kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi, Kahama Urban Water Supply and Sanitation Authority (KUWASA)

    Kahama Urban Water Supply and Sanitation Authority (KUWASA) is a full autonomous public entity established with the water work Act (Cap 272),which has been replaced with the water supply and sanitation Act No 5 of,2019.The authority was established to operate reliable, affordable and sustainable...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Polisi hawapewi kazi za utendaji kama Wanajeshi

    Kitu kinanishangaza kwanini Polisi hasa wastaafu hawahusiswi sana na shughuli za kisiasa kama wastaafu wanajeshi. Wanajeshi wanachaguliwa kama mabalozi, wakuu wa mikoa na kwenye bodi tofauti lakini polisi ni wachache. Polisi wana uzoefu mkubwa sana na wananchi lakini nashangaa kuona hawatumiki.
  3. J

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Dar ni washamba tu hapa Mbeya tunafanya kazi na kupiga bia kila siku hatusubiri kufunguliwa Jumapili

    Akiongea na wananchi wa Mbalizi mkuu wa mkoa wa Mbeya mh Albert Chalamila amesema mkoani kwake wanatwanga bia kitambo hawasubiri party ya Jumapili kama Dar. Amedai kuna wakati alifungia bar kwa siku moja na kesho yake akaruhusu watu watwange bia hadi saa 7 za usiku. Amemalizia kwa kusema Mbeya...
  4. Themanininamoja

    JamiiForums Tanzania Baba alinikosesha kazi ya ndoto zangu

    Siwezi kumlaumu sana, naheshimu mawazo yake mzee wangu. Lakini nikiwa kama kijana na ndoto zangu nimejikuta leo nikikumbuka jinsi ambavyo ningekuwa naishi katika ndoto zangu na hata kumsaidia yeye mwenyewe. Ilikuwa hivi;- Baada ya kupata nafasi ile kutoka kwa mkubwa wa kitengo kile wa wakati...
  5. chiembe

    JamiiForums Tanzania Wakuu wa Ofisi za umma zinazonyima wananchi huduma kisa Corona au kutovaa barakoa, wafukuzwe kazi

    Mkuu ameshatoa agizo watu wachape kazi, yeye mwenyewe havai barakoa. Sasa kuna ofisi za umma zinanyima huduma wananchi kisa hawajavaa barakoa, hawa wafutwe kazi. Jaji Mkuu na majaji wenzake na mahakimu wametengeneza genge la ulaji, wananunua TV kama wamechanganyikiwa, huu ni ufisadi mkubwa...
  6. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi za Ulinzi, Rijk Zwaan Q-Sem Ltd

    Position: Walinzi (3) RIJK ZWAAN Location: Arusha & Moshi Job Summary Kulinda mali za kampuni, mazingira yanayozunguka kampuni na nyumba za wafanyakazi wenye stahiki ya kupewa walinzi majumbani. Kuelewa na kushiriki katika kudhibiti matukio mbalimbali yanayohusiana na majanga ya asili kama...
  7. miamiatz

    JamiiForums Tanzania Kwa mtazamo wangu, Tanzania kazi ni nyingi ila ajira ni chache

    Ajira ni mahusiano ya bosi na mfanyakazi yaliyofikiwa baada ya Bossi kumhitaji mfanyakazi huyo na kumchukua amtumikie kwa ujira maalum. Kazi ni shuhuli yoyote ya halali ambayo mtu anaweza kuifanya ili kuongeza thamani ya kitu, ya jambo ama yake yeye mwenyewe bila kujali ina malipo ama haina...
  8. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Stamigold Company Ltd

    Overview STAMIGOLD Company Limited -Biharamulo Mine is a subsidiary company of the State Mining Corporation(STAMICO) operating a gold mine. The Mine is located in the Biharamulo Forest Reserve, South West of Mwanza in Kagera Region. In order to run the mine effectively and efficiently, the...
  9. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Ubalozi wa Marekani Tanzania

    U.S. MISSION DAR ES SALAAM VACANCY ANNOUNCEMENT The U.S. Mission in Dar es Salaam is seeking eligible and qualified applicants for the positions below (Kusoma Maelzo Kamili, Click links ya Job Title Unayotaka Hapa Chini): READ MORE AND APPLY HERE! Position Title: Shipping Assistant (Internal...
  10. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi International Union for Conservation of Nature (IUCN)

    Position: Project Assistant - Integrating rights based approach in sustainable natural resources management Vacancy #: 5348 Unit: Tanzania - Programme Organization: International Union for Conservation of Nature (IUCN) Location: Tanzania Project Office, Dar es Salaam, United Republic of...
  11. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi World Wide Fund For Nature (WWF)

    1. M & E Officer - East Africa Region Forest Programme Position: Monitoring & Evaluation Officer Programme: Regional Forest Programme Reports to: Regional Forest Programme Coordinator Supervises: None Location: Dar es Salaam Grade: A2 I. Background The Eastern Africa Sustainable Forest...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Bajeti yetu iko tayari, kwanini tuwasubiri Kenya na Uganda tusome pamoja tarehe 11 Juni? Wabunge watalipwa posho bila kufanya kazi?

    Jana Spika Ndugai amesema pamoja na kwamba bajeti yetu imewahi kukamilika bado itatulazimu kuwasubiri " Wenzetu" wa Kenya, Rwanda na Uganda ili tuzisome kwa pamoja tarehe 11 June. Maana yake ni kwamba wabunge wataendelea kuwepo Dodoma wakiisubiri hiyo tarehe ya " pamoja " kisha wataendelea...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Kinondoni Maulid Mtulia (CCM) apona ugonjwa wa Corona

    Mbunge wa kinondoni mh Mtulia amelitangazia bunge kuwa ni kweli alipata maambukizi ya Covid 19 na sasa amepona na amewaomba wabunge wenzake wasimnyanyapae. Mtulia amemshukuru sana mh Spika Ndugai kwa namna alivyomshughulikia wakati anaumwa.
  14. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Usifanye kosa hili kwenye kichwa cha barua ya maombi ya ajira /kazi

    Habari vijana wenzangu? Sehemu iliyopita nilionyesha makosa wanayofanya vijana katika kuomba kazi hususasani kwenye taasisi za serikali. Leo pia nitaeleza shortly juu ya kosa moja dogo nililoliona kwa vijana wetu Tanzania. Kabla hujatuma maombi ya kazi jua kuwa hilo tangazo limetazamwa na...
  15. jmushi1

    JamiiForums Tanzania Hivi ni nani anawadanganya watanzania kuwa lockdown haifanyi kazi? Hata kama tumeigomea, tuache kupotoshana!

    Naona kumekuwepo na hali ya upotoshaji nchini kuwa hatua za lockdown hazina manufaa! Hili naona kama ni upotoshaji ambao unasababishwa na ukweli kwamba viongozi wengi wameingiza siasa kwenye vita dhidi ya corona na matokeo yake ndo haya ya upotoshaji pamoja na mambo mengine. Mifano iko mingi...
  16. muksinihamisi

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu wa kufanya naye biashara

    Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 22, nimemaliza Elimu ya Secondary mwaka 2017. Nashukuru nilipata ufaulu mzuri ila sikuweza kuchaguliwa hvyo kutokana na uchumi sikuweza kuendelea na masomo bali nikajiingiza kwenye Ujasiliamali na kuweza kupata ujuzi wa kutengeneza bidhaa mbalimbali za...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Wakati tunaambiwa: "Chapa kazi, chukua tahadhari" Hali halisi ni hii...

    Mkakati - kama mtu anaweza kuuita hivyo- wa serikali ya awamu ya tano kupambana na COVID-19 kuwaambia watu "waendelee kuchapa kazi huku wakichukua tahadhari". Binafsi ninachokiona ni kuwa serikali hii imeamua kufuata falsafa ya "do-nothing-and-the-problem-will-go-away". Kwa nini? 1. Naomba mtu...
  18. Mzukulu

    JamiiForums Tanzania Ni Kazi gani (Profession) ambayo ukiwa nayo au ukiifanya tu basi tayari umeshaachana kuwa na Mungu na unamtumikia Shetani?

    Nasikia kuna Kazi (Ajira) za Fani (Professions) fulani ambazo ukizifanya hizo hata kama uwe kila Siku unasali Kumuomba Mwenyezi Mungu hawezi Kukubariki kwani zina Dhambi ndani yake na pia zimekaa Kilawamalawama na huwezi Kuzifanya bila kwenda Kinyume kabisa na Maandiko ya Kiimani. Kuna Mtu...
  19. Parabora

    JamiiForums Tanzania Kwanini watanzania hasa waliosomea Lugha wanashindwa kuchangamkia fursa za kazi za ualimu wa Kiswahili, Kiingereza na utafsiri wa lugha nchini Japan

    wakuu bado lock-down inaendelea japo kuna mwanga unaanza kuonekana baada ya hotuba ya leo ya waziri wa uchumi wa hapa switzerland bwana Guy Parmelin kuonesha matumaini ya kulegezwa kwa masharti katika phase ijayo ya kupambana na huu ugonjwa. Turudi kwenye tafakuri ya leo kama heading...
  20. vee15

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli mtu anaweza kupata kazi kupitia hizi recruitment agencies?

    Habari wanaJF Nilikuwa nauliza je kweli unaweza kuipata kazi unayoomba kupitia hizi recruitment agency kama empower, brighter monday, top talented recruit na zingine? Maana utapeli siku hizi umekuwa mwingi nyingine utasikia utoe hela kwanza. Kwa waliowahi kupata kupitia hizi naomba ushauri...
Back
Top Bottom