavyokuwa mgumu.
  17. Kevin85ify

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Technical Colleges giving Universities a run for their money

    Over 2500 students who qualified to go to University in the class of 2019, have opted to go to technical colleges and pursue diplomas Kenyan Technical colleges have also started gaining recognition globally with Railway Training Institute in Nairobi undergoing a major refurbishment into the...
  18. joto la jiwe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Madereva wa Kenya waomba Serikali yao kuingilia kati kumaliza mgogoro na Tanzania

    Trucks caring goods are parked at Isebania border at Kenya customs parking yard on May 19, 2020. Six truck drives from Kenya were denied access to Tanzania, [Caleb Kingwara, Standard] Kenyan truck drivers urge the state to intervene and facilitate their release after being detained in...
  19. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya yanusuru mabaharia saba wa Tanzania waliokuwa wanazama

    Walikua wanasafiri kutokea Tanga kuelekea Pemba............ Seven Tanzanian fishermen escaped death by a whisker after Kenyan government rushed to their rescue when their boat capsized in the Indian ocean. The group made a distressed call near Mtwapa along the Kenyan Coastline after their...
  20. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya acha wizi wa mlima Kilimanjaro, tumeamua kukuumbua

    Bila aibu kwa miaka mingi sana sasa, Wakenya wana watangazia wazungu na wote duniani mlima Kilimanjaro upo Kenya. Wazungu wote waliodanganywa hivyo wamechukia sana baada ya kuwalazimu kulipia viza za nchi mbili na kupoteza muda mwingi na pesa zao. Huu ni ushenzi wa kijinga na wivu mkubwa...
Back
Top Bottom