Waliouwawa kipindi cha uchaguzi wa 2025, ni Watanzania wenye itikadi mbalimbali, Wana CCM, Chadema na wasio na vyama
Kufanya maridhiano kupitia majukwaa ya kisasa na kuhusishwa vyama pekee, haitatosha, Watanzania waliopoteza watu wao hawatatendewa haki
Kwa MAONI YANGU,
Juhudi zilizoelekezwa...
Mtaalamu wa teknolojia nchini Kenya, Eliud Gilisho, amebuni mfumo mpya unaoitwa Afande, unaolenga kukabiliana na wizi wa simu kwa kuwezesha simu iliyoibwa kupiga kelele, kufuatilia eneo ilipo na kurekodi picha za video zinazoweza kusaidia kumtambua mwizi.
Ubunifu huo umetokana na tukio la mwaka...
Nashindwa kuelewa weledi wa police wa Tanzania, sijui huko huwa wanajifunza nini! Wengi wao wanafanya kazi kwa nidhamu ya uoga na kujipendekeza pendekeza.
Pia uhuru wa wananchi kueleza hisia zao ni sufuri, huku Samia akijibainisha kusimamia haki, sijui haki gani huwa anaongelea?
Kuna shangingi wa kisiasa anataka ligi na Heche. Anadhani kwa maneno Yake ya kishangingi ataweza kuipasua gnome ya CHADEMA.
Tundu Lissu kisha sema yupo tayari kulipa gharama, hata kama mtaamua mumnyonge Leo, Yuko tayari, lakini si kumpigia magoti kinyago yoyote au mwanasesere yeyote. Huu ni...
Unataka waache kupakuana wakupakue wewe?
Juzi jamaa mmoja aliyefukuzwa kazi polisi nilikuwa tunapiga naye story na nikasema Mimi nimewahi kukwepa mitego kadhaa ya mashoga walitaka niwapakue.
Mashoga 3 live kabisa watu ambao huwezi kudhani kuwa kipa kahama golini. Na wengine huko mitandaoni...
Mtaa wa Miswe, Kata ya Mbwawa, Mkoa wa Pwani kuna kiwanda cha unga kilichofunguliwa katikati ya makazi yetu tangu Mwaka 2025. Kiwanda hicho kinamilikiwa na wawekezaji kutoka Nigeria na kimekuwa kikitoa kelele kubwa kutoka kwenye mitambo yake.
Kelele hizo zinatusumbua sana, hasa wazee, wagonjwa...
Kwa muda mrefu Sasa wananchi waishio eneo ya Garden magomeni mapipa wamelalamikia mwekezaji aliepewa eneo hilo kuwa kero kwao.
Kwa mambo mawili:
La kwanza ni kuziba njia ya asili iliyopo eneo hilo nyuma ya dasawa magomeni ambayo kwa miaka mingi ilitumika Kama kiunganishi na njia kwa waenda kwa...
Balozi polepole ukiwa hai au umekufa bado tunakukumbuka, tumenyamaza lakini hatujakusahau. Mambo bado ni mabaya sana, Mafwele anaandaliwa kuwa kuwa IGP nafikiri ni namna ya kumlinda.
Wakuu, inakuwaje!Kuna swali moja la kijamii linalonikosesha amani sana mtaani kwa sasa na nimeona tulilete hapa jukwaani tulichambue kiume: Kwanini nguvu zote, kampeni, na kelele za "linda mgongo wako" zimehamia kwa watoto wa kiume tu? Kwani mgongo wa mtoto wa kike haupigiwi kelele ulindwe...
WATANZANIA wana sifa moja kubwa sana ambayo mpaka leo mataifa mengine duniani wanashindwa kuelewa ni watu wa aina gani. Watanzania ni watu ambao wanaunganishwa kwenye jamii zao kwa mambo ya kijamii ikiwemo misiba na sherehe na mambo mengine ya namna hiyo.
WAKATI nchi zingine watu wanaalikwa...
Mimi ni mkazi wa Mbuyuni-Salasala, Dar es Salaam. Kuna baa mpya imeanzishwa takribani miezi miwili na nusu iliyopita, ikiwa kwenye ghorofa, na imekuwa kero kubwa kwa wakazi wa maeneo ya jirani.
Muziki unaopigwa kwa sauti kubwa huendelea hadi usiku wa manane, hali inayofanya iwe vigumu kupata...
Zanzibar sio dola huru hii ni kwa mujibu wa Montevideo convetion of statehood Article one.
Mtapiga kelele sana na hicho chama chenu cha wahafidhina wa Act Wazalendo lakini hamtafanikiwa.
Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), limebainisha mikakati na hatua mbalimbali zinazochukuliwa katika kukabiliana na changamoto ya uchafuzi wa mazingira utokanayo na kelele za nyumba za ibada.
Akizungumzia kero ya kelele hasa zile zinazosababishwa katika nyumba za ibada...
Kisa cha Mtu Aliyekataa Kufa Moyo!
Unapopitia changamoto na kuona kama kila kitu unachojenga kinaporomoka, kumbuka kisa cha mwanamume aliyeshuhudia kiwanda chake kikiangamizwa na mabomu ya vita kisha tetemeko la ardhi likafagia kilichobaki!
Soichiro Honda alianza kwa kutengeneza vipuri vya...
Wanabodi,
Hii ni Makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la leo, kwanza nitoe pongezi kwa mwandishi wa habari, Saed Kubenea na gazeti lake la Mwanahalisi kwa kuripoti ukweli bayana wa kitu cha kweli. Kubenea na Mwanahali watangazwe ni Mashujaa wa Habari, nimeitaka CoRI, kutetea uhuru wa habari...
Wakazi wa Nairobi wanaopanga harusi, ibada, roadshow, ujenzi au hafla nyingine zinazoweza kusababisha kelele sasa wanaweza kulazimika kulipia vibali vya kelele chini ya Nairobi City County Finance Act, 2026.
Chini ya sheria hiyo, harusi zinazofanyika katika maeneo ya makazi zitatozwa KSh20,000...
Wanabodi,
Utangulizi,
Naomba kuanza kwa kutoa utangulizi mfupi kuhusu mwandishi wa makala hii, Pascal Mayalla, ni mwandishi wa habari na mtangazaji wa kujitegemea, baada ya kukumbana madhila mbalimba mbali ya kiuandishi, nikajikita kwenye kuandika makala elimishi kuhusu katiba, sheria, haki na...