kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. S

    JamiiForums Tanzania Ninaota tu: Ubongo wetu unahitaji na habari kama hizi kwa afya yake sio covid -19 twenty four hours

    Wakuu masikio yetu yanahitaji pia kusikia habari tofauti na mambo ya covid-19,bila kupoteza Muda twendeni kwenye mada moja kwa moja. Binafsi ningekuwa Mimi ndio nayeteua watukushika nyadhifa mbalimbali, Kamanda Kova nisingemsahau angekuwa mtu wa Kwanza kumpa kitengo hasa kwenye maeneo...
  2. JamiiForums Tanzania Trump: Tunafungua nchi watu wafanye kazi waondoe hofu wanawe na waepuke mikusanyiko

    "Watu wanataka kazi ziendelee, tunaondoa lockdown na tutafungua uchumi wetu kwa njia zilizo salama,Watu wataendelea kuosha mikono na kuepuka mikusanyiko, uchumi wetu utarudi kwa nguvu zote, hakuna Nchi yoyote Dunia ya kutukaribia kiuchumi hata China”-TRUMP
  3. JamiiForums Tanzania Kutokusoma vizuri tangazo la kazi kumesababisha vijana wengi kukosa kazi huku wana sifa za kupata kazi

    Ni takribani miaka 3 hivi nimekuwa nikiwasaidia vijana au ndugu wa karibu kuomba kazi katika taasisi mbalimbali hasa za umma. Nimejifunza mengi sana, nimeona challenges nyingi ila leo nitaongelea jambo moja tu. Jambo hilo ni kusoma tangazo la kazi kwa umakini na kulielewa. Wengi wakikuta...
  4. JamiiForums Tanzania Kwa Watanzania walio na malengo ya kuishi kutafuta kazi au kusoma nchini Ubelgiji au Uswisi someni hapa

    Kipindi hiki ambacho niko kwenye zuio la kutoka nje liliowekwa na mamlaka ya jiji nililomo nimeamua kuwa nashare hapa baadhi ya mambo ya nchi nilizowahi kukaa ili ziwe na manufaa kwa wenye malengo ya kutafuta maisha nje ya Africa mashariki. Juzi nilileta andiko linahusu nchi ya Uswisi baadhi ya...
  5. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi za Udereva - Kahama

  6. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi AKO Group Ltd

    AKO Group Ltd inayofanya kazi zake Barrick Gold Mine (Bulyanhulu) inakaribisha maombi ya watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi 5 za kazi katika idara ya Usafi (Housekeepers) kutoka katika vijiji/maeneo yanayouzunguka mgodi MAJUKUMU MUHIMU USAFI(HOUSEKEEPER) Kusafisha vyumba vya...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Wanamziki waongoza kazi zao kutazamwa sana mwaka huu wa 2020

  8. K

    JamiiForums Tanzania VETA na double standard salary

    Pole na kazi Mkuu! Ni imani yangu u mzima wa afya na unaendelea vyema na kuchapa kazi ya kujenga nchi yetu na ni imani yangu pia ujumbe huu utaupata na kuufanyia kazi. Kwa ufahamu wangu mdogo nimeona hii ni platfom nzuri kwangu kuweza kukufikishia malalamiko yangu kama siyo yetu sababu sina...
  9. JamiiForums Tanzania Waziri wa Afya Ummy Mwalimu, aagiza kusimamishwa kazi kwa Mkurugenzi wa Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii na Meneja udhibiti na ubora

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amemuagiza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo kuwasimamisha kazi Mkurugenzi wa Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii, Dr. Nyambura Moremi na Jacob Lusekelo Meneja uthibiti na ubora ili kupisha uchunguzi. Sasa wameanza kushughulika na wataalam badala ya kudeal na Corona Dr...
  10. JamiiForums Tanzania Siasa sio uadui kama kiongozi ni mchapa kazi hata kama upo chama cha upinzani huna budi kumsifia.

    New Mv victoria Hapa kazi tu na Mv Butiama zimeshamilika na sasa zinasubiribiri tu commissioning ili zianze kufanya kazi. Hii ni hatua kubwa sana katika sekta ya usafirishaji hasa katika ziwa victoria Wafanyabiashara kati ya mkoa wa Kagera na Mwanza sasa wataenda kunufaika baada meli hizi...
  11. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Orascom Construction and Engineering Co. (T) Ltd

    Overview Orascom Construction and Engineering Co. (T) Ltd. is a Tanzanian Company dealing with civil works, building contractor, decorations, timber works and other related activities situated in Dar es salaam, Ruangwa-Lindi and Dodoma. The Company has various vacant posts below of which...
  12. JamiiForums Tanzania "Kufukuzwa" kwa Meya Boniface Jacob: Utumishi wa umma umeingiliwa

    Ni vema tukamfahamu mtu huyu ili achambuliwe kwa lengo la kujiridhisha kama kwa Elimu yake na afya yake ya akili inafaa kwa sisi kuendelea kumchambua . Vinginevyo tumwache na ikibidi tuendeleee kumuombea ili Mwenyezi Mungu amjaalie wepesi wa kutambua kwamba Cheo ni dhamana ya muda mfupi sana...
  13. JamiiForums Tanzania Nahitaji mshirika tushirikiane kufanya kazi

    Moja kwa moja naomba niingie kwenye maada. Mimi nina kampuni na ina usajili tayari kwa kila hatua zote pamoja TN na lesen kutoka halimashauri. Kampuni hii inajihusisha na vitu vingi sana in general lakini kwa sasa inahusika na shughuli za IT services zote mfano programming na software...
  14. JamiiForums Tanzania Mazingira ya kazi kwa wanaharakati Tanzania ni magumu, HRW

    Mtandao wa watetezi wa haki za binaadamu nchini Tanzania umesema katika mwaka 2019, watetezi wa haki za binadamu nchini humo walifanya kazi za utetezi katika mazingira magumu zaidi. Kulingana na ripoti wa shirika la Human Rights Watch kuhusu hali ya haki za binadamu mwaka uliopita, miongoni...
  15. JamiiForums Tanzania NSSF Ubungo acheni longolongo! Lipeni wateja wenu mafao yao!

    WanaJF, Utendaji kazi wa baadhi ya watumishi NSSF Ubungo haulidhishi kabisa! Nimekuwa nikifuatilia kulipwa mafao yangu toka mwezi 7, 2019 mpaka leo hii sijalipwa napigwa kalenda tu bila hata kujali kuwa mtu huyu anatokea wapi! Manake si kila mtu anaishi na kufanya kazi Dar es Salaam. Watu...
  16. E

    JamiiForums Tanzania Kamati ya siasa Wilaya ya Mpwapwa (CCM ) fanyeni kazi zenu za Kikamati ya siasa

    Hivi ni kamati hii ya siasa ya wilaya ya Mpwapwa (CCM )au ni ya wakati wa uchaguzi uliopita ndiyo iliyofanya Madudu? Hebu kwa weledi kabisa niambieni! Imekuwaje jimbo la uchaguzi la Mpwapwa lina madiwani hawazidi wanne? Kwa weledi kabisa hebu kamati ya siasa niambieni kwa nini halmashauri ya...
  17. JamiiForums Tanzania Viongozi wengi wanaochaguliwa lakini hawana nasaba na siasa huwa ni wachapa kazi

    Hili halina ubishi dunia nzima kama kiongozi ni pure typical politician maamuzi yake mara nyingi huwa ni kwa ajili ya kufurahisha kundi la watu flani kwa manufaa ya kisiasa lakini sio kwa ajili ya manufaa ya umma na huwa sio wachapa kazi. Mfano kiongozi wa namna hiyo yupo radhi atumie pesa za...
  18. JamiiForums Tanzania Hili janga la wanaoachishwa kazi kipindi cha Corona Serikali kimya

    itMbona serikali ipo kimya katika hili wimbi la sekta binafsi kuwasimamisha na kuwaachisha kazi wafanyazi kinyume Cha utaratibu na hawajui hatma ya haki zao hasa walimu wa shule binafsi.
  19. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Tanzania Automotive Technology Centre (TATC)

    Tanzania Automotive Technology Centre (TATC), synonymously known as “Shirika la Nyumbu”, was formally established on the 14th December 1985, through a Presidential Order, made under the Public Corporations Act 1969. TATC’s mission is to develop a reputable capacity for automotive engineering by...
  20. JamiiForums Tanzania Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu: Wagonjwa 37 wamethibitishwa kupona virusi vya Corona na wameruhusiwa kwenda nyumbani

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema hadi sasa jumla ya Wagonjwa waliopona ni 48 ambao ni kati ya Wagonjwa 108 waliothibitika kuwa na Ugonjwa huo, ila kwa sasa hawana dalili Amesma, "Tuna vifo 10, na hivyo tukabakiwa na wagonjwa 274 na kati ya 11 tumeshawatolea taarifa kuwa wamepona. Ni kweli...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…