kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya hits a record high of 688 new COVID-19 cases

    Kenya on Saturday recorded 688 new cases of Covid-19, raising the country's total confirmed cases to 12, 750, Health CS Mutahi Kagwe has confirmed This is out of 4, 522 samples that were tested in the last 24 hours as the cumulative samples tested so far rose to 238,163. 425 of the cases are...
  2. JamiiForums Tanzania TANZIA Msanii maarufu wa vichekesho Kenya Jina Papa Shirandula aaga Dunia, corona yahusishwa

    Msanii maarufu wa Kenya kwa jina Papa Shirandula amefariki dunia jumamosi asubuhi leo baada ya kupatwa na matatizo ya upumuaji. TV actor and comedian Charles Bukeko popularly knows as "Papa Shirandula" has died in Nairobi. His brother-in-law Rowland Wanyama, told the Star that the actor...
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sababu ya Watanzania kuidharau Kenya

    Mimi ni Mtanzania asilimia mia ila kutokana na mitihani ya maisha, nikipata fursa (bhati) ya kusomea Kenya kutoka primary at Kisii-gesima _Mosobeti way, Dorcas Academy, Secondary at Nyari Sstate, Karura SDA, uni mku theka. Ninaijua Kenya vzuri kwa miaka na mijukuu. Sikatai Kenya ipo mbali sana...
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: KEMSA yashutumiwa kufanya ununuzi wa vifaa kinga dhidi ya Corona kwa mara mbili ya bei halisi

    Kenya Medical Supply (KEMSA) ambayo inahusika na ununuzi wa dawa na vifaa tiba kwa vituo vyote vya Afya vilivyopo Kenya imeingia katika kashfa nyingine kutokana na ununuzi wa vifaa vya dharura dhidi ya ugonjwa wa COVID-19. Taarifa zinasema vifaa hivyo vilinunuliwa kwa gharama ya juu sana...
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Pigo kwa Kenya katika vita dhidi ya Corona baada serikali kufunga vituo 20 vya kupima corona

    Vita dhidi ya maambukizi ya virusi vya Corona imepata pigo kubwa nchini Kenya baada ya serikali kufunga kimya kimya vituo 20 vilivyokuwa vikihusika na ukusanyaji wa sampuli kwa ajili ya vipimo vya maambukizi ya virusi vya corona. Serikali imeamua kuhamisha nguvu zaidi katika kutibu na kuhudumia...
  6. JamiiForums Tanzania Tanzania has what it takes to be ‘African economic giant'

    East Africa’s sleeping giant is finally awakening. Right in the middle of the global Corona virus pandemic, Tanzania has provided a rare piece of good news — on 1 July 2020, the country achieved its middle-income vision five years ahead of schedule. As a coastal economy bordering eight...
  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: One of the oldest UK schools(Durham school), set up first african branch in Nairobi

    Durham International School, which is one of the oldest schools in England, is set to open its first branch in Africa in Nairobi, Kenya. The school is located in the leafy suburbs of Thigiri and is expected to open in January 2021. The school will offer the British curriculum and will start...
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya rules EAC in trade (Uchumi wa makaratasi)

    Kenya’s trade in EAC up despite tensions Kenya’s trade with the six-nation East African Community improved by 57.7 percent in the first quarter compared to a similar period last year despite the long-standing trade tension with some of the member states. FILE PHOTO | NMG Kenya’s trade with...
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya yafaulu kuuza maparachichi kwa mataifa 42, mwendo wa mbele kwa mbele, wakulima wetu hoyee

    Hii nchi tunapambana sio mchezo, shukrani za dhati ziwafikie wanaotafuta haya masoko maana hali inazidi kunoga kwa wakulima wetu. Kenyan avocado exports hit a record high in the first half of 2020 with more than 58,400 tonnes sold to 42 countries, thanks to the Covid-19 pandemic. Data from the...
  10. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya wanatuzidi, Rwanda wanatuzidi

    I was looking to some statistics, hawa jamaa wanatuzidi; hata kama tutabisha lakini ukweli uko hivyo, ndio maana hata level ya utapeli iko juu kwao kuliko Tanzania. The good examples are the level of development between East Africa reached in relation to the number of graduates per year. Kenya...
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya kinara wa kukopa toka China

    Click and read
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Coronavirus cases in Kenya hit 10,105 after 379 more people test positive

    Watu 379 zaidi watangazwa kuwa na maambukizi ya #CoronaVirus na kufanya maambukizi kufikia 10,105. Katika maambukizi mapya 376 ni wakenya na 3 ni wageni. Pia watu 49 wameripotiwa kupona na kufanya idadi ya waliopona kufikia 2,881. Vifo vya #COVID19 nchini humo vimefikia 185 baada ya mtu mmoja...
  13. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Pakistan sasa ndio inaongoza kwa kuagiza bidhaa kutoka Kenya, ikumbukwe na Marekani tunaingia nao mkataba

    Hongera na pongezi za dhati ziwafikie timu inayopambana kutafuta soko la mbali, hii muhimu sana maana humu EAC na Afrika ya kati wote tushawatia kwapani, sasa ni mwendo wa kuhakikisha na huko nje wote tunawaburuza. Pakistan ambao tunawauzia majani chai kwa wingi, uagizaji wao ulipandisha 19.37%...
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya inafanya maigizo na COVID 19

    Kenya imetangaza watalii hawatakwenda karantini watakapo tua nchini humo. Ila zuio hilo la kutokwenda karantini linawahusu watalii wazungu tu watakao ingia kenya. Kufuatia kile kinacho itwa JUHUDI ZA KUPAMBANA NA CORONA mnamo machi 20,2020 nchii hiyo ilifunga anga lake na kutoruhusu wageni...
  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Trump azipiga lock nchi zote Africa kasoro 1 tu. Trade deal na Kenya is laughable

  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya vs Tanzania vs Ethiopia statistics

    This video compares some of the countries in Eastern Africa using their GDP Nominal, GDP Per Capita and their total Population. This video is based on data gotten from World bank, Imf and Wikipedia from 1960 to 2020.
  17. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya Ranked Top in Tax Reform Report by OECD

    Kenya was on Thursday, July 9, ranked among leading countries fostering tax reforms for economic growth in a global report on corporate taxation. The report commissioned by the Organisation for Economic Co-operation and Development (OECD) singled out Kenya as one of the global jurisdictions...
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya ipo kwenye hatua za mwisho za mazungumzo ya kufungua soko lote la USA kwa bidhaa za Wakenya

    Huu mkataba utakua wa kwanza baina ya Marekani na taifa la ukanda huu wa Sahara, ikumbukwe Marekani ndio ya tatu kwenye soko la bidhaa zetu na sasa inafungua soko lote wazi kwa ajili yetu. Ni muda wa kuchangamkia mbele kwa mbele, takwimu zinasema yaani hata tukipata asilimia tano tu (5%) ya...
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Biashara ya matunda kutoka Kenya kwenda Ulaya yazidi kunoga kwenye kipindi cha Corona

    Yaani haijatokea tena kwenye historia kipindi ambacho mauzo yetu ya matunda Ulaya kuwa kiasi hiki, yaani Mkenya ni king'ang'anizi kwenye kila hali. Hongera sana "bandugu" ====== Horticulture shrugs off Covid-19 to earn Kenya Sh72bn in five months By GERALD ANDAE Earnings from...
  20. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jukwaa linahusu Kenya lakini waanzisha thread karibia wote ni wa TZ

    Wakuu, nimetafakari sana baada ya kupitia threads za kwenye jukwaa hili. Utakuta waanzilishi wa threads zilizo nyingi ni wa TZ badala ya wakenya. Hii imekaaje? Tujadiliane.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…