kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. M

    JamiiForums Tanzania Nimefukuzwa kazi kwa sababu ya mke wa boss

    Aiseee baada ya watu kunisema sana kwamba nimeshakua niache kupiga punyeto na chabo nitafute mpenzi... Nikaona okay, ngoja nitafute demu sasa. Jana nimefika ofisini, mke wa boss akawa ananichekea chekea... Nikaona yes, mambo si ndio haya. Nikamchombeza chombeza pale, anacheka cheka tuu...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Connection ya Kazi

    Habari wakuu! Nilikua naomba konekshon ya kazi. Tanzania hii, ila ikiwa Mwanza itapendeza zaidi. Nimesomea mambo ya ustawi wa jamii(social work). Mwnye fursa kwa unyenyekevu sana naomba unisaidie..
  3. JamiiForums Tanzania Kufanya kazi lodge kutakufanya uogope ndoa

    Astaghfirullah!! nipo apa mapokezi kuwaonyesha vyumba na kuwakabidhi wateja funguo kiukweli ni mzozo. Hivi uko kwenye ndoa mnaishi vipi mbona kina mama fulani na baba fulani wanapishana tu.
  4. O

    JamiiForums Tanzania Aweso awasimamisha kazi Viongozi wa MWAUWASA, asema mafundi wamejaa rushwa

    Waziri wa Maji Jumaa Aweso amewasimamisha kazi viongozi Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA) kutokana na huduma ya maji kuwa changamoto huku akimuacha Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka hiyo, Nelly Msuya ambaye anatarajiwa kukamilisha majukumu yake wiki mbili zijazo. Aweso...
  5. JamiiForums Tanzania Changamoto za Msingi Zinazohitaji Kufanyiwa Kazi Haraka katika Shule ya Wasichana Jokate Mwegelo Sekondari, Kisarawe

    Shule ya Jokate Mwegelo Girls Sekondari iliyopo Kisarawe ni miongoni mwa shule zinazofanya vizuri kitaaluma, jambo linalotokana na juhudi na kujituma kwa walimu pamoja na wanafunzi wake. Hata hivyo, shule inakabiliwa na changamoto kadhaa za msingi zinazohitaji kushughulikiwa ili kuimarisha...
  6. JamiiForums Tanzania Iweje Zanzibar Tarehe 1 Muharam 1448 Sikukuu Inaadhimisha Mwaka wa Kiislamu Bara ni Siku ya Kazi?

    https://youtu.be/6tQNJaVTWlo?si=kcNDLLVOAAy8RaOA
  7. V

    JamiiForums Tanzania Nafasi mpya za kazi ajira portal leo kwa sekta kama mifugo, Afya, elimu, uongozi nk

    Kwa wanaotaka kuomba. kama una changamoto ya mfumo tuwasiliane kwa 0623446608 (Whatsapp na kawaida) Au 0792715343 unikusaidie kirahisi. Usisahau kuwa Mimi siyo mfanyakazi wa PSRS ila natoa msaada ingawa nimeona "flagging" ya malalamiko ya wadau. Kwa ufupi njia zangu za kusaidia watu ziko open...
  8. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini Wabongo tunaamini kazi za kukaa ofisini ndio kazi zenye Pesa?

    Yani mtu anaamini ukifanya kazi za ofisini ndio utakuwa una pesa na maisha mazuri, mfano wa kazi hizo iwe profesional; udaktari, ualimu, afisa sijui nini na nini nk, au ofisi za kibiashara iwe duka, cash points nk Katika mihangaiko yangu kuna deals nafanya tofauti na kaduka kangu ka kuuza...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Je, wewe ni CEO Mwenye Kampuni ambayo bado haijaanza kazi tangu isajiliwe? yakupasa kufahamu hili

    Leo hii unajiuliza maswali lukuki yanayokuumiza kichwa bila majibu, maswali kama; 1. Inakuwaje TRA wananiletea assessment za madeni ya riba na adhabu (Interest and penalties) wakati kampuni yangu haijaanza kazi? 2. Kwanini TRA wananisumbua kila mwaka wakinitaka kufile annual return wakati...
  10. JamiiForums Tanzania Shughuli VS. Kazi

  11. JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata Kazi, nina elimu ya form four

    Habari humu ndani! Mimi ni mwanamke miaka 29, elimu yangu form four. Natokea dar es salaam(goba).Nilikuwa na uhitaji wa kazi hasa shuleni ninauzoefu nayo,hasa kulea watoto na usafi.Kama kuna mtu ana connection pleas naomba anisaidie.
  12. JamiiForums Tanzania Mwanamke usikubali manyanyaso, tujitahidi kufanya kazi

    Shikamoon wakubwa zangu wadogo zangu hamjambo Habari za jumapili. Leo niongee na dada zangu na wadogo zangu waliopo humu ni jinsi gani utateseka na kuumia ikiwa tu, huna pesa yako mwenyewe. Mfano ,mtu anakutongoza,anaonesha nia kabisa ya kukutaka na usumbufu wa hapa na pale, lakini siku...
  13. V

    JamiiForums Tanzania Nafasi mpya za kazi ajira portal leo kwa sekta kama mifugo, Afya, elimu, uongozi nk

    Usiache kuomba na kama una changamoto tuwasiliane unikusaidie kirahisi. Usisahau kuwa Mimi siyo mfanyakazi wa PSRS ila natoa msaada ingawa nimeona "flagging" ya malalamiko ya wadau. Kwa ufupi njia zangu za kusaidia watu ziko open kulingana na utaalamu wangu ingawa sioni sababu ya kuweka public...
  14. JamiiForums Tanzania CHWs wa Ruangwa Tunaomba Ufafanuzi Kuhusu Malipo ya Posho na Upatikanaji wa Vifaa vya Kazi

    Ndugu wanajukwaa, Naandika ujumbe huu kwa niaba ya baadhi ya Wahudumu wa Afya ya Jamii (CHWs) wa Wilaya ya Ruangwa, Mkoa wa Lindi, ili kuwasilisha kilio chetu kuhusu changamoto zinazotukabili katika utekelezaji wa majukumu yetu. CHWs tumekuwa tukifanya kazi kubwa ya kuelimisha jamii kuhusu afya...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Kubadilishana kituo cha kazi wa kuja tabora mc nije dar wilaya yoyote ile elimu msingi ngazi ya mshahara mwalimu grade IIIB kwa mawasiliano 062028216

    ELIMU: Elimu ya Msingi NGAZI YA MSHAHARA: TGTS C KITUO NILIOPO: Tabora Municipal Council (Tabora MC) – Makao makuu ya mkoa, huduma na miundombinu iko vizuri sana. KITUO UNACHOHITAJI: Dar es Salaam (Halmashauri yoyote: Ilala, Kinondoni, Temeke, Ubungo, au Kigamboni) MAWASILIANO: 📞 0620282169...
  16. JamiiForums Tanzania Kumbe mimi na wewe hatupo?

    Kwamba nikijaribu kujitafta mimi halisi sipo? Najua utabisha, but honestly hakuna self! Yaani you don't exist, wewe ni kama thought, wazo flani tu ambao liko implanted kama jina, jinsia, baba, mama, mtoto, mjukuu nk Tukianza na physical body, hii ni kama vessel au chombo kinacho beba uhai...
  17. JamiiForums Tanzania Miaka 6 ya Ahadi Hewa: Kituo cha Simu cha NIDA Kinafanya Kazi ya Kasuku au Kuna Siri Gani Nyuma ya Vitambulisho?

    Wana-JamiiForums, Nimefika kikomo cha uvumilivu. Naandika post hii kwa hasira, masikitiko na maswali mengi ambayo naamini mimi siyo mhanga pekee katika nchi hii. Mnamo mwaka 2020, nilikamilisha taratibu zote za usajili wa Kitambulisho cha Taifa (NIDA). Nilipigwa picha, nikatoa alama za vidole...
  18. JamiiForums Tanzania Kazi gani huwezi kuifanya hata uwe na shida

    Kazi gani huwezi kuifanya hata uwe na shida ?
  19. JamiiForums Tanzania Haji Manara anafanya kazi ya udiwani wa Kariakoo saa ngapi?

    Huyu Haji Manara aliutaka udiwani wa Kariakoo dola ya CCM ikamuweka lakini baada ya kuwekwa hapo kama diwani namuona amekuwa mtangazaji Wasafi na pia anaigiza maigizo ya Kombolela! Muda gani anakuwa anafanya kazi ya udiwani? Au udiwani sio kazi nzito na serious kihivyo kumfanya mtu awe busy...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Ni mafao gani anayostahiki kupata mtu ambaye amefukuzwa kazi serikalini

    Habari wakuu! Natumai mko poa kabisa Moja kwa moja kwenye mada hapo juu Ni mafao gani anayostahili kupata mtu qmbaye kafukuzwa kazi serikalini kwa kosa la kinidhamu? Naomba kuwasilisha wakuu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…