kenya

Kenya
Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi.

Kenya imepakana na Ethiopia (kaskazini), Somalia (kaskazini mashariki), Tanzania (kusini), Uganda na Ziwa Victoria (magharibi), kisha Sudan Kusini (kaskazini magharibi).

Kenya ni nchi mwanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wa miundo mingine mbalimbali ya kimataifa.

Mji mkuu ni Nairobi.
  1. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya SGR: Cargo earnings grow to kes 1.04 billion monthly in 2020

    Monthly earnings from the Mombasa-Nairobi-Naivasha SGR has increased to kes 1.04 billion monthly over the last two months since the president lifted curfew to 9 pm from 7 pm. June’s earnings amounted to nearly Sh1.04 billion after President Kenyatta eased curfew hours to 9 pm-4 am from previous...
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hatma ya Raila Odinga kwenye siasa za Kenya

    Tangu kuwepo kwa ushirikiano kati ya Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta na kiongozi wa upinzani Raila Odinga mnamo Machi 9, 2018, kumekuwepo na maswali chungu nzima kuhusu hatma ya kisiasa ya Bw. Raila Odinga katika uchaguzi mkuu wa mwaka wa 2022 nchini Kenya. Wengi wamekuwa wakikisia na kujaribu...
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Taharuki baada ya raia wa kigeni wanaokabiliana na kesi ya utoaji rushwa kutinga mahakamani na PPE

    Utaratibu wa kesi katika Mahakama jijini Mombasa Alhamisi ulilazimika kuahirishwa baada ya raia watatu wa China kuingia mahakamani huku wamevalia Vifaa vya Kinga ya Kibinafsi (PPE). Hakimu alilazimika kuahirisha kusikilizwa kwa kesi hiyo baada ya kudhani watuhumiwa hao ni Maafisa wa Wizara ya...
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Massive irrigation project nears completion in Isiolo, Kenya

    Burat is set to become the breadbasket of Isiolo County as the Sh381 million Game Galana irrigation project funded by the national government nears completion. The project, which is expected to benefit over 500 farmers, will be completed in the next two months, officials said. Speaking when he...
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Pesa ya COVID inatafunwa bila huruma

    Watani zetu Hawa wamepata 223 Billion Ksh. Toka taasisi za kimataifa eg, IMF, EU n.k kupambana na COVID19 ndo maana kutwa kutoa data za kubumba. Sasa pesa wanafyonza wachache huku wanyonge wakiendelea na changamoto pendwa. *Washaanza kukamatana uchawi huko ====== Push for State to explain...
  6. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nakuru Town Kenya

    Beautiful town. Fourth largest in Kenya
  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watanzania wanatafuta Kenya na Wakenya wanatafuta Afrika Kusini

  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake kutoka Kenya watelekezwa mitaani na mabosi wao baada ya mlipuko nchini Lebanon

    Kutokana na mkipuko nchini Lebanon, raia wengi wa Kikenya ambao wengi wao ni watumishi hohehahe kwenye mataifa mengi duniani hasa uarabuni na hivyo kutuma remittances nyingi kwao, watelekezwa na maboss wao kutokana na mlipuko Lebanon Kenyan women and children abandoned on the street outside...
  9. JamiiForums Tanzania Msimu Huu Baada ya Majanga ya Corona, Covid -19 unatumia kiasi gani kwa Siku?

    Gharama zako za matumizi kwa siku zimekaaje katika kipindi hiki? Mfano chakula, usafiri, matumizi ya simu, vinywaji na kadhalika. Tuchangie mada hii wana jf..
  10. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania yapiga marufuku Media za Tanzania kurusha matangazo kutoka kwa Media za Kimataifa/Kigeni

    Could this ever happen in Kenya? The Tanzanian government has banned Local Media from broadcasting 'foreign made content', wait for it... without permission from the government and the relevant authorities. Content and direct broadcasts from international media like BBC, VOA, DW etc will now be...
  11. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya Airways yatoa notisi ya kupunguza marubani

    Shirika la Ndege la Kenya (KQ) limepanga kupunguza marubani, ikiwa ni mpango wa Shirika hilo kupunguza asilimia 40 ya wafanyakazi wake kufuatia janga la CoronaVirus Katika barua yake kwa Chama cha Marubani (Kapla) Mkurugenzi Mtendaji wa KQ, Allan Kilavuka amesema kufuatia ukaguzi waliofanya Mei...
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Likija kwenye suala la miundo mbinu, University of Ghana imeshinda university yoyote ya Kenya au Tanzania

    University of Nairobi imeishinda university of Ghana kimasomo, (tukizingatia ranking) lakini university of Ghana ina miundo mbinu (infrastructure) ya ajabu. Imejengwa ikajengeka. Ina majengo mengi na yenye hadhi ya juu. Hakuna university hapa A.M imeikaribia kwa majengo.
  13. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ameongea na Radio Citizen Kenya asubuhi ya leo, ameleezea hali ya usalama nchini pamoja na suala la Corona

    Hii ndio taarifa mpya inayozagaa mitandaoni kwa sasa. wote mnakaribishwa === Mgombea wa Urais, kupitia Chama cha Upinzania CHADEMA Tundu Lissu, alivyohojiwa na Citizen Online Radio Station, kutoka Nairobi Kenyan Tundu Lissu aongea mengi kuhusu mustakabali wa Tanzania, ambae anagombania...
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Konza meeting centre tender now approved construction to start

    After south korea confirmed the commencement of construction of Kaist (Kenya Advanced Institute Of Science & Technology) in Konza city, modelled after Kaist in Daedeok Innopolis, Daejeon, South Korea . Today GOK has revealed that a final contractor has been identified and tender awarded for the...
  15. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Covid-19: US raises travel alert levels for Kenya

    Covid-19: US raises travel alert levels for Kenya The US State Department on Friday raised the levels of its advisories on travel to Kenya and other East African countries partly due to concerns about the spread of the coronavirus. The new alerts urge prospective visitors to the region to...
  16. JamiiForums Tanzania Tanzania soon tunawapiga bao Kenya kwenye kupata mizigo mingi zaidi EA

    Ijumaa Karim ndugu zangu Watanzania. Tanzania kupitia bandari ya Dar kwa sasa imevutia kupitisha mizigo mingi hasa toka Burundi kwa ku-charge bei ambayo wateja wanaweza kumudu. Kwa mujibu wa gazetu la the East African ninanukuu "On average it costs $1.80 per kilometre per container to transport...
  17. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bodi ya Mishahara Kenya yapinga Wabunge kuongezwa pensheni

    Bodi ya mishahara nchini Kenya imepinga mpango wa kuongeza pensheni kwa wabunge 375 wa zamani. Mkuu wa bodi hiyo, Lyn Mengich, amesema iwapo wabunge wataongezewa pensheni wafanyakazi wengine wa ofisi za Umma watataka mishahara yao iongezwe pia. Wiki hii wabunge nchini humo walipitisha muswada...
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania M-Pesa: Ubunifu wa Kenya wazidi kuongoza Afrika kwa miamala

    Mchango wetu kwa ukuaji wa Africa ni jambo la kufurahisha kwa kweli, tulibuni MPESA na sasa inazidi kuwa tegemeo la Afrika. === Mobile money platform M-Pesa is now processing transactions of Sh1.6 trillion per month in Kenya and other African countries, making it the largest payment platform on...
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania After failing to build cable stayed bridge Kenya has resorted to build a pedestrian floating bridge

    ======= Works on the first floating footbridge across the Likoni Ferry channel have started. The Sh1.7 billion bridge contracted to the China Road and Bridge Corporation is being erected at Liwatoni on the island side and is a composite structure designed for pedestrians only. It starts at...
  20. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Tunasikia taarifa watu wanakufa kwa Corona lakini haisemwi wazi. Serikali imerekebisha Sheria inayozuia kupeana taarifa

    Muda mfupi mh Tundu Lissu atakuwa mbashara kuanzia saa 8: 00 mchana,Vituo vitakavyokuwa live Ni @standardKenya na @KTNNews, hii Ni kwamjibu wa Tumaini Makene ====== Mwandishi: Mchakato wa kupona ulikuwaje? Lissu: Asante kwa kushiriki kwenye kipindi chenu na kuongea na wananchi wa Kenya kuhusu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…