Natafuta binti mdogo wa kazi za nyumbani (housegirl)
Sehemu ya kazi
-Dar es Salaam
Majukumu yake
-Kufanya usafi wa nyumba ya wastani
-Kufua nguo za watu wawili tu
-Kupika chakula cha watu wawili
Mapendekezo
-Napendekeza awe Mkristo ili aishi ndani ya familia pasipo kukinzana katika imani ya...
Ukipitia diary / shajara za waliokuwa ma DC wakati wa serikali ya mkoloni utaona walipewa majukumu mengi ya jinsi ya kuendesha tawala za mikoa na serikali za mitaa.
Ambapo DC hakutakiwa kukaa ofisini bali alifunga safari kupitia maeneo waliyopangiwa kuangalia masuala ya utoaji haki, makusanyo...
Mtangazaji wa kipindi cha Jana na Leo cha Wasafi Fm, Baba Levo amenukuliwa akisema huwezi kuwa tajiri kwa kazi ya ualimu kwasababu kazi hiyo ni ya kipato cha chini sana kwenye mishahara na posho zao ni ndogo.
Kujenga hata nyumba ya kisasa kwa kazi ya ualimu ni changamoto sana sahau kuhusu...
Timu ya mkoa wa Arusha ina kikosi cha maangamizi, mshambuliaji Mrisho Gambo, huku mkabaji ni Paulo Makonda.
Timu imekamilika haswa, wadudu wote wa Arusha wametulia.Sasa kuna sehemu moja tu inahitaji marekebisho ambayo ni sehemu ya mshambuliaji, inamhitaji Lengai Ole Sabaya akasimame pale juu...
Habari wanajamvi,
Nimenunua kifaa cha kuhifadhi data aina ya 1080 PRO NGFF M.2 SSD 4TB
Kwa ajili ya kuongeza uwezo wa laptop yangu. Hata hivyo, baada ya kukifunga kwenye laptop yangu, haisomi ingawa inaonyesha kuwaka kama kawaida.
SSD iliyokuwepo awali ni ya 128GB M.2 NGFF ambayo niliinunulia...
Sista angu alikuwa na project yake anatakiwa kuisubmit mahali. Hiyo project ilikuwa na picha kama mia na ushee hivi ambazo yeye aliona zinafaa kufanyiwa graphics zote.
Bajeti ya sista kwa picha ni sh. Elfu 5 kwa kila picha.
Mimi huyo nikaenda mpaka kwa ofisi ya brother mmoja anafanyaga...
I'm proudly black man
Ila waafrica wengi tuna matatizo sana
Sadio mane alienda Bayern Munich tena akawa miongoni mwa wachezaji watatu wanaokula mshahara mkubwa Bayern
Lkn tunaofatilia mpira toka liverpool ni kwamba sadio mane alishajichokea mpira ulishaisha km mnavyojua waafrica kwa...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha mh Paul Makonda amewasimamisha Kazi Watumishi 13 wa sekta ya Afya akiwemo boss Wao Dr Mbuya kwa ubadhirifu wa Fedha za Umma tsh million 600
Source Mwananchi
Vijana Msilale bado Mapambano 😂🔥
==
Watumishi 13 wa sekta ya afya kutoka Halmashauri ya Arusha Dc wilayani...
Msomi akipata shavu la kuajiriwa serikalini, inakuwa raha msarehe. Hatakiwi kuguswa hata akiiba; anahamishiwa sehemu nyingine. Hivi huu utaratibu uko kwetu Tanzania tu au ni duniani kote? Mtu unakula kodi za walalahoi, unaiba, unakosea, halafu eti usisemwe na ikiwezekana uhamishiwe sehemu...
Habarini za jioni wadau wa JF,
Mimi nimhitimu wa chuo mwaka 2013,Nina degree ya maendeleo ya jamii,naomba kwa mwenye connection yeyote ya kazi, sichagui Wala sibagui kazi yeyote nafanya.
Asanteni
Bojour wazeeee!
Watu wengine makomwe sana.
Sawa pombe nakunywa ila ni baada ya kazi na kesho on time nimefika jitu linaenda kwenye uongozi wa juu kutangaza aaaah jamaa mitungi saaana wakati sijawahi kufika job nimelewa. au kunywa muda wa kazi. Na uchafuzi wake huu lengo nifukuzwa kazi. Huu ni...
Angalizo:- Habari hii ni sanaa ya picha na haiendani na uhalisia wa maisha, Wala jina la mtu yoyote.
Hamis Kichwa, alikuwa maarufu sana hapo Oyster Bay Police akisifika kwamba ndiye Israel mahiri kwa majamba konki ambao inatakiwa tu watangulizwe.
Hamis Kichwa mtu wa Tanga, alikuwa anasifika...
Age:18 yrs old,
Salary atakayo ni 80k kuendelea. Awezacho ni kulea mtoto, watoto, wazazi wa watoto hao au kuuza duka.
Maelezo mengine ni inbox wapendwa
Naomba kuuliza eti nimefanya application ya police ajira sasa Kwa bahati mbaya siku ya Leo tar 27 nimecancel application then mfumo ukaniambia ni deadline je Ina madhara yoyote?
Kumekuwa na dhana potofu hasa katika maswala ya kilimo na ufugaji kwamba vijana hawapendi kilimo na ufugaji vijana ni wavivu.mm niseme hata hao wanao sema vijana hawapendi kilimo na ufugaji nao ni wavivu Sana ajabu wao wenyewe wameajiliwa na mtu hyo wanae msimanga mvivu na hapendi kilimo na...
Habari WanaJF,
Natafuta kazi ya udereva boda boda ,uvuvi na yeyote ile kikubwa inipatie kipato cha kujikimu, umri wangu ni 24 naishi hapa Dar pia Nina ELIMU ya chuo kikuu upande wa education in kiswahili and history ila bado nimehairisha mwaka kwa ajiri ya KUJITAFUTIA, mawasiliano 0785598033
Niko safarini kutoka kanda ya kati kuelekea Geita.
Nafika eneo fulani mkoani singida. Wale wenye sare nyeupe wananyoosha mkona kuashiria nisimamishe gari.
Yeye: Nipe leseni yako
Mimi: Hii hapa
Yeye: Una deni la faini
Mimi: Ndiyo
Yeye: Lipia
Mimi: Bado nina safari ndefu.Nina akiba ya kununua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.