kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania HESLB na NIDA kushirikiana kuwatambua waombaji mikopo kupitia NIN

    Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) leo Ijumaa Mei 16, 2025, wamefanya kikao na waandishi wa habari katika ofisi za HESLB Kanda ya Mashariki zilizopo Dar es Salaam kwa lengo la kuutarifu umma kuhusu kuanza kushirikiana kuwapatia namba...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Israel wanataka tu Roho ya Ayatollah Khamenei

    Watu watakufa watu wataumia kwa maelfu ila wazee wakutoa roho qka Israel wana kazi moja sio vinu vya nyuklia wala nini ila roho ya mkuu wakidini Ayatollah Khamenei. Je, ni kwani? Mpaka sasa Israel chini ya kikosi chao cha majasusi Shinbet and Mossad wamesha pata nakala na ushahidi wakutosha...
  3. USSR

    JamiiForums Tanzania BIHARAMULO: Wadau wa maendeleo kukabidhi tuzo kwa DC Advera na mbunge Chiwelesa kwa kazi nzuri .

    WADAU WA MAENDELEO YA WILAYA YA BIHARAMULO WAMEANDAA TUZO MAALUMU KWA VIONGOZI WETU .Mh,Mkuu wa Wilaya ya biharamulo SACP ADVERA BULIMBA na Mhe mbunge wa biharamulo Eng Ezra John Chiwelesa. Tangu SACP Advera Bulimba awasili biharamulo mji umetulia na kutoa wasaa kwa kila mkazi kufanya shughuli...
  4. FRJ255

    JamiiForums Tanzania NAOMBA KAZI YA UTINGO WA MAGARI MAKUBWA

    Naomba unisaidie kushare Kwa Wadau wa usafirishaji na madereva. Mimi naomba kutembea na mtu kwenye gari hasa magari makubwa ili nipate uzoefu barabarani Nina lessen daraja D. Naishi Kiluvya-Pwani. Nipo tayari kujituma na kufanya kazi atakazo. Mawasiliano yangu Email. farajanh53@gmail.com
  5. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Ni Ngumu kuamini ndani ya miaka 4 deni la Taifa limeongezeka kwa 50%. Aisee Kazi tunayo

    Wadau hili jambo linatia hasira sana pamoja na kuogopesha kabisa. Raisi atakayeipokea hii nchi atakuwa na wakati mgumu sana. Kabla ya kusomwa hii bajeti Chadema walipigwa stop kwa sababu wangeeneza habari hizi kwa wananchi nakuwatia uchungu mkubwa sana. Maana hata matumizi yake hayaeleweki...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Njia ya kuelekea Tehran imejengwa': Wakuu wa IDF wasema Jeshi la Wanahewa kuanza kufanya kazi kwa uhuru katika mji mkuu wa Iran Tehran

    Wadau hamjamboni nyote. Mkuu wa Wafanyakazi wa IDF Lt. Jenerali Eyal Zamir na Mkuu wa Jeshi la Wanahewa la Israel Meja Jenerali Tomer Bar walisema katika tathmini iliyochapishwa leo asubuhi kwamba "njia ya kuelekea Tehran imejengwa." "Kulingana na...
  7. youngkato

    JamiiForums Tanzania Wanaofanya kazi za stationery. usisubiri wateja wa ku-print tu, ongeza huduma mpya kwa msaada wa ChatGPT!

    Dunia ya kidijitali imerahisisha sana maisha. Siku hizi hauhitaji kuwa na ofisi kubwa au degree ili kutengeneza pesa. Ukiwa na simu tu na ChatGPT, unaweza kufanya kazi nyingi sana ambazo watu wanahitaji mtaani — na kulipwa. Hapa nitakuonyesha kwa lugha rahisi jinsi unavyoweza kutumia ChatGPT...
  8. FirstClass

    JamiiForums Tanzania Kazi zenye changamoto ya kutoboa

    Najua mmechoshwa na ' Uhimilivu wa deni la Mama ' sasa twende moja kwa moja kwenye Mada tajwa hapo juu, Zifuatazo ni kazi ambazo kutoboa kwake kupo mbalii sana.. Wafanyakazi wa Sheli za Mafuta. Licha ya kufanya kazi kwa bidii na kujituma ila watu wa sheli wanapitia kipindi kigumu sana hasa kwa...
  9. D4wn

    JamiiForums Tanzania App ya kutangaza kazi na kutoa huduma

    Nimezaliwa na kukulia Tanzania, lakini kwa sasa ninasoma Computer Science huku Marekani. Nimekuwa nikijifunza mambo ya software development kwa muda, na baada ya kufanya majaribio kadhaa, niliona nianzishe kitu ambacho kinaweza kusaidia nyumbani. App ninayoileta inaitwa Nuru. Ni jukwaa...
  10. T

    JamiiForums Tanzania HIVI MASHABIKI WA YANGA WANAFANYA KAZI SA NGAPI?

    Mashabiki wa Yanga mnafanya kazi sa ngapi maana ukipita mtaani utakuta makundi makundi, huku wakisema hatuchezi, yaani mpaka unajiuliza wanafanya kazi muda gani??
  11. K

    JamiiForums Tanzania "Nalifanyia Kazi Jambo Hili"

    Kama ni kweli maneno hayo yamesemwa na Rais Samia; kama yalivyo wasilishwa na mtangazaji Salim Kikeke: Maneno yenyewe ni haya: "Nalifanyia kazi jambo hili. Binafsi kutoka moyoni mwangu nataka taifa lenye umoja." Salim kayaandika maneno hayo yakiwa sehemu ya maongezi yake kwa njia ya simu na...
  12. kingphisher

    JamiiForums Tanzania Nimerudi tena kuomba kazi

    Wakuu kama kazi za ofisini bado hazipikani, basi naombeni hata za bandarini. Nimeingia ajira portal kuangalia nafasi za kazi, nimetoka huko nduki. Naombeni kazi, wale ma agents wa bandarini, sikieni basi hili ombi langu. Msinichoke lakini. Naombeni mnisaidie hata namna ya kupata kazi za...
  13. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Yanga Yatishia Kujitoa Kwenye Ligi Mwakani endapo Matakwa yao yasipofanyiwa kazi

    https://www.youtube.com/live/5nhKldXzqtQ?si=VuEACJPdOlKVtZpt Kwenye kikao chetu tuliuliza pia kuhusu ripoti ya kilichotokea Machi 8, na CEO wa Bodi ya Ligi, Almasi Kasongo akakiri kuwa ripoti wanayo na kuna kiongozi mkubwa wa Serikali alipiga simu kuzuia geti la uwanja lisifunguliwe, lakini...
  14. kingphisher

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi; nina bachelor ya Business Information Technology

    Wakuu habari za muda huu. nimekuwa nikitafuta kazi kwa udi na uvumba, jasho na da..., ila sijafanikiwa kupata hata hivyo. nina bachelor ya Business Information Technology, nikiwa nimejikita upande wa networking pamoja na programming (PHP/LARAVEL). kwa yeyote anayeweza kunisaidia katika hili...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali - Kifungu cha 31(10) cha sheria ya kazi na mahusiano kazini kinanichanganya

    Kifungu cha Sheria ya Kazi na Mahusiano Kazini Sura 366, Toleo Rekebu 2019 kinasema hivi: - 31(10) The pro rata amount of annual leave referred to in subsection (8) shall be calculated at the rate of one day’s basic wage for every 13 days the employee worked or was entitled to work. Na kifungu...
  16. Madwari Madwari

    JamiiForums Tanzania Webinar kuhusu wanaotaka kusoma na kufanya kazi Ujerumani

    Join us, on Thursday 12th of June 10:00 AM (EAT) this Thursday, 12th of June.for an exclusive webinar featuring a special guest, Mike. Mike has successfully navigated the journey from student life in Germany to a thriving career in Europe. Learn firsthand about university life, application tips...
  17. V

    JamiiForums Tanzania Nikaribisheni kwa kunipa kazi

    Shukran.
  18. V

    JamiiForums Tanzania Nipokeeni kwa kunipa kazi.

  19. N

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kazi yoyote ili nipate 1,050,000/= ndani ya siku 7

    Mimi ni kijana umri miaka 28 niko Dodoma nasoma chuo kimoja cha afya.... Tar 16 kuna mitihan ya ndan inafanyika na nmezuiwa kutoifanya kwasababu sijamaliza ada maana nilikuwa najisomesha mwenyewe na kwa sasa vitu vyangu vimeharibika . Hivyo nilikuwa nahitaji msaada wa kazi yoyote (isipokuwa...
  20. M

    JamiiForums Tanzania SSH, Kiongozi anayetenda mazuri asubuhi ikifika jioni anavuruga kazi yake mwenyewe

    Mama yetu alipoingia madarakani, alipiga kazi moja nzuri mno ya kupendeza katika miezi ya awali ya utawala wake, alikuwa ni mtu wa kuzungumzia haki, kukataa dhulma, kuunganisha Taifa, kiufupi alifanikiwa kuzikong'a nyoyo za jamii kwa kiasi kikubwa mno, na kuleta matumaini makubwa. Lakini leo...
Back
Top Bottom