Soma haya mashairi ya nyimbo zinazopigwa kila uchao na watoto wetu wanasikiliza no wonder nimesoma huko Temeke watoto wanabakana sababu mojawapo ni manyimbo haya yasiyo na maadili. Kwaani BASATA mko wapi na mnafanya kazi gani kudhibiti hizi nyimbo....hawa wasanii si wamesajiliwa na ninyi? Kweli...
Leo Mama Samia ameanza ziara mkoani Tanga na akiwa kwenye kiwanda kimojawapo alichozindua kinachoshughulika na matunda wilayani Korogwe, alipata nafasi ya kusalimu wananchi baada ya kuombwa na mkuu wa mkoa wa Tanga ambapo alianza na salam kutoka kwa Rais Magufuli
"Kabla ya kuwapongeza...
Rais wa Msumbiji Filipe Nyusi amewafuta kazi wakuu majeshi wa ardhini na angani wakati nchi inapokabiliana na wanamgambo wa Islamic States kaskazini mwa nchi hiyo na uasi wa wanamgambo wanaohusishwa na chama kikuu cha upinzani.
Katika taarifa iliyotolewa usiku Alhamisi rais hakutoa sababu ya...
Maendeleo ya ujenzi wa Barabara ya Morocco-Mwenge km 4.5 inayojengwa kwa njia 4 mpya, service road, taa za Kisasa, mifereji mikubwa ya kupitisha maji ukiwa umefikia asilimia 70.35.
Mradi huu utapunguza kwa kiasi kikubwa msongamano wa magari katika barabara ya Ali Hassan Mwinyi pamoja na...
Pledges za michango yote ni milioni 18, harusi ni mwezi huu wa tatu mwishoni, hadi muda huu watu wachache wametoa, cash iliyopo ni milioni moja kasoro. Bwana Harusi kachanganyikiwa kaniachia mipango yote nipange mimi, nafanyaje?
Bwana Harusi aliahidi kutoa milioni tano lakini katoa laki tano...
Habari zenu ndugu,
Mimi ni Kijana wa kiume umri miaka 24 na mhitimu wa Chuo kikuu cha Dar es salaam (UDSM) katika shahada ya Sayansi Aqua na Uvuvi (Bachelor of science in Aquatic sciences and fisheries).
Naishi Ubungo Dar es salaam kwa sasa.Ninatafuta kazi katika sekta resmi na isiyo rasmi...
Kwema wana jukwaa la JF
Mimi ni mkazi wa Dar es Salaam tegeta nakuja mbele yenu kuomba kazi yoyoye halali ya kujipatia kipato. Maji yamenifika ukingoni baada ya kukaa muda mrefu bila kazi na na familia ya mke na mtoto mmoja na wote macho yao kwangu kama kichwa cha familia
Nina uzoefu na kazi...
Hi,
Mimi ni mwanamke wa miaka 35 naishi dar ni mlemavu wa miguu ni (disability) nina uzoefu wa zaidi ya miaka kumi kwenye kazi za Receptionist, Customers service, Switch board operator, Safari Consultant na Personal Assistant naombeni msaada wa kunisaidia kupata wanaotoa ajira asanteni sana...
Habarini za humu ndugu zangu,
Naitwa Deus graduate wa diploma ya udactari wa mifugo (Ordinary diploma in animal health and production), nimehitimu mwaka 2019 katika chuo cha mifugo LITA TENGERU ARUSHA (Livestock training agency- TENGERU).
Baada ya hapo nimekuwa nikijitolea kutibu mifugo...
FUNDI USHONAJI (FUNDI CHEREHANI) (TAILORS)
1.1 MAJUKUMU YA KAZI
• Kushona nguo kulingana na mahitaji ya mteja.
• Kufundisha na kushauri mteja kulingana na huduma anayohitaji.
• Kutunza vitendea kazi vya ofisi.
• Kusimamia kazi zote za mteja.
• Kuweka kumbukumbu nzuri za wateja.
• Kutathimini...
Madiwani wa halmashauri ya Wilaya ya Same Mkoani Kilimanjaro wamewafukuza kazi daktari na muuguzi wa hospitali ya wilaya hiyo kwa tumuma za kumtoa mgonjwa wodini na kumpeleka nyumba ya kulala wageni na kumfanyia ya upasuaji wa tezi dume.
Wakizungumza leo Jumanne 9 katika baraza kikao cha...
Wadau, ndugu yangu (mwanaume) anatafuta kazi ya udereva. Umri wake ni miaka 40. Elimu yake ni kidato Cha nne. Anayo leseni class C. Anao uzoefu wa miaka 15 akiendesha watu binafsi/mabosi/viongozi lakini pia magari makubwa ya masafa marefu.
Makazi yake ni jijini Dar es Salaam akiwa na mke na...
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Dr Mghwira amewatataka TRA kuacha kukusanya kodi kama polisi bali wazingatie dhana ya Huduma kwa mteja ( Customer Care) yaani kumjali mteja.
Mghwira amesema wafanyabiashara siyo majambazi na siyo jambo jema kuwaona wakifunga biashara kila siku.
Naye mbunge wa Hai mh...
Wakuu za wakati huu. Naomba nipongeze uhamiaji makao makuu kwa huduma nzuri wanazotoa kiukweli, yani sikutegemea.
Kiukweli askari wote (au nilokutana nao) wanahuduma nzuri sana, yani wanakuelewesha vizuri pasipoeleweka, wanatabasam na wana lugha nzuri sana na ya kukufanya utake kuuliza zaidi na...
Salaam,
Kuna watu huwa wanawaponda sana wenzao waliopo Ng’ambo hasa Ulaya na Marekani wakidai kuwa ni ‘Wabeba Maboksi’ tu na hawana lolote. Kituko ni kuwa ukichunguza haohao wanaoitwa Wabeba Maboksi wengi tu ‘wametoboa’ na sasa wana maisha yao mazuri huko waliko.
Mwingine anaweza kunidadisi...
Wakuu.
Wakala wa Vipimo Tanzania wametangaza Nafasi za Kazi katika kada zifuatazo.
1. Afisa Vipimo daraja la III~ Nafasi 150.
2. Dereva Daraja la II - Nafasi. 55
Mwisho wa Kutuma Maombi ni Tarehe 19 March.
Changamkieni Fursa.
Pitia hapa kwa maelezo zaidi.
www.portalajira.go.tz
Habari zenu wanabodi!
Hebu tujadili leo jinsi gani unaweza ukapata kazi kwenye miradi mikubwa niliyoitaja hapo juu na mengineyo.
Kwanza tumuombe Mungu aujalie uzi huu uwe na wachangiaji ambao sio wabinafsi, ambao watashare experience zao mbinu gani wanazotumia au walizotumia kupata kazi kwenye...
Mimi ni mtumiaji wa VS code na Brackets editor, lakini huwa naona Brackets ni nzuri sana, yaani kuna mguso flani nikiwa naitumia especially napocheza na UI dah! kutoisupport hii kitu ni mawazo mabovu, hizi partnership hizi!, aiseh adobe umeharibu sana hapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.