kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. JamiiForums Tanzania TSN yawasimamisha kazi waliofanya uzembe wa kuandika Rais Samia amefariki

    Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN) imewasimamisha kazi Anitha K. Shayo ambaye ni Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Matangazo na Rajab Juma Mohammed ambaye ni Msimamizi wa Dawati la Huduma kwa Wateja Wawili hao wameasimamishwa kazi ili kupisha Uchunguzi wa tuhuma za kushindwa kuzuia makosa kwenye...
  2. JamiiForums Tanzania Wadada hata kama ni mzuri jifunze kufanya kazi, uzuri hauliwi

  3. JamiiForums Tanzania Mwacheni Rais afanye kazi yake kwa mujibu wa Katiba JMT

    Nimefatilia mijadala inayoendelea kwenye vyombo vya habari hususan wapinzani nikagundua kuna upotoshwaji mkubwa. Kwanza naomba kuwakumbusha Rais wa JMT Mhe. Samia Suluhu Hassan anafahamu mambo mengi kwani alikuwa msaidizi namba moja wa Hayati Dr. Magufuli. Wakati huo huo chama kinachotawala ni...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu amsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Mhandisi Deusdedit Kakoko

    Rais Samia Suluhu Hassan akipokea Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali na Ripoti ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa, ametoa agizo la kusimamishwa Mkurugenzi Mkuu wa Bandari(TPA) kutokana ubadhirifu mkubwa unaoikumba mamlaka hiyo. Rais Samia Suluhu Hassan amesema haya “Ripoti...
  5. JamiiForums Tanzania Kubadilisha kituo Cha kazi

    Natafuta mtu wa kubadilisha na nae kituo Cha kazi. Mm ni mtendaji kijiji. Mkoa wa Manyara. Wilaya ya Kiteto. 0762203164
  6. JamiiForums Tanzania Kifo cha Magufuli kimeiweka pabaya CCM kama itashindwa kuendeleza kazi aliyoanzisha

    Kwa wanaokumbuka kilichoitokea KANU nchini Kenya baada ya Daniel arap Moi kuachia madaraka mwaka 2002 watakumbuka maneno haya kutegemea na CCM itakavyoendesha utawala wake baada ya kifo cha John Magufuli. Kama watagombania madaraka au kuyatumia vibaya na upinzani ukajizatiti, unaweza kuwa mwisho...
  7. JamiiForums Tanzania Naomba aliyewahi kufanya kazi au interview Manyanya Fuel/Oil waje

    Habari wadau..! Kama kuna mtu anafanya kazi,ameshawahi kufanya kazi au interview Manyanya Fuel/Oil especially kwa Tunduma naomba kujua. Maana nimepigiwa simu ya kazi na mm npo DsM .Bimafsi huwa siendagi kwenye interview zinazofanyika nje ya DsM sababu nilishawahi kuingizwa king na matapeli kuna...
  8. JamiiForums Tanzania Nahitaji kufanya field katika hospitali ya Nguvu Kazi Chanika

    Poleni na msiba wakuu wa Rais wetu ngangari ndugu JPM, tuliumbwa na Mungu na kwake tutarejea. Moja kwa moja niende kwenye mada. Nasoma ordinary diploma in pharmaceutical science chuo kimoja mkoani. Natamani sana kufanya field jijini Dar es Salaam sasa kuna ndugu yangu mmoja amenieleza kuhusu...
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Waliomburuza na gari mama muuza ndimu wasimamishwa kazi Kenya

    Gavana wa kaunti ya Kisumu amewasimamisha kazi maafisa waliomburuza barabarani mwanamke mfanyabiashara wa matunda. Vyombo vya habari vimeripoti kuwa mwanamke huyo alikataa kutoa rushwa. Alikuwa akiuza machungwa na ndimu njia ya wapita kwa miguu eneo ambalo limepigwa marufuku kufanyika...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa kumtambua Wakili anayeruhusiwa kufanya kazi za Uwakili

    TAMS ni kifupi cha Tanzania Advocate Management System, mfumo unaomuwezesha mtu kutambua endapo wakili anaruhusiwa kufanya kazi za uwakili, amefungiwa, amehuisha leseni yake au la. Ikiwa utatumia Wakili ambaye haruhusiwi kufanya kazi za uwakili kutokana na sababu yoyote ile itapelekea nyaraka...
  11. JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Zanzibar kuaga mwili wa Hayati Dkt. John Magufuli

    Watu tayari wameshaanza kufurika Uwanja wa Amani Zanzibar. ==== MWILI WA HAYATI DKT. MAGUFULI WAWASILI ZANZIBAR Mwili wa Hayati Dkt. John Magufuli umewasili Visiwani Zanzibar ukitokea Makao Makuu ya Tanzania, Dodoma, ambapo shughuli ya kumuaga kitaifa ilifanyika jana Machi 22, 2021. Mwili wa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ingekuwaje tungekuwa tunakufa, ila Macho yanaona yanayoendelea, bado tuna uwezo wa Kuongea na Mikono kufanya Kazi?

    Kwa ninavyowajua Marehemu wengine ( hasa Kisaikolojia ) walipokuwa Kamili ( Hai na Kinguvu pia ) kuna uwezekano Waombolezaji tungeumbuliwa nao, tungewambwa ( tungezabwa Vibao nao ) na kuna taratibu zingine tunazowafanyia wangezikataa Mubashara tu kwani wangeona ni Unafiki mtupu na Sanifu tu...
  13. JamiiForums Tanzania Asante Mo Dewji kwa kufanyia kazi maoni yangu kuhusu Sportspesa

    Ndoto yetu ni Simba Sc iwe club yenye mapato makubwa ili iweze kufanya ushindani katika usajili
  14. JamiiForums Tanzania Kama unahitaji fundi umeme wa nyumba ya ndoto yako

    Tv showcase iliyofanyiwa design ya umeme kwa kazi nzuri kama hizi wasiliana na Fundi George 0622313163 0622313163 tunapatikana Dar es salaam.
  15. JamiiForums Tanzania Tulizeni Mioyo Watanzania: Taifa liko Salama Mikononi mwa Mama Samia Suluhu Hassan

    Naomba kuwapa pole Watanzania wenzangu kufuatia msiba huu mkubwa wa Taifa letu. Kifo cha Rais John J. P. Magufuli kumeacha ombwe na pia mafunzo kwa maisha yetu sote. Nimepokea kwa masikitiko makubwa msiba huu. Vyovyote vile ilivyo, kama nilivyowahi kusema huko nyuma hakuna ombwe la uongozi...
  16. JamiiForums Tanzania Jaman mlipata kazi ujenzi wa reli hawamu ya tatu kuna aliyeitwa kazini?

    Jaman ujenzi wa reli hawamu ya tatu kutoka singida umeanza? Je kuna aliyeitwa kazini?
  17. K

    JamiiForums Tanzania Walinzi wa viongozi kutofumba macho wakati wakusali ni lazima kwa mujibu wa kazi yao au hiari yao?

    Ukiangalia maeneo mengi walipo viongozi hata kwenye nyumba za ibada huwa awafungi macho na baadhi hawafuatilii hata misa japo wapo nyumba ya ibada, Je, desturi hii inatokana na maelekezo ya kazi yao au ni utamaduni wa mtu mmojammoja?
  18. JamiiForums Tanzania Orodha ya viongozi ambao Rais Samia anatakiwa kuwafuta kazi haraka

    Kuna watu/viongozi ambao kwa namna moja au nyingine wameonekana kuwa sumu ktk nchi yetu wakati wa utawala wa Magufuli. Hivyo watu hawa wanastahili kuondolewa ktk ofisi za umma. Wapo wengi lkn mimi nitataja wachache. Tuanzie ngazi ya kitaifa hadi ngazi ya wilaya. Mimi napendekeza wafuatao...
  19. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi (Mauzo)

  20. JamiiForums Tanzania Naombeni kazi ya utabibu kwa part time ndani ya jiji la Dar es salaam

    Habari zenu ndugu zangu wa Wana JF, Mimi ni kijana mwenye taaluma ya utabibu na Nina uwezo wa kufanya kazi hyo kwa miaka 2 Sasa. Nina uhitaji wa Ajira hyo ndani ya jiji la Dar es salaam Mana ndipo makaz yang kwa Sasa. Kama waweza kunisaidia hata connection pia nitashukuru Sana. Hivo nahtaji...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…