kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Hii ndio sababu ya kiroho kwanini watu wanaookota chupa za plastiki wengi huwa wanaishia kuwa wendawazimu

    Come.to think of it. Asilimia kubwa ya watu wanao jiingiza katika ujasiriamali WA kukusanya makopo na chupa za plastiki na kisha kwenda kuziuza viwandani huwa wanaishia kuwa wehu kabisa na kuanza kuokota makopo Ile ya kiuwehu wehu kabisa. Binafsi nimewashuhudia watu wengi Tu ambao...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Bwana Senzia Lushino, Afisa Tarafa Kata ya Moshi Magharibi Amsimamisha Kazi Mwalimu Honest Shirima kuanzia leo

    Afisa Tarafa ya Moshi Magharibi Bwana Senzia Lushino mwishoni mwa wiki hii ametembelea Shule ya Sekondari Korongoni iliyoko manispaa ya Moshi Mjini katika kata ya Soweto na kukuta Mwalimu mtoro sugu bwana Honest Shirima hayupo. Mwalimu huyo anatumia muda mwingi kuendesha Bajaj mjini moshi muda...
  3. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya uumbaji ilishafanya kazi yake nzuri ya uumbaji, ni binadamu ndiye aliye uwanjani sasa

    Binadamu ni kiumbe aliyejaliwa uwezo mkubwa sana kuliko viumbe wengine wengi Duniani. Binadamu leo anaweza kuumba ayatakayo ikiwa tu atauelewa ilimwengu wa ndani unavyofanya kazi yake. Kwanza kabisa tunapaswa kujua hakuna kitu chochote alichokiumba mwanadamu ambacho hakijaanzia ndani yake. Leo...
  4. I

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi Open University of Tanzania - Marketing Officer II

    JOB TITLE: MARKETING OFFICER II - 1 POST JOB CATEGORY(S): MARKETING,MEDIA AND BRAND EMPLOYER: Open University of Tanzania - OUT APPLICATION DEADLINE: February 24, 2020 VIEW & APPLY
  5. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi Dar es Salaam na Geita katika Taasisi ya Management and Development for Health (MDH)

    JOB ANNOUNCEMENT Management and Development for Health (MDH) is a non-profit, non-governmental organization whose primary aim is to contribute to addressing public health priorities. All job positions below require significant field work. MDH seeks to recruit qualified individuals to fill the...
  6. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi kutoka Kituo cha Ufundishaji Data cha Afrika Mashariki, Chuo Kikuu Huria cha Tanzania na Ofisi ya Mwanasheria ya Serikali

    UNITED REPUBLIC OF TANZANIA PRESIDENT’S OFFICE PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT Ref.No.EA.7/96/01/K/154 11th February 2020 VACANCIES ANNOUNCEMENT On behalf of The Open University of Tanzania (OUT), The Eastern Africa Statistical Training Centre (EASTC) and The Office of the Solicitor...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta msichana wa kazi za ndani

    Natafuta msichana wa kazi za ndani wa kukaa na mama yangu. Awe mtu mzima mwenye uwezo mzuri wa kazi. Awe tayari kulala nyumbani ninapoishi na siyo wa kwenda na kurudi. Awe na stamina ya kudumu kwenye kazi na siyo mbabaishaji. Mshahara Tshs 80,000 /- akifanya vizuri naweza kumwongeza baada ya...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli jitahidi uache uvunjaji wa sheria! Let justice take its natural course!

    Inawezekana kweli ametenda kosa kuchana Qurani, amewaudhi wengine, Lakini 1. Kuna taratibu tumejiwekea za kushughulka na watu kama hao wanaoamsha hasira za wengine! Uliapa kulinda katiba na sheria zitokanazo na katiba hiyo. Kunatartibu! Wewe huna mamlaka ya kisheria kumwajibisha. Mihemko ya...
  9. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Je, unafahamu katika nchi zinazoendelea kila sekunde 15 mfanyakazi mmoja hupoteza maisha kutokana na ajali au magonjwa yatokanayo na kazi?

    Suala la Usalama na Afya mahali pa kazi ni muhimu kuangaliwa kwa makini tunakoelekea kwenye uchumi wa kati unaoongozwa na viwanda ili kuokoa maisha ya wengi. Shirika la kazi Duniani (ILO) limeonesha kuwa kila sekunde 15 mfanyakazi mmoja hupoteza maisha na ndani ya saa 24 wafanyakazi 5760...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Uzinduzi Wilaya ya Kigamboni: Rais Magufuli anazindua Jengo la Manispaa na Jengo la Mkuu wa Wilaya

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 11, Febuari, 2020 anazindua Jengo la Manispaa ya Kigamboni na Jengo la Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni katika Eneo la Gezaulole Kigamboni Jijini Dar es Salaam Rais Magufuli akikata utepe wa uzinduzi wa Jengo hilo...
  11. Influenza

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amfukuza kazi Mtumishi wa Serikali aliyechana Juzuu Amma huko Kilosa

    Rais Magufuli akiwa leo anazindua Jengo la Manispaa na Ofisi ya Mkuu wa Wilaya Kigamboni amemsifu Waziri Jafo kwa kumsimamisha kazi lakini amesema yeye amemfukuza kabisa. Amesema "Juzi nilimsikia Waziri Jafo, Mtu mmoja kule Kilosa nafikiri alichana Kitabu Kitabu Kitakatifu. Nashukuru ulichukua...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Jafo: Kuna watu wanadhani watakaoingia mbinguni ni wale wanaosali sana kumbe watenda kazi kama Rais Magufuli wataenda peponi!

    Nakubaliana kabisa na kauli hii ya mh Jaffo kwamba Rais Magufuli atakwenda peponi kutokana na kujitoa kwake kwa hali na mali katika kuwatumikia wananchi wanyonge. Hata Yesu alisema si kila amuitaye Bwana....Bwana ataingia katika ufalme wa mbinguni bali wale wayatimizayo mapenzi ya Mungu. Mh...
  13. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya Kazi kutoka Tanzania Postal Bank | Deadline 23rd February, 2020

    TPB Bank PLC is a Bank that provides competitive financial services to our customers and creates value for our stakeholders through innovative products. TPB Bank PLC is a Bank, whose vision is “to be the leading bank in Tanzania in the provision of affordable, accessible and convenient...
  14. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Nafasi 20 za Kazi kutoka Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mkoani Arusha (AUWSA)

    The Arusha Urban Water Supply and Sanitation Authority (AUWSA) is a legally established entity responsible for the overall operations and management of water supply and sanitation services in Arusha City. It is among of the best Authorities in Tanzania. The core function of the Authority is to...
  15. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya matangazo ya kazi humu awamu hii na ile iliyopita

    Awamu iliyopita Mainjinia 30 wanahitajika Tanesco. Majina ya waalimu yanatoka lini? Wanaotaka tubadilishane mikoa tukutane hapa (baada ya kupangiwa ajira). Jamani nimechoka na hii kazi natamani nibadili licha ya mshahara mnono kwa sababu ya majungu. Umebadilisha kazi mara ngapi hadi sasa? Ni...
  16. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe ahofia kukamatwa, kufunguliwa mashtaka na kufungwa pindi atakaporejea nchini

    Hofu hiyo inatokana na kile alichokiita mfululizo wa vitisho vilivyotolewa na viongozi mbalimbali wa Chama Cha Mapinduzi (CCM). Hofu hiyo ya Zitto imeibuka baada ya Kiongozi Mkuu huyo ACT Wazalendo kuandika barua kwa Benki ya Dunia (WB) kuitaka kusitisha mkopo wa Dola za Marekani milioni 500...
  17. I

    JamiiForums Tanzania Nafasi mpya moja ya kazi Precision Air, Deadline: Application isizidi 14th February 2020

    Kwa wale wanaopenda kufanya kazi kwenye mashirika ya ndege, hapa kuna nafasi mpya moja ya kazi Precision Air. Maelezo yote soma kwenye PRECISION AIR VACANCIES
  18. I

    JamiiForums Tanzania Fahamu Aina ya nafasi za kazi na ajira zinazopatikana Airport Tanzania

    CLOSED
  19. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Rais Trump awafukuza kazi maofisa waliotoa ushahidi ili aondolewe madarakani

    Dar es Salaam. Siku mbili baada ya Bunge la Seneti kumuondolea mashtaka yaliyokuwa yakimkabili Rais wa Marekani, Donald Trump amewafukuza kazi maofisa wake waandamizi wawili waliotoa ushahidi kwenye mchakato wa kumuondoa madarakani. Trump ambaye alikuwa anakabiliwa na mashtaka ya matumizi...
  20. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mtumishi wa umma mbaroni kwa kuchana na kuchoma Quran, Waziri Jafo aagiza asimamishwe kazi

    Mtumishi wa Serikali aliyechana Quraan Tukufu asimamishwa kazi, Taarifa hiyo imetolewa leo na Waziri wa TAMISEMI Mhe. Suleiman Jaffo. RPC Morogoro Wilbroad Mutafungwa amethibitisha kukamatwa kwa kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Daniel Maleki, kwa kosa la kuchana na kuchoma moto kitabu cha...
Back
Top Bottom