kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. JamiiForums Tanzania Tangazo: Wauguzi wasio na leseni mpya kufutwa kazi

    Baraza la wauguzi na wakunga TNMC la Tangaza kufuta kwenye daftari la usajili, wauguzi wasiokuwa na lesseni zilizohuhishwa na kukoswa kazi ndani na nje ya nchi. Hayo yametanganzwa na Agnes Mtawa, Msajili wa Wauguzi TNMC
  2. R

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu kujizolea zaidi ya kura milioni 16.7, ni za wanavyuo vikuu, graduates na wafanya kazi

    Hakika mambo yanazidi kunoga. Wakati uko upande wa Lissu. Namba pia ziko upande wake. Lissu amejipambanua kuwa mkombozi wa Wanavyuo vikuu, waliomaliza vyuo vikuu na wafanya kazi kwani anania ya dhati ya kuwakomboa makundi haya muhimu ktk taifa letu. Akitangaza nia ya kugombea Kiti cha urais...
  3. I

    JamiiForums Tanzania Dada wa saluni ya kike anatafuta kazi

    Habari wapendwa poleni na kazi. Dada wa saluni anatafuta kazi anapatikana Dar Ukonga. Anaweza kufanya kazi zote za saluni ya kike na ana uzoefu wa kutosha. Kwa atakayemuhitaji aje PM nimpe mawasiliano.
  4. JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi kwa walimu kufundisha masomo ya ziada

    Natafuta walimu kwa ajili ya kuwafundisha wanafunzi masomo ya ziada katika kituo (Kinondoni Manyanya) au kwa kuwafuata nyumbani (maeneo mbalimbali Dar es salaam). Vigezo kwa muombaji: - Awe amesomea diploma, cheti, au degree ya ualimu kwa masomo yoyote. (Mwalimu Amudu vizuri lugha ya...
  5. JamiiForums Tanzania Hivi kuwa Mlinzi wa Viongozi ni kibali cha kutishia watu kuwaua tu?! Inakera sana!

    Yaani hii tabia ya vijana hasa wenye umri mdogo walinzi wa viongozi ya kutishia kuwapiga watu na risasi si ya haki kabisa. Mchana huu hapa maeneo ya Ihumwa Dodoma karibu na makazi ya mkubwa mmoja mstaafu bwana mdogo mmoja akiwa na ndani ya v8 nyeusi yenye vioo vya giza amemtishia msukuma toroli...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Wataalamu kuacha kazi zao kukimbilia ubunge, tumeyataka wenyewe

    Kupanga ni kuchagua. Wote ni tumeshuhudia wateule, watumishi mbalimbali, wafanyabiashara viongozi was dini na hata wastaafu wakikimbilia fomu za kuwania ubunge. Hatujiulizi ni vipi mtu uache ukuu wa mkoa eti uka- beti ubunge? Kuna mahala tumefanya kosa Kazi ya ubunge, ya kuwatumikia wananchi...
  7. JamiiForums Tanzania Angalizo: Walioacha nafasi zao za uteuzi kugombea Ubunge, wakishindwa wakakaa mitaani bila kazi, wanaweza kuwa mwiba kwa JPM

    Hawa jamaa bila shaka walitarajia kwamba watapewa likizo wakagombee, wakishindwa basi warudi kwenye nafasi zao za zamani. JPM ni chuma, ukitema nafasi yako leo, kesho anaweka mtu mwingine, ukishindwa huko ndio nimekula kwako unarudi kijiweni. Wasiwasi wangu ni kwamba hawa jamaa wanajua mambo...
  8. JamiiForums Tanzania Nimepata kazi hapa Jijini Dar, wenyeji naombeni ushauri kwa hili

    Habari zenu ndugu zangu, Mimi ni muhitimu wa chuo kikuu mwaka jana (2019) baada ya kukaa nyumbani kwa muda mrefu niliamua kuja kutafuta maisha hapa Dar, kwakweli niliteseka mno kwa muda zaidi ya miezi 8 nipo tu nakula na kulala kwa aunt, sina hili wala lile,, kiukweli nilikuwa naumia sana...
  9. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kudumu au ya muda Dodoma nina uzoefu kwenye Sales & marketing, consultation, supervisory roles

    Natafuta kazi ya muda au ya kudumu Dodoma My experience ni kuanzia kwenye Sales & marketing,consultation, supervisory roles kama sales supervisor, property manager, Team leader Nina uzoefu wa miaka 4, na pia nina very valuable skills kama Hardworking, Multitasking, Teamwork, na Fast learning...
  10. JamiiForums Tanzania Update za kazi za TASAF

    Habarini want bodi, ninaomba msaada kwa anayejua kinachoendelea juu ya ajira zilizotangazwa na TASAF ukizingatia leo ni wiki imeshapita toka deadline na walisema baada ya wiki mbili mchezo utakua umeisha sasa naomba tufahamiane mapema pliz Kujua status na mchakato unaendaje
  11. JamiiForums Tanzania GE2020 Wingi wa wagombea CCM ni uthibitisho kazi nzuri ya Rais Magufuli kwa taifa letu. Je, Oktoba ni kuchagua au kuthibitisha tu taratibu?

    Wanabodi, Tunapoelekea kwenye hatua ya kwanza ya uchaguzi kwa uchukuaji wa fomu za kugombea kwenye vyama vya siasa, kumejitokeza, uwingi wa mkubwa, wa wagombea kupitia CCM. Huu ni uthibitisho wa kazi kubwa na nzuri iliyofanywa na Rais, Dr. John Pombe Joseph Magufuli na awamu yake ya 5, na...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Wanaoacha vyeo na kwenda kugombea ubunge, watapita wote wakiwa na kazi maalumu

    Nakumbuka Polepole alitoa kauli akiwaonya wale wanaotaka kugombea ubunge huko wakiwa ni wateule kuwa huko ni kuwa na tamaa na akiwaonya juu ya kufanya hivyo huku akisema yeye aliongea kwa niaba ya anaaewateua. Nadhani hata mteuaji mwenyewe alitoa onyo kama hilo hivi karibuni na wote mnajua...
  13. JamiiForums Tanzania Serikali: Familia ya Majuto na Kanumba wameshalipwa fedha walizokuwa wanadai kutokana na kazi zao walipokuwa hai

    Serikali imesema kuwa imeokoa na kurejesha mamilioni ya fedha kwa familia za marehemu Mzee Majuto pamoja na familia ya marehemu Steven Kanumba kupitia mikataba ya kazi walioingia wakiwa hai. Hayo yameelezwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Hassan Abbasi...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mnachokifanya MTUWASA ni kuhujumu kazi bora ya Serikali awamu ya tano

    Tangu serikali iamue kupeleka miradi ya maji ya vijiji kwa mtuwasa Mtwara vijiji tunapata taabu sana. Miradi ambayo siku zote ilikuwa inaenda vizuri siku hizi ni kero sana. Mfano mradi wa kata ya naumbu tangu uchukuliwe umekuwa haupati maji kwa hali ipasavyo. Maji yetu ambayo hupampiwa na...
  15. JamiiForums Tanzania Tuwe wakweli: Ubunge umekuwa rahisi na usiotisha tena. Kuna wa kulaumiwa au kupongezwa?

    Mimi si mtu mzima sana ingawa nami najongea miaka ya kuweza kugombea Urais wa Tanzania kwa mujibu wa Katiba yetu ya sasa(miaka 40). Hatahivyo, nimekuwa mfuatiliaji mkubwa wa siasa na mambo ya kinchi tangu nikiwa mdogo. Leo, nitalizungumzia Bunge kama Mhimili mmojawapo wa dola. Mingine, wengi...
  16. JamiiForums Tanzania Don Nalimison kufukuzwa kazi serikalini(Ualimu) au? lakini Albam yake imekamilika.

  17. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Tanzania Printers Limited

    Overview Tanzania Printers Limited is looking to recruit a qualified and experienced individual to occupy the positions stated below: 1. Position: Sales and Marketing Officer Working Station: Dar es Salaam Qualifications: Holder of Bachelor degree in sales & marketing, not less than 5 years...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Bashiru Ally, Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi: Manung'uniko ya Waislamu lazima yafanyiwe kazi

    Ndugu Bashiru Ally, Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Mimi ni mwananchi, raia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Nimeamua kuchukua wasaa huu kukuandikia haya yafuatayo, kwani kwa haya niyaandikayo naamini ni ya msingi sana katika kukuza umoja na mshikamano wa Taifa letu vitu ambavyo ni...
  19. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Habarini WAna Jf. Mimi ni kijana wa miaka 25, elimu kidato cha 4 plus certificate/ Nna uzoefu wa miaka 5 kufanya kazi sehem mbalimbali (mostly kwenye kampuni za betting) Natafuta ajira mwezenu nina nilikuwa kwenye kampuni hizi za betting ila korona ikasababisha watu wapunguzwe Kwa mwenye...
  20. JamiiForums Tanzania TCRA kazi ya kudhibiti muingiliano wa masafa imewashinda?

    Kazi moja kubwa ya TCRA toka wakiwa kitengo cha kudhibiti masafa ya kurusha mawimbi ya redio wakiwa Posta na Simu(TP &TC), ilikuwa kuangalia ni nani anarusha mawimbi yake katika masafa yepi. Sasa hivi tuna TCRA ambao siyo siri wana mitambo mikubwa na makini zaidi lakini wasomi hapo na mainjinia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…