kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote. Sifa zangu ni hizi

    Jinsia ME
  2. JamiiForums Tanzania Polisi afukuzwa kazi kwa kusafirisha dawa za kulevya

    Jeshi la polisi limemfukuza kazi askari wake mwenye namba E 8905 Koplo, Anthony Francis wa Kituo cha Polisi Kisarawe aliyekamatwa akisafirisha dawa za kulevya aina ya bangi. Fracis alikutwa akisafirisha dawa hizo kiasi cha kilogramu 76 katika eneo la Nanenane, Manispaa ya Morogoro ...
  3. JamiiForums Tanzania Ikulu: Rais Magufuli awataka watendaji kufanya kazi kwa kuzingatia viapo vyao. Awaasa kuridhika na nafasi walizo nazo, siyo kukimbilia Ubunge

    Tunasubiri tuone atasema nini Rais Mzalendo Magufuli ------ UPDATE---- Rais Magufuli leo amemwapisha Idd Kimanta kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha anayechukua nafasi ya aliyekuwa mkuu wa mkoa huo Mrisho Gambo baada ya kutenguliwa Juni 19, 2020. HOTUBA YA RAIS MAGUFULI (KWA UFUPI) Nami niungane...
  4. JamiiForums Tanzania Sehemu ya Kazi inapogeuka sehemu ya stress na migogoro

    Umeishawahi kukutana na changamoto zipi sehemu unayofanya kazi mpaka ukatamani kuacha, Kisa; kuna jamaa yangu anafanya kazi mwaka wa6 sasa kampuni flani ila hafurahii kazi, kwa muda wote huo anafanya nafasi hiyohiyo hapandi daraja, haongezwi mshahara na anafanya kazi sana (multitask), boss wake...
  5. JamiiForums Tanzania GE2020 Mbeya Mjini kazi ipo kubwa

    Leo DR Tulia ambaye Ni naibu Spika alikula Chakula Cha mchana kwa mamaNtilie Jijini Mb eya. Kabla ya kuhitimisha vikao vya bunge alisema atagombea mwaka huu sisi HATUJUI ni Jimbo gani lakini niliwahi kuandika kuwa Sugu ASIMBEZE DR TULIA.... Niwakumbushe kidogo, bado msimamo wangu na analysis...
  6. JamiiForums Tanzania Nahitaji connection ya kazi yoyote nipo Mwanza

    Naitwa sam na 19 years old naishi mwanza, nahitaj connection ya kazi kwa sasa sina mchongo. Naomben mnisaidie wajomba my phn n-0626781789
  7. JamiiForums Tanzania GE2020 TAKUKURU Ilala haifanyi kazi zaidi ya kutumiwa vibaya na Jerry Silaa

    TAKUKURU Wilaya ya Ilala acheni kutumika vibaya na Jerry Silaa. Kila mkipigiwa kuhusu habari za huyu mtu mnatujibu vibaya, naye anatamba kama chombo hiki ni chake. Wiki ya pili sasa anatuamsha Wajumbe wa Mkutano Mkuu Jimbo la Ukonga kati ya saa 5 na 8 usiku akiwa na gari lake na anaongozana na...
  8. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi, Abt Associates

    1. Position: Total Market Approach Sub national Cascade Facilitator Job Summary SHOPS Plus Tanzania is seeking a facilitator to lead this activity with support from SHOPS Plus Tanzania. The Facilitator will support the TMA activity by orienting national and sub national FP, HIV and CH...
  9. JamiiForums Tanzania Kazi za ualimu, Dar es Salaam Independent School

    DAR ES SALAAM INDEPENDENT SCHOOL Registration Numbers is S. 2544 and DS/02/7/037 Announce Vacancies for the academic year 2020/2021 We need the following staffs below starting August, 2020: We need TWO ART TEACHERS starting August 2020: One Art teacher for the Lower Secondary and one to teach...
  10. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Wintech Elevators Tanzania Ltd

    Wintech Elevators Tanzania Ltd ACCOUNTANT PERSON -( 1 Position ) QUALIFICATIONS: Holder of Form IV certificate, Diploma in Accounts, Diploma in Marketing reference to position. At least 2 years job experience in related course Able to drive motorcycle is an added advantage for account and...
  11. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Letshego Tanzania Ltd (LTL)

    1. Title : Head Of Human Capital Reports to : CHIEF EXECUTIVE OFFICER Purpose: The Head of Human Capital originates and leads Human Resources practices and objectives that will provide an employee-oriented, high-performance culture that emphasizes empowerment, productivity and goal attainment...
  12. JamiiForums Tanzania Hata bado hajaanza kazi ameanza na kauli hii ya kipuuzi. Hivi ni nani huwa anawaroga ubongo viongozi wa Afrika?

    Rais wa Burundi, Evariste Ndayishimiye amevionya Vyama vya Upinzani kuwa havitapata nafasi, huku akihoji mantiki ya kuipinga Serikali. Aidha, amevisihi Vyombo vya Habari na Watetezi wa Haki za Binadamu kushirikiana na Serikali, vinginevyo watakuwa wanatumikia watu wengine. Chanzo: swahilitimes...
  13. JamiiForums Tanzania GE2020 Amemaliza Chuo hana kazi mwaka wa 4 anaishi Tosamaganga anasema anaipenda CCM kwa sababu imejenga Flyover Ubungo Dar

    Njooni muone haya maajabu ya dunia jamaa amemaliza Chuo Jordan Morogoro Hana kazi anaishi kwao tosamaganga eti anaisifu CCM kwa sababu imejenga Flyover Ubungo. Huyu Mimi nimemuona ni mgonjwa wa akili ila pia viatu vyake viwili vimelika upande mmoja Sana na anaonyesha ana exposure fupi Kama...
  14. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi IAA

    Introduction The Institute of Accountancy Arusha is a parastatal academic institution offering undergraduate and postgraduate training courses. It is established by the Institute of Accountancy Act of 1990 with its headquarters at Njiro Hill, Arusha City. The Institute wishes to recruit a...
  15. JamiiForums Tanzania SEO writing, kazi inayolipa sana mtandaoni

    Ushawahi kujiuliza kwanini ukigoogle kitu inakuwaje kuna tovuti zinatokea juu na nyingine chini. Yani mfano unaweza kugoogle coronavirus, ikakwambia kuna majibu billion tatu sasa inakuaje kuna tovuti zinatokea page ya kwanza na nyingine page za huko mbele? Ni wazi kuwa watu wengi husoma majibu...
  16. JamiiForums Tanzania Mapendekezo, ungependa nini cha kufanyiwa kazi ambacho kitaleta mabadiliko ya kiuchumi kwa haraka katika Serikali ijayo 2020 - 2025?

    Tumeona mengi na makubwa na Pengine Yale ambayo hatukuamini kwamba yatafanyika katika Taifa letu Kwa kipindi kifupi Tu cha miaka mitano, Yamefanyika, Nami sitaki kuyarejelea yaliyofanyika, kwani kila mtu ni shuhuda wa yaliyofanywa na serikali inayomaliza muda wake, na mwenye macho haambiwi...
  17. F

    JamiiForums Tanzania Mfahamu mnyama kazi punda

    Wengi wanamfahamu punda kuwa ni mnyama anayefanya kazi, jamii za Tanzania hasa mkoa wa arusha na manyara wanamtumia punda kwa ajili ya kubeba mizigo yao, wengi wao humbebesha punda mzigo mgogoni kama magunia ya mahindi, mkaa maji na kuni. Punda amekuwa ni nyenzo muhimu katika usafirishaji wa...
  18. JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wa ndani si watumwa wawe wanaheshimiwa kama binadamu aliye huru

    Kutokana na hali ya maisha wafanya kazi wa ndani wengi hukaa kwa waajiri wao. Hii hutokana na waajiri wengi kutomudu kulipa wafanyakazi kima cha chini cha mshahara. Pia kuepuka usumbufu. Fikiria mfanyakazi anaishi Mbagala awahi usafiri kufika Mbezi ili muajiri amkabidhi watoto na yeye awahi...
  19. JamiiForums Tanzania Bungeni Dodoma: Rais Magufuli avunja Bunge la 11. Asema ajira 6,032,299 zimetengenezwa, Viwanda vipya 8,477 vimeanzishwa

    Leo tarehe 16 Juni 2020, Rais Magufuli analivunja bunge kwa ajili ya kufanya matayarisho ya uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu, ambapo uchaguzi wa rais na wabunge utafanyika kwa wakati mmoja. Bunge la 11 lilifunguliwa na Rais Magufuli Novemba 20, 2015 baada ya kuapishwa kuwa Rais wa...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Mtozi Aloyce Nyanda nini kilitokea jana kipindi cha Agenda 2020?

    Ndugu zangu habari za asubuhi! Kama kawaida siku ya jana rafiki na ndugu yetu Alloyce Nyanda alijitokeza kwenye kipindi chake tajwa hapo juu na aliwaalika vijana wawili ndg John Pambalu (mwalimu, kamanda na kiongozi wa BAVICHA Taifa) huyu walikuwa naye Ilemela Mwanza studioni. Mwingine alikuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…