Natafuta msichana wa kazi za ndani wa kukaa na mama yangu. Awe mtu mzima mwenye uwezo mzuri wa kazi. Awe tayari kulala nyumbani ninapoishi na siyo wa kwenda na kurudi.
Awe na stamina ya kudumu kwenye kazi na siyo mbabaishaji.
Mshahara Tshs 80,000 /- akifanya vizuri naweza kumwongeza baada ya...