Tunasubiri tuone atasema nini Rais Mzalendo Magufuli
------ UPDATE----
Rais Magufuli leo amemwapisha Idd Kimanta kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha anayechukua nafasi ya aliyekuwa mkuu wa mkoa huo Mrisho Gambo baada ya kutenguliwa Juni 19, 2020.
HOTUBA YA RAIS MAGUFULI (KWA UFUPI)
Nami niungane...
Umeishawahi kukutana na changamoto zipi sehemu unayofanya kazi mpaka ukatamani kuacha, Kisa; kuna jamaa yangu anafanya kazi mwaka wa6 sasa kampuni flani ila hafurahii kazi, kwa muda wote huo anafanya nafasi hiyohiyo hapandi daraja, haongezwi mshahara na anafanya kazi sana (multitask), boss wake...
Leo DR Tulia ambaye Ni naibu Spika alikula Chakula Cha mchana kwa mamaNtilie Jijini Mb
eya. Kabla ya kuhitimisha vikao vya bunge alisema atagombea mwaka huu sisi HATUJUI ni Jimbo gani lakini niliwahi kuandika kuwa Sugu ASIMBEZE DR TULIA.... Niwakumbushe kidogo, bado msimamo wangu na analysis...
TAKUKURU Wilaya ya Ilala acheni kutumika vibaya na Jerry Silaa.
Kila mkipigiwa kuhusu habari za huyu mtu mnatujibu vibaya, naye anatamba kama chombo hiki ni chake.
Wiki ya pili sasa anatuamsha Wajumbe wa Mkutano Mkuu Jimbo la Ukonga kati ya saa 5 na 8 usiku akiwa na gari lake na anaongozana na...
1. Position: Total Market Approach Sub national Cascade Facilitator
Job Summary
SHOPS Plus Tanzania is seeking a facilitator to lead this activity with support from SHOPS Plus Tanzania. The Facilitator will support the TMA activity by orienting national and sub national FP, HIV and CH...
DAR ES SALAAM INDEPENDENT SCHOOL
Registration Numbers is S. 2544 and DS/02/7/037
Announce Vacancies for the academic year 2020/2021
We need the following staffs below starting August, 2020:
We need TWO ART TEACHERS starting August 2020:
One Art teacher for the Lower Secondary and one to teach...
Wintech Elevators Tanzania Ltd
ACCOUNTANT PERSON -( 1 Position )
QUALIFICATIONS:
Holder of Form IV certificate, Diploma in Accounts, Diploma in Marketing reference to position.
At least 2 years job experience in related course
Able to drive motorcycle is an added advantage for account and...
1. Title : Head Of Human Capital
Reports to : CHIEF EXECUTIVE OFFICER
Purpose: The Head of Human Capital originates and leads Human Resources practices and objectives that will provide an employee-oriented, high-performance culture that emphasizes empowerment, productivity and goal attainment...
Rais wa Burundi, Evariste Ndayishimiye amevionya Vyama vya Upinzani kuwa havitapata nafasi, huku akihoji mantiki ya kuipinga Serikali. Aidha, amevisihi Vyombo vya Habari na Watetezi wa Haki za Binadamu kushirikiana na Serikali, vinginevyo watakuwa wanatumikia watu wengine.
Chanzo: swahilitimes...
Njooni muone haya maajabu ya dunia jamaa amemaliza Chuo Jordan Morogoro Hana kazi anaishi kwao tosamaganga eti anaisifu CCM kwa sababu imejenga Flyover Ubungo.
Huyu Mimi nimemuona ni mgonjwa wa akili ila pia viatu vyake viwili vimelika upande mmoja Sana na anaonyesha ana exposure fupi Kama...
Introduction
The Institute of Accountancy Arusha is a parastatal academic institution offering undergraduate and postgraduate training courses. It is established by the Institute of Accountancy Act of 1990 with its headquarters at Njiro Hill, Arusha City. The Institute wishes to recruit a...
Ushawahi kujiuliza kwanini ukigoogle kitu inakuwaje kuna tovuti zinatokea juu na nyingine chini. Yani mfano unaweza kugoogle coronavirus, ikakwambia kuna majibu billion tatu sasa inakuaje kuna tovuti zinatokea page ya kwanza na nyingine page za huko mbele?
Ni wazi kuwa watu wengi husoma majibu...
Tumeona mengi na makubwa na Pengine Yale ambayo hatukuamini kwamba yatafanyika katika Taifa letu Kwa kipindi kifupi Tu cha miaka mitano, Yamefanyika,
Nami sitaki kuyarejelea yaliyofanyika, kwani kila mtu ni shuhuda wa yaliyofanywa na serikali inayomaliza muda wake, na mwenye macho haambiwi...
Wengi wanamfahamu punda kuwa ni mnyama anayefanya kazi, jamii za Tanzania hasa mkoa wa arusha na manyara wanamtumia punda kwa ajili ya kubeba mizigo yao, wengi wao humbebesha punda mzigo mgogoni kama magunia ya mahindi, mkaa maji na kuni. Punda amekuwa ni nyenzo muhimu katika usafirishaji wa...
Kutokana na hali ya maisha wafanya kazi wa ndani wengi hukaa kwa waajiri wao. Hii hutokana na waajiri wengi kutomudu kulipa wafanyakazi kima cha chini cha mshahara. Pia kuepuka usumbufu. Fikiria mfanyakazi anaishi Mbagala awahi usafiri kufika Mbezi ili muajiri amkabidhi watoto na yeye awahi...
Leo tarehe 16 Juni 2020, Rais Magufuli analivunja bunge kwa ajili ya kufanya matayarisho ya uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu, ambapo uchaguzi wa rais na wabunge utafanyika kwa wakati mmoja.
Bunge la 11 lilifunguliwa na Rais Magufuli Novemba 20, 2015 baada ya kuapishwa kuwa Rais wa...
Ndugu zangu habari za asubuhi!
Kama kawaida siku ya jana rafiki na ndugu yetu Alloyce Nyanda alijitokeza kwenye kipindi chake tajwa hapo juu na aliwaalika vijana wawili ndg John Pambalu (mwalimu, kamanda na kiongozi wa BAVICHA Taifa) huyu walikuwa naye Ilemela Mwanza studioni. Mwingine alikuwa...
Natumai hamjambo wanajanzengo.
Wakuu nimependa kushare nanyi kisa na niloyapitia after kuharibikiwa kazi. Nakumbuka nilipoacha kazi nilikua tayari na vibanda 2 vya kuuza oil na spair ndogo ndogo za magari na pikipiki but huwezi amini ndani ya miezi 3 nilokaa nyumbani miradi hii pia ilikufa...
Habari ya Kazi Wakuu.
Naitwa X ninaishi Kilimanjaro, Nilikuwa nataka Mtu ambaye anaweza Kuandika Vizuri Business Plan ya Biashara ya Mchele Kuanzaia Kununua kwa Wakulima mpaka kuuza kwa Package kwa Wanunuzi zikiwemo Gharama Mpaka Faida.
Mzungu anaitaji aweke Capital tafadhari kwa Mtu ambaye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.