kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya yaanza kutumia ‘internet balloons’ na kuwataka watu kutumia 4G

    Rais Uhuru Kenyatta amezindua ‘Loon Internet Balloons’ ambayo yatazipa kasi za 4G simu zote nchini humo. Hii ni baada ya kampuni ya Telkom ya Kenya kuingia Ubia na kampuni ya Alphabet Rais Kenyatta amewataka raia wake kutumia fursa hiyo kukukuza shughuli zake za kiuchumi. Teknolojia hii iliwahi...
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Video: Kenya-Loita yakumbwa njaa baada ya mpaka wa Tanzania na Kenya kufungiwa

  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Gatuzi/kaunti ya Murang'a yaanza ujenzi wa hospitali kubwa ukanda huu kwa ajili ya saratani - maendeleo kote Kenya, nje ya Nairobi

    Kila siku tunalisema hili, miji yote Kenya inapiga hatua za kimaendeleo utadhani wameingiwa na ukichaa fulani, yaani Nairobi inapigwa ushindani mkali sana. Construction of a specialized cancer and research hospital has kicked off in Murang’a County. The facility, estimated to be constructed...
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya Airways (KQ) State Buyout

    KQ shares suspended from Trading at the NSE pending imminent state buyout!!! Current shareholding structure: Suspension of trading at the NSE: My two cents: Its a necessary evil. The commercial banks and minority shareholders will loose money in the transaction but then again, KQ is a...
  5. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania's bus terminal is as Kenya's Jomo Kenyatta lnternational Airport

    Former Dodoma Bus stage before renovation [Source/Courtesy] On July 1, 2020, President John Pombe Magufuli announced that Tanzania had been listed as a middle-income country. Describing the announcement as 'historic achievement', Magufuli congratulated Tanzanians, adding that he had set goals...
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya yapunguza viingilio vya utalii ili kufufua sekta ya utalii iliyoathiriwa sana na Corona

    Kenya jana imetangaza kupunguza ada za kuingia mbuga kuu za wanyama pori kwa watalii kutoka ndani na nje ya nchi hiyo ili kuhimiza sekta ya utalii iliyoathiriwa sana na janga la COVID-19. Taarifa iliyotolewa na Shirika la huduma za Wanyamapori nchini Kenya (KWS) limesema hatua hiyo itadumu kwa...
  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya receives World Travel and Tourism Council Safe Travel Stamp

    Kenya joins Egypt and Tunisia in being certified as a safe tourist travel destination. Only the three countries in Africa have been certified as safe for tourists who want to travel. The announcement was made by Cabinet Secretary for Tourism and Wildlife Najib Balala during the unveiling of the...
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yaani Kenya ipo desperate na mambo ya Tanzania mpaka inashangaza

    Inashangaza kiukweli, Hakuna media ya Kenya iliyoripoti kuhusu Tanzania kuingia kwenye kundi la MIC ila media zao zipo busy kutafuta negative news about us au plotting fake worse news on us. Kutokana na kukaukiwa kabisa kwa habari mbaya na potofu kuhusu Tanzania, walivyo wapumbavu wamekuja na...
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania United States to pump Kes 5 billioni into Kenya economy

    The American ambassador to Kenya, Ambasador Kyle McCarter has announced that the United states will pump kes 5 billion into the Kenyan economy to support the health sector and to help in economic recovery. This will be the first of three planned injections of money into the Kenyan economy by...
  10. JamiiForums Tanzania Raia wa nchi 11 kutoka Afrika mbioni kuruhusiwa kuingia nchi wanachama wa EU kuanzia Julai baada ya nchi hizo kufungua mipaka

    Kwa mujibu wa Euronews orodha ya awali inaonesha raia wa nchi za Mozambique, Angola, Namibia, Ethiopia, Zambia, Rwanda, Uganda, Misri, Tunisia, Algeria na Morocco wataruhusiwa kuingia nchi za Umoja wa Ulaya (EU) Inaelezwa huku Ulaya ikiwa inajiandaa kufungua mipaka, Maafisa wa nchi hizo...
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: A hub of medical personal protection equipment manufacturing

    Over 95 local manufacturers have been trained on quality development of PPEs by McKinsey & Company, with funding support from the UK Department for International Development (DFID), as part of a partnership with the Ministry of Trade, Industry and Enterprise Development (MoITED). The...
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya and South Africa dominate Africa's private equity fund

    Kenya and South Africa dominate Africa's private equity fund Series A and Series B deals together accounted for 29 per cent of the total deal volume and 38 per cent of the total value of early-stage deals. In Summary Fintech and information technology dominated the African start-up scene, with...
  13. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Mwanamke atuhumiwa kuwaua wanaye kwa sumu

    Mama mmoja aliyefahamika kwa jina moja la Beatrice(42) amewaua wanae wanne kwa sumu, Mjini Naivasha Kenya. Watoto hao ni wana umri kati ya miaka miwili hadi minane Imedaiwa ya kuwa mwanamke huyo alikuwa amesimamishwa kazi kwenye Taasisi isiyo ya kiserikali, NGO mjini humo miezi miwili iliyopita...
  14. JamiiForums Tanzania Kwanini majirani zetu na Washirika (Kenya, Uganda na Rwanda) COVID-19 inazidi tu kuwatesa lakini Tanzania wala hatuna habari nayo?

    Je, 1. Tanzania ni nchi iliyobarikiwa sana duniani kuliko nyinginezo? 2. Tanzania ina Raia ambao wana Kinga za Mwili Kali sana? 3. Kenya, Uganda na Rwanda hakuna CORONA kihivyo ila wanazidisha tu Idadi 24/7 ili wapate Pesa za IMF na WB? 4. Ile Sindano ya NDUI tuliyoipiga miaka ya 80 wakati wana...
  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukahaba Kenya: Licha ya Corona, Biashara inaendelea sasa mchana kweupe (Video)

    Wakenya humu huwa na tabia za kusingizia mataifa mengine eti wanawaletea Corona kumbe Nairobi wadau wanaendelea kunyanduana huku wakupumuliana na kumwagiliana Ute ulio jaa Corona. Lakushangaza ni kwamba hawa makahaba hautasikia serikali inawapima corona, Madereva wa kutoka nchi jirani eti ndio...
  16. JamiiForums Tanzania Kenya KANU ndiyo ipo madarakani, Upinzani Afrika bado sana

    Great thinkers, Nadhani kila mmoja sasa anaelewa kwamba Vyama vya Upinzani havifai kabisa kupewa kuongoza nchi. Kenya mwanzo wakachagua wapinzani, baadaye wapinzani wakagombea madaraka mpaka kuuana, wakaamua kumchagua Uhuru Kenyata kwa kusema “turudi nyumbani kumenoga”. Kwa hilo somo...
  17. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: CUEA (Catholic University Of East Africa) Wins ICC Moot

    Our Faculty of Law has scooped the Best Regional Memorial for Africa Award at the just concluded 2020 edition of the ICC Moot Court Competition. The competition which brought together 71 teams from 50 different countries is organized by the Grotius Centre for International Legal Studies and...
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serikali ya Kenya yarekodi ongezeko kubwa la matumizi kwa "burudani/sherehe" za Ofisi ya Rais, lengo la ukusanyaji kodi 2019/20 lashindwa kufikiwa

    Ofisi za Rais Uhuru Kenyatta na Makamu wa Rais William Ruto zilitumia KSh1.18 bilioni kwa sherehe na maadhimisho mbali mbali, katika miezi tisa iliyopita hadi Machi 2020; hii ikiwa ni ongezeko la Sh422 milioni kutoka kipindi kama hicho kilichopita mwaka jana. Kulingana na taarifa zilizotolewa...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Prof Kabudi: Tanzania tuliipigia kura Kenya Baraza la Usalama UN. Wametushukuru, nasi tumewaambia hapana ule ni wajibu wetu kama ndugu!

    Prof Kabudi amesema Tanzania iliipigia kampeni na hatimaye kura ndugu zetu Kenya kuwa mjumbe katika baraza la usalama la UN. Kabudi amewataka watanzania kupuuza uzushi wa wapinzani kwamba hatukuiunga m!ono Kenya. Source ITV habari Maendeleo hayana vyama!
  20. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukabila Kenya: Mgawanyo wa Wizara za Kenya kulingana na Makabila

    Kikuyu everywhere mwaswast MK254 Geza Ulole
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…