kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. JamiiForums Tanzania Zitto: Ushauri wangu kuhusu Mlipuko wa Korona

    Ushauri wangu kuhusu Mlipuko wa Korona- Zitto #COVID19TZA Serikali imethibitisha uwepo wa virusi vya Korona Tanzania. Utulivu ni muhimu kwani kukiwa na maandalizi ya kutosha tunaweza kukabili madhara ya mlipuko huu. Nashauri mambo 3 muhimu sana, kwa maoni yangu. - Tunaona Nchi nyengine kukiwa...
  2. JamiiForums Tanzania Nursing Team Supervisor and Medical Doctor at Médecins Sans Frontières (MSF)

    Position: NURSING TEAM SUPERVISOR Médecins Sans Frontières (MSF) Job Summary Plan, organize, and evaluate the activities concerning his/her field of action (Nursery ,….) and the team associated, according to MSF values, policies and protocols and universal health standards, in order to warrant...
  3. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi za muda, waandikishaji wasaidizi na BVR Kit Operators - MPANDA, KATAVI

    Afisa Mwandikishaji wa Jimbo la Kavuu Bw. Erasto Kiwale anapenda kuwajulisha kuwa , zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Wapiga Kura Vituoni awamu ya Pili katika Kata zote za Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe linatarajia kuanza tarehe 02.05.2020, watatumika Waandishi Wasaidizi na BVR Kit...
  4. JamiiForums Tanzania Unaweza kumuoa mwanamke anayefanya kazi bar akatulia?

    Mwanamke akifanya kazi bar anaweza kuwa mwaminifu? Unaweza kumuoa akawa mke mwema? Vipi kuhusu yafuatayo 1.Kuendelea na tabia ya kuona kwamba ni jambo la kawaida kutoa penzi akapewa hela? 2.Kuwachukulia watu wote bila staha na akawaona kama wale walevi wa bar alokuwa anawahudumia? 3.Ulevi je?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Msaada natafuta kazi yeyote jijini Mwanza, Nimehitimu Chuo cha Usafirishaji NIT

    ,
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serikali inawatafuta wakenya 50 waliotoroka karantini

    Polisi wanawatafuta watu 50 waliotoroka katika kituo cha Kenya Medical Training College, mjini Nairobi kilichokuwa kinatumika kama karantini Inadaiwa kuwa walikuwa wanapata chakula cha jioni, na mvua ilikuwa inanyesha nao wakatumia fursa hiyo kuruka uzio na kukimbia Wengine kati ya hao...
  7. JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi SOS Children's Villages

    SOS Children’s Villages is the world’s largest non-governmental organisation focused on supporting children without parental care and families at risk. Since 1949, we have been working to ensure that children grow up in a loving family environment and have their rights fulfilled. Services SOS...
  8. JamiiForums Tanzania Wakuu wa Mikoa wapewa kazi ya kuwashughulikia wanaopandisha bei ya vyakula kwenye mfungo wa ramadhani

    Wakuu wa Mikoa kote nchini wameagizwa kuwachukulia hatua wale wote watakaobainika kuuza sukari kwa shilingi 4500. Waziri Mkuu Mhe.Kasim Majaliwa amesema hakuna sababu ya sukari kupanda bei kwani sukari ipo yakutosha, ilikuwa imepungua imeagizwa na imekwishaletwa. Majaliwa ameyasema hayo leo...
  9. JamiiForums Tanzania Kwa wake mlioingia darasani Kuna hizi nafasi za kazi

    Ward-based pharmacist jobs available throughout the UK, with the NHS needing your help. Great pay rates up to £33.00 per hour. As the whole world takes a step back, healthcare professionals are taking a step forward. We hope you can step forward and join us today. Step Forward | Medacs Healthcare
  10. JamiiForums Tanzania Mashine ya Rostam inafanyaje kazi na imethibitishwa vipi?

    Nimeona mara kadhaa ndani ya wiki hii aliyekuwa Mbunge wa Igunga na Mfanyabiashara Maarufu Rostam Aziz akitoa kile kinachoitwa mashine za kunyunyizia dawa zenye kuua virusi. Mashine hizi ni "full body spray" kwamba mtu anaingia mashine zinatoa kitu kama manyunyu au mvuke ambao unadawa zenye...
  11. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi UNDP

    Agency UNDP Title Stress Counsellor Job ID 30130 Practice Area - Job Family Management - STRESS COUNSELOR Vacancy End Date (Midnight New York, USA) 26/04/2020 Duty Station: Kasulu, Tanzania, United Republic of Education & Work Experience: I-Master's Level Degree - 2 year(s) experience Languages...
  12. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Enabel Belgian Development Agency

    Vacancy title: Monitoring and Evaluation Technician [ Type: FULL TIME , Industry: Nonprofit, and NGO ,Category: Science & Engineering ] Jobs at: Enabel Deadline of this Job: 03 May 2020 Duty Station: Within Tanzania , Kigoma , East Africa Vacancy – Position no: 1708 Monitoring and Evaluation...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Nimepata kazi mshahara baada ya makato yote 250k

    Leo nimeitwa kazini katika kampuni fulani hivi, wakanipa mkataba wa kazi mshahara baada ya makato yote ni Tsh 250,000/= sikua na namna nikasaini tu ule mkataba. Kikubwa ni kujifunza na kupata uzoefu maana ndio ajira yangu ya kwanza. Elimu yangu ni shahada ya rasilimali watu.
  14. JamiiForums Tanzania Kama mwandishi wa habari Talib Ussi amesimamishwa kazi kwa kutoa ripoti ya corona, ni kwanini Makonda anaendelea na kazi kwa kufanya kosa hilo hilo?

    Tulielezwa kuwa wenye mamlaka ya kutangaza wagonjwa wa corona nchini ni watu watatu, ambao ni waziri wa Afya, Ummy Mwalimu, waziri mkuu Kassim Majaliwa na Rais mwenyewe, John Magufuli Upande wa Zanzibar, anayeruhusiwa kutoa ripoti yoyote ya wagonjwa wa corona, ni waziri wa afya wa huko, Hamad...
  15. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi ya Udereva UNFPA

    Job Title Driver, Kasulu, Tanzania, G2 Job ID 30047 Location East and Southern Africa Full/Part Time Full-Time Regular/Temporary Regular Rotation This post is non-rotational. Duty Station: Kasulu, Tanzania Closing Date: 05 May 2020 (5 pm, New York time) Duration: One Year (*) Post Type...
  16. JamiiForums Tanzania Senior Procurement Officer at Norwegian Refugee Council

    Position: Senior Procurement Officer (Tanzania National ) Tanzania, Norwegian Refugee Council NRC Tanzania is looking for Senior Procurement Officer base at Kibondo, Kigoma The purpose of the Senior Procurement Officer position is to manage the day to day implementation of the procurement...
  17. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Sokoine University of Agriculture (SUA)

    Overview The Management of Sokoine University of Agriculture (SUA) wishes to invite suitable qualified individuals, who are able to work full time in a dynamic academic environment to apply for three (3) positions at the SACIDS Foundation for One Health. The Postdoctoral Research Fellow in...
  18. JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu kazi za vituo vya kuuza mafuta

    Habari za leo wakuu, Ninahitaji kujua kuhusu utaratibu wa kupata kazi katika sheli za mafuta nikimaanisha kuuza mafuta. Ikiwezekana niambie kuhusu utaratibu wa kuomba kazi, vigezo, mshahara n.k Nina elimu ya kidato cha nne na mafunzo ya JKT kwa mujibu wa sheria, napatikana Dodoma. Natanguliza...
  19. JamiiForums Tanzania DC Hai atengua uhamisho wa Mkuu wa Shule ya Sekondari Lyamungo, anusa harufu ya upigaji pesa ya ukarabati

    Iko hivi, Serikali ilitoa milioni 700+ kwa ajili ya ukarabati wa shule. Pesa imeingia kama leo, kesho yake headmaster anapokea barua ya uhamisho kwenda shule nyingine wilaya hiyo hiyo kama headmaster. Kisa cha kuhamishwa anadaiwa kutokuwa na mahusiano mazuri na wenzake, pia hakupewa muda wala...
  20. JamiiForums Tanzania Wabunge wa CHADEMA wamekengeuka, wanajifanya hawaoni kazi nzuri ya uletaji maendeleo ndani ya miaka minne

    Hii ni kwa sababu uchaguzi umekaribia na mwezi Juni tarehe 31 Bunge litavunjwa. Sasa wabunge wa Chadema wamekumbwa na kiholo. Wanajiuliza wataenda kuwaambia nini wananchi? Maana walizoea siasa za kupakana matope, na wananchi wamebadilika wanataka siasa za kuletewa maendeleo. Muda wote wamekuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…