kelele

  1. R

    Naona baada ya kelele nyingi Hukumu ya Lisu imewekwa! Je mliokuwa mahakamani mlichokisikia ndicho kilichoaandikwa kwenye hukumu?

    someni ni hiyo hapo
  2. M

    CCM iwaombe radhi Watanzania dhidi ya mauwaji,

    Waliouwawa kipindi cha uchaguzi wa 2025, ni Watanzania wenye itikadi mbalimbali, Wana CCM, Chadema na wasio na vyama Kufanya maridhiano kupitia majukwaa ya kisasa na kuhusishwa vyama pekee, haitatosha, Watanzania waliopoteza watu wao hawatatendewa haki Kwa MAONI YANGU, Juhudi zilizoelekezwa...
  3. O

    Mkenya Abuni Mfumo wa Afande Unaopiga Kelele Simu Inapoibwa

    Mtaalamu wa teknolojia nchini Kenya, Eliud Gilisho, amebuni mfumo mpya unaoitwa Afande, unaolenga kukabiliana na wizi wa simu kwa kuwezesha simu iliyoibwa kupiga kelele, kufuatilia eneo ilipo na kurekodi picha za video zinazoweza kusaidia kumtambua mwizi. Ubunifu huo umetokana na tukio la mwaka...
  4. The Burning Spear

    Mwananchi mkoani Geita akamatwa na Polisi akidai huduma ya maji

    Nashindwa kuelewa weledi wa police wa Tanzania, sijui huko huwa wanajifunza nini! Wengi wao wanafanya kazi kwa nidhamu ya uoga na kujipendekeza pendekeza. Pia uhuru wa wananchi kueleza hisia zao ni sufuri, huku Samia akijibainisha kusimamia haki, sijui haki gani huwa anaongelea?
  5. Bujibuji Simba Nyamaume

    Heche hawezi kumjibu shangingi wa kisiasa. Anamwacha aendelee kupiga kelele. usiku atalala.

    Kuna shangingi wa kisiasa anataka ligi na Heche. Anadhani kwa maneno Yake ya kishangingi ataweza kuipasua gnome ya CHADEMA. Tundu Lissu kisha sema yupo tayari kulipa gharama, hata kama mtaamua mumnyonge Leo, Yuko tayari, lakini si kumpigia magoti kinyago yoyote au mwanasesere yeyote. Huu ni...
  6. Samia atosha tukutane2030

    Wanaopiga kelele mitandaoni kukemea ushoga ni watu wenye msongo wa mawazo. Mtu ambaye mambo yake yako 🔥 hawezi kupoteza muda kisa watu kupakuana

    Unataka waache kupakuana wakupakue wewe? Juzi jamaa mmoja aliyefukuzwa kazi polisi nilikuwa tunapiga naye story na nikasema Mimi nimewahi kukwepa mitego kadhaa ya mashoga walitaka niwapakue. Mashoga 3 live kabisa watu ambao huwezi kudhani kuwa kipa kahama golini. Na wengine huko mitandaoni...
  7. A

    KERO Mtaa wa Miswe, Kata ya Mbwawa - Pwani kuna kiwanda cha unga kinapiga sana kelele

    Mtaa wa Miswe, Kata ya Mbwawa, Mkoa wa Pwani kuna kiwanda cha unga kilichofunguliwa katikati ya makazi yetu tangu Mwaka 2025. Kiwanda hicho kinamilikiwa na wawekezaji kutoka Nigeria na kimekuwa kikitoa kelele kubwa kutoka kwenye mitambo yake. Kelele hizo zinatusumbua sana, hasa wazee, wagonjwa...
  8. A

    KERO Kelele za muziki kwenye eneo la Garden Magomeni na kuzibwa kwa njia ya asili na mwekezaji

    Kwa muda mrefu Sasa wananchi waishio eneo ya Garden magomeni mapipa wamelalamikia mwekezaji aliepewa eneo hilo kuwa kero kwao. Kwa mambo mawili: La kwanza ni kuziba njia ya asili iliyopo eneo hilo nyuma ya dasawa magomeni ambayo kwa miaka mingi ilitumika Kama kiunganishi na njia kwa waenda kwa...
  9. E

    Japo tumepiga kelele tukanyamaza bado tunakukumbuka amb. Polepole Mafwele anajitokeza kwenye kadamnasi live.

    Balozi polepole ukiwa hai au umekufa bado tunakukumbuka, tumenyamaza lakini hatujakusahau. Mambo bado ni mabaya sana, Mafwele anaandaliwa kuwa kuwa IGP nafikiri ni namna ya kumlinda.
  10. iron finger

    Kwanini kelele za "Linda Mgongo" wanapigiwa wa kiume tu? Kwani mabinti wako salama?

    Wakuu, inakuwaje!Kuna swali moja la kijamii linalonikosesha amani sana mtaani kwa sasa na nimeona tulilete hapa jukwaani tulichambue kiume: Kwanini nguvu zote, kampeni, na kelele za "linda mgongo wako" zimehamia kwa watoto wa kiume tu? Kwani mgongo wa mtoto wa kike haupigiwi kelele ulindwe...
  11. D

    Hivi akitoe Samia akalifuta Kanisa Katoliki hapa Tanzania, kitatokea nini? Au ni kelele za muda, mwisho mnasahau?

    Nawaza tu lakini. Hivi akitoe Samia akalifuta Kanisa Katoliki hapa Tanzania, kitatokea nini? Au ni kelele za muda, mwisho mnasahau?
  12. Zack Abdul

    Utanzania wa watanzania hauondoshwi na kelele za wanaharakati uchwara

    WATANZANIA wana sifa moja kubwa sana ambayo mpaka leo mataifa mengine duniani wanashindwa kuelewa ni watu wa aina gani. Watanzania ni watu ambao wanaunganishwa kwenye jamii zao kwa mambo ya kijamii ikiwemo misiba na sherehe na mambo mengine ya namna hiyo. WAKATI nchi zingine watu wanaalikwa...
  13. A

    KERO Hapa Mbuyuni-Salasala, Dar kuna baa mpya inakera kwa kelele mpaka usiku wa manane

    Mimi ni mkazi wa Mbuyuni-Salasala, Dar es Salaam. Kuna baa mpya imeanzishwa takribani miezi miwili na nusu iliyopita, ikiwa kwenye ghorofa, na imekuwa kero kubwa kwa wakazi wa maeneo ya jirani. Muziki unaopigwa kwa sauti kubwa huendelea hadi usiku wa manane, hali inayofanya iwe vigumu kupata...
  14. M

    Wazanzibari acheni kelele. Zanzibar sio dola huru. Pambaneni kuwe na serikali tatu.

    Zanzibar sio dola huru hii ni kwa mujibu wa Montevideo convetion of statehood Article one. Mtapiga kelele sana na hicho chama chenu cha wahafidhina wa Act Wazalendo lakini hamtafanikiwa.
  15. Roving Journalist

    Responded Kelele za Makanisa: NEMC Yatoa Onyo, Yaeleza Hatua Inazochukua

    Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), limebainisha mikakati na hatua mbalimbali zinazochukuliwa katika kukabiliana na changamoto ya uchafuzi wa mazingira utokanayo na kelele za nyumba za ibada. Akizungumzia kero ya kelele hasa zile zinazosababishwa katika nyumba za ibada...
  16. bless on

    Soichiro Honda: Kutoka Maafa Hadi Ufalme

    Kisa cha Mtu Aliyekataa Kufa Moyo! Unapopitia changamoto na kuona kama kila kitu unachojenga kinaporomoka, kumbuka kisa cha mwanamume aliyeshuhudia kiwanda chake kikiangamizwa na mabomu ya vita kisha tetemeko la ardhi likafagia kilichobaki! Soichiro Honda alianza kwa kutengeneza vipuri vya...
  17. Pascal Mayalla

    Pongezi Kube, Mwanahalisi Kwa Ukweli Huu, Mashujaa wa Habari, CoRI, Teteeni Uhuru wa Habari kwa Utetezi wa Kweli na Sio Utetezi wa Kupiga Tuu Kelele!.

    Wanabodi, Hii ni Makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la leo, kwanza nitoe pongezi kwa mwandishi wa habari, Saed Kubenea na gazeti lake la Mwanahalisi kwa kuripoti ukweli bayana wa kitu cha kweli. Kubenea na Mwanahali watangazwe ni Mashujaa wa Habari, nimeitaka CoRI, kutetea uhuru wa habari...
  18. O

    Nairobi yaweka ada mpya za Harusi, Roadshow na matukio yenye kelele

    Wakazi wa Nairobi wanaopanga harusi, ibada, roadshow, ujenzi au hafla nyingine zinazoweza kusababisha kelele sasa wanaweza kulazimika kulipia vibali vya kelele chini ya Nairobi City County Finance Act, 2026. Chini ya sheria hiyo, harusi zinazofanyika katika maeneo ya makazi zitatozwa KSh20,000...
  19. Pascal Mayalla

    CORI asante kututetea! Utetezi wa kelele bila kuchukua hatua zozote, nazo ni kelele! Ama mchukue hatua, ama mnyamaze kimya msitupigie kelele!

    Wanabodi, Utangulizi, Naomba kuanza kwa kutoa utangulizi mfupi kuhusu mwandishi wa makala hii, Pascal Mayalla, ni mwandishi wa habari na mtangazaji wa kujitegemea, baada ya kukumbana madhila mbalimba mbali ya kiuandishi, nikajikita kwenye kuandika makala elimishi kuhusu katiba, sheria, haki na...
Back
Top Bottom