kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. luangalila

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hakika yametimia sasa ya Kenya na COVID-19

    Huyu ni Mkenya Mwanasiasa gani? Hebu mtujuze watu wa 254
  2. toplemon

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya kujenga kituo cha Umeme wa Nyuklia chenye kugharimu dola Bilioni 5 na kuzalisha Megawati 4000

    Kenya kujenga kituo cha umeme wa nyuklia chenye kugharimu dola bilioni 5 kinu hicho kinatarajiwa kuwa kitazalisha umeme wa Megawati 4000 Shirika la Nishati ya Nyuklia la Kenya (NuPEA) limewasilisha ripoti kuhusu mpango wa ujenzi wa kituo cha kuzalisha umeme wa nyuklia ambacho ujenzi wake...
  3. Analogia Malenga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania COVID-19 Kenya: watu 48 wa familia moja wakutwa na maambukizi

    Wizara ya Afya ya Kenya imetangaza maambukizi mapya 671, yaliyotoka kwenye sampuli 62,00 zilizopimwa saa 24 zilizopita. Idadi hiyo imefanya jumla ya ya maambukizi kufikia 23,873 Katika watu hao waliothibitika kuwa na CoronaVirus 633 ni wakenya na 38 ni wageni. Pia idadi ya waliofariki imefikia...
  4. Analogia Malenga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Mwanamke wa miaka 62 akamatwa kwa ujambazi na kuhukumiwa miaka 35 Jela

    Joyce Wairimu Kariuki (62) amhukumiwa kwenda jela miaka 35 baada ya kukuta na hatia ya ujambazi. Amekutwa na hatia ya kuhusika kupora vyombo vya moto kwa mwaka 2018 na 2019 Rekodi za Upelelezi wa Makosa ya jinai zinamtambua mama huyo kuwa ni mwanamke aliyewahi kutumikia kifungo cha miaka 15...
  5. Kevin85ify

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Horticulture shrugs off COVID-19 to earn Kenya Sh. 72 bilioni in five months

    Earnings from horticulture exports grew by Sh. 7 billion in the first five months of the year. This was helped by high demand for vegetables and fruits, defying the Covid-19 scourge that disrupted the global market, where Kenya sells the bulk of its produce. Data from the Directorate of...
  6. eliakeem

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa kilio hiki cha Kenya kwa Tanzania: Kweli sindano imegusa mfupa

    Kama ilivyo kawaida ya Kenya kuonesha tabia za kitoto za kumchokoza kaka yake au mkubwa kwake kiumri na nguvu. Lakini pale yule mkubwa akichoka kuvumilia na kuamua kumuadhibu labda tu kwa kumpa kwenzi la wastani la utosi, basi huyo mtoto mchokozi hulia na kukimbilia kusema kwa mama/baba. Hiyo...
  7. Tony254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya isilegeze kamba kwenye kuban Watanzania

    Kenya isikubali Watanzania waje huku kutuongezea corona. Hawa Watanzania wanadanganya eti hawana corona lakini ni dhahiri shahiri kuwa wao wana corona na wanakufa kwa wingi tu. Kenya isiogope hasira za mkizi kutoka kwa Watanzania. Afya ya Wakenya ipewe kipaumbele.
  8. Analogia Malenga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Baba amuua binti kwa kipigo na kutaka kumzika kwa siri

    Maurice Owino Owaga Mkazi wa Muhoroni, Kisumu anashikiliwa na polisi kwa kosa la kumpiga binti yake wa miaka 15 na kumsababishia kifo. Mtu huyo alikamatwa akiwa anajiandaa kumzika kwa siri Baba huyo alimpiga binti yake kwa kosa la kulala kwa mwanaume bila kuwa na idhini yake. Kaimu Kamanda wa...
  9. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watanzania mjiulize kwanini mnatengwa na dunia hata kwenye misiba, japo mnapenda kuililia Kenya

    Kwenye msiba wa mzee Mkapa, kwa majirani zenu wote, Burundi tu ndiye alijitutumua kutuma ujumbe, sisi Wakenya tulituma japo ikasemekana mliwafukuza na kusingizia hali ya hewa, Malawi hakuja mtu, Zimbabwe hakuja mtu, Zambia kimya, Mozambique wala hata mmoja, Rwanda ndio chali kabisa, Bakongo/DRC...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa Prof. Kabudi; Mipaka imefunguliwa kati ya Kenya na Tanzania kwa usafiri wa ndege; sisi wa usafiri wa shuttle barabarani ndio wenye Corona?

    Niliposikia Kenya na Tanzania wamefikia muafaka kuhusu kusafiri kwa ndege kati ya Dar es Salaam na Nairobi, nilidhani kwamba makubaliano haya yangehusu pia usafiri wa shuttle kati ya Arusha na Namanga. Kufika Arusha naambiwa hakuna kitu cha namna hiyo, bado wanaoruhusiwa kuvuka mpaka pale...
  11. X

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Three myths about foreign aid to Kenya

    The World Bank and IMF have received much press attention in recent weeks in Kenya. The Kenyan Kazi Kwa Vijana (“work for youth”) initiative, which the Bank was supporting through its Youth Empowerment Project, and Government’s decision to request substantial IMF funding to support...
  12. Mbasembase1970

    JamiiForums Tanzania Mgogoro wa Kenya na Tanzania

    NARUDIA TENA :- WATANZANIA WAKENYA WASIWASUMBUE. Na Thadei Ole Mushi. Wiki hii toka jumatatu joto la kidiplomasia Kati yetu na Kenya limepanda Kiasi. Joto hili linasababishwa na vurugu za ugonjwa wa Corona. Nimejaribu kwa kiasi kuwaonyesha watanzania sababu za kuendelea kukataa mchezo wa...
  13. kavulata

    JamiiForums Tanzania Kenya inakosea kuhusu Corona ya Tanzania

    Watanzania pia Ni binadamu wanaoogopa kufa. Isingewezekana mtu aache kujifungia (lockdown), kunawa mikono, kujisanitize, kuvaa barakoa na kukaa mbali Kama jirani zake, wafanyakazi wenzake, wanachezaji wenzake, wafanyabiashara wenzake, wanafunzi wenzake na ndugu na jamaa zake wangekuwa wanakufa...
  14. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania USA, mataifa mengi Ulaya na India ni miongoni mwa ambao ndege zao bado haziruhusiwi kuingia Kenya, natumai hawatalialia kama Watanzania

    Ilipotolewa orodha ya ndege zinazoruhusiwa kuingia Kenya, na humo Watanzania wakaona zao hazimo, jamaa wamelialia sana ikiwemo hata wale ambao hawajawahi kukaribia uwanja wa ndege na wala hata siku moja hawategemei kuiona ndege wachilia mbali hata kuabiri. Taifa lote kuanzia walalahoi mitaa ya...
  15. Dr Mathew Togolani Mndeme

    JamiiForums Tanzania Kamgogoro baridi kati ya Kenya na Tanzania, nani yuko sahihi?

    UTANGULIZI: Kwa mara nyingine tena kumejitokeza “kamgogoro baridi” kati ya Kenya na Tanzania kanakofikirisha sana. Nimeona baadhi yetu tumekua wepesi kuilaumu serikali yetu kwa uharaka kutokana na kwa uamuzi "wa kibabe" wa kuifutia Kenya Airways kibali cha kuingia kwenye anga la Tanzania...
  16. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watanzania mbona hii hamuipigii kelele, lakini kwa Kenya mnang'aka hadi mnatia huruma

    Ona kwenye hii picha mlivyochorwa kwa alama nyekundu kwamba ukanda huu wa EAC ni nyie tu mnatakiwa mpimwe corona ndani ya masaa 96 na pia mpimwe mara mbili, moja kwenu na nyingine huko UAE kabla kuingia, hamjiulizi mbona dunia inawatenga licha ya kujiaminisha mumepona corona kimiujiza. Sisi...
  17. Ntaghacha

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hatimaye Kenya yaipigia magoti Tanzania

  18. Alex Fredrick

    JamiiForums Tanzania Watanzania Wakenya Wasiwasumbue

    NARUDIA TENA :- WATANZANIA WAKENYA WASIWASUMBUE. Na Thadei Ole Mushi. Wiki hii toka jumatatu joto la kidiplomasia Kati yetu na Kenya limepanda Kiasi. Joto hili linasababishwa na vurugu za ugonjwa wa Corona. Nimejaribu kwa kiasi kuwaonyesha watanzania sababu za kuendelea kukataa mchezo wa...
  19. Warue

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Malawi nao wapiga stop Kenya airways

    Kutaka kujifanya kiranja wa Africa itawatokea puani
  20. Dam55

    JamiiForums Tanzania Kenya yaanza kulia lia, yadai haikuzuia ndege za Tanzania badala yake walitaka watu kutoka Tanzania wakitua Kenya wawekwe Karantini

    Tanzania na Kenya wafafanua suala la kuzuia Ndege Mkurugenzi wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga nchini (TCAA), Hamza Johari, amesema kuwa sababu iliyopelekea na wao kuzizuia Ndege za Kenya kutua nchini ni baada ya nchi hiyo kuzuia ndege za Tanzania kutua kwao na kuongeza kuwa hali ya namna hiyo ni...
Back
Top Bottom