Habar Wana jukwaa,
Ni kijana wa miaka 27 nipo Dar essalaam Tegeta A natafuta Kazi ndugu zangu tusaidiane kwa wenye connection jamani,
Elimu yangu ni kidato Cha 6 japo nilifika chuo ila sikuhitimu kutokana na changamoto za kiuchumi, naweza kufanya Kazi za stationary yaani printing scanning...
Husika na kichwa cha habari hapo juu
Mimi ni Binti wa miaka 28 natafuta kazi ya house maid,Nina uzouefu wa kazi hii kulea watoto wa rika zote kuanzia wachanga na Nina Upendo sana na watoto,kupika vyakula mbalimbali vya kitanzania,kufanya usafi n.k
Napatikana dar es salaam kwa mswali au maelezo...
Katika Uzi huu tujadili printer nzuri za kuprint kwa level za stationery mpaka viwanda vidogo
Vidogo au kampuni za kufanya printing.
Tujadili na kuuliza maswali kuhusu aina ya printer, ubora , changamoto na bei zake kulingana kazi atakayotaja mtu yoyote, tunaweza kuanzia printer ndogo kabisa...
Wadau niaje, mimi ni mwalimu wa sekondari wa hesabu na physics, sasa hapa katikati nilihamia mikoa ya kusini, ikabidi nianze upya process za kutafuta kazi.
Asee kwa kuwa maisha hayasubiri nikasema nisichague kazi , nilitonywa na mwana kuwepo kwa nafasi ya ualimu english medium shule moja...
Kama unapitia changamoto ya ugonjwa kukurudia Mara Kwa mara au kutopona .
Mfano marelia , Typhoid, UTI n.k
Ikiwa umetumia vidonge Ila haujafanikiwa kupata matokeo chanya Kwa haraka ebu jaribu sindano .
Sinadano zinatoa majibu Kwa haraka japo ni gharama na zinaumiza Ila zinasaidia Sana...
Habarini wana jamvi popote mlipo,I hope mko sawa, mimi ni kijana wa umri wa miaka 24 naombeni kwa yeyote anayeweza nisaidia nipate kazi au mwenye connection ya mchongo wowote halali jamani anisaidie maana napitia wakati mgumu sana kwa sasa mimi niko Dodoma elimu yangu niliishia chuo kikuu mwaka...
kwema wakuu. sema kweli hivi vitoto vinavutia sana ila ukianza mchakato wa kuvitongoza unaweza kata tamaa.
Heri mishangazi ukiropoka tu mikeka inatiki.. kwaheri vitoto vya afmbili tutaonana tena mtapo kua mishangazi sahizi nimenyosha mikono juu.
Hi
Ni router za ukweli sana hauhitaji router ya kila kampuni insupport mtandao wowote ule online kama unapata si chini ya 200,000 hata kwenye soko la china..
Mimi nauza nusu bei yaani 120,000 pekee mpya kabisa kuanzia mbili kuna discount.
Tupo Dar, Arusha na Nairobi
Habari zenu watanzania wenzangu naitwa FAIDHAnimemaliza chuo kikuu cha Dar es salaam katika kozi ya afisa mwajiri
Mawasiliano 0624-137476
E-mail:faidhak6@gmail.com
Nimesikiliza hoja za Mpina kuomba Mahakama iwasimamishe kazi Bashe na Mwigulu kupisha kesi zinazoendelea Mahakamani mimi nakubaliana naye kwa sehemu kubwa. Hebu Msikilize hapa Bashe baada ya kupelekwa Mahakamani na Mpina kwenye kashfa ya Sukari.
https://youtu.be/LaM87hfLZWg?si=FAd5QAqQCiid8EUv
leo ndio mtambo wa ulinzi wa anga wa THAAD unaanza kufanya kazi Israel.
Huku kundi la Hezbollah wakijibu kauli ya msemaji wa Idf aliyesema watashambulia benki na mali zinazohusiana na Hezbollah,,
Kundi la Hezbollah wamesema watarusha makombola ambayo hawajaanza kuyatumia Tel Aviv huku...
Picha hii inaonyesha tangazo kuhusu kifo cha Majidi Mpemba, ambaye alikuwa mwenyekiti wa tawi la klabu ya Simba. Inaelezwa kuwa amefariki tarehe 19 Oktoba 2024 kutokana na msongo wa mawazo (presha) baada ya tukio la Yanga kupewa goli batili na Simba kunyimwa penalti mbili wazi na za halali...
Hello wadau,
Mimi ni mdada nimehitimu Sociology nina uzoefu wa kutosha kwenye kazi za Social Work kwa zaidi ya miaka kumi.
Kwa yeyote mwenye connection ya kazi Mwanza anisaidie.
Asante
Nipo kibaha,mwanaume 27YRS
Naombeni connection ya kazi yoyote niweze kuishi mjini wakuu,sijabobea kwenye kazi yoyote inayohusu vyeti 100% ila nina soft skills (driving,basic computer skills etc) na nina nguvu na akili timamu.
Katika harakati za kutoka magetoni nimetoka mkoani kuja mjini...
Baada ya kufukuzwa kazi Naibu Rais Mstaafu wa Kenya Rigathi Gachagua anapoteza stahiki zifuatazo ambazo alizistahili endapo angejiuzulu.
1. Pensheni ya kila mwezi Ksh. 720,000.
2. Malipo ya mkupuo Ksh 8.2m.
3. Posho ya mafuta Ksh. 108,0000(?).
4. Gari 2 (saloon cars).
5. Gari 4WD (1).
6...
Wakati wakiwa madarakani walikua wakitamba na magari wasio yajua yananunuliwa kwa nguvu za nani, Amino nawaambia hata punje ilio ndogo ikitolewa kwenye gunia basi amini halitakua gunia kamili. Mlioajiriwa na serikali punguzeni dharau.
Kama nchi tushikamane kwa wakati huu, kazi ya wale wabunge wetu ya kushangilia na kupiga meza inatakiwa wawepo kule IPU.
Kwanza wangeenda wamama wale wanaopigaga vigelegele kwa kila kitu wale waliouliza maswali ya Ukraine wangeipata fresh yao.
Wapelekwe na wale wabunge kama king wanaosemaga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.