kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. JamiiForums Tanzania Rombo: Aweso amsimamsha kazi meneja RUWASA

    Waziri wa Maji nchini Tanzania, Jumaa Aweso amemsimamisha kazi Meneja wa Wakala wa Usambazaji wa Maji vijijini (Ruwasa), Mhandisi Nevard Kihaka kwa kumdanganya na kumpa taarifa za uongo juu ya upatikanaji wa maji katika vizimba 14 Kati ya 16 jambo ambalo sio kweli. Aweso amemsimamisha kazi jana...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Walimu wapya wapelekwe kwenye vituo vyao vipya vya kazi

    Habari wa na jamvi, Umekuwa na shida kubwa katika Halmashauri zetu kuhusisna na waalimu wanaoripoti kutokupelekwa vitu vyao vipya wanaambiwa waende wenyewe. Ikumbukwe walimu hawa ni wageni katika mazingira haya. Kuna mmoja kakoswa kosa kutafunwa na mamba alipokuwa akivuka ili kukifuata kituo...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Ombi la kazi yoyote nimehitimu wa Diploma ya Procurement

    Umri miaka 25 muhitimu wa diploma ya procurement nimefanya kazi miaka miwil na nusu stationery, secretary, reception pia sales naweza kufanya kazi yoyote.
  4. D

    JamiiForums Tanzania Viongozi jifunzeni kutendea kazi hekima za wazee wakiwa bado hai, Ni aibu na unafiki kusubiri kumpongeza Mzee Warioba msibani

    Wakati huu wapo hai, wanaongea hamuwasikilizi, wanashauri mmeziba masikio, wanapendekeza lakini mmeshupaza shingo! Mtapata faida gani kutokusikiliza hitaji LA watu! Viongozi wakuu mnachokifanya ni kama dereva na tairi! Sisi wananchi ni matairi hivyo tunapitia msoto mkali sana kuwabeba nyinyi...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Mwajiri kwenye Utumishi wa Umma atakubali cheti changu cha elimu ya juu nilichokificha

    MTU ANAHITAJI MSAADA WA MAWAZO, NA CASE YAKE NI KAMA ILIVYO HAPA Kama nilimaliza Degree yangu 2014, kisha mwaka 2016 nikasoma kozi ngazi ya cheti, na mwaka 2019 nikatumia elimu ngazi ya cheti kuomba kazi kupitia sekretariate ya Ajira, nikafaulu ule usaili na kupata kazi, na sasa nalipwa kama...
  6. JamiiForums Tanzania DC mpya Gairo una kazi kubwa ya kurejesha tabasamu kwa wananchi

    Nawasalimu kwa jina JMT Napenda nielekeze maoni yangu kwa DC mpya wa Gairo, mdogo wangu Jabiri M. Omari na nimzindushe kwamba wana gairo walinyanyaswa sana na yule dada. Nimepata kuzungumza na baadhi ya wananchi wa Gairo wakanieleza hili, kwamba yule dada hakuwa mstaarabu na wala hakua na...
  7. JamiiForums Tanzania Kuliko kuajiri mfanyakazi wa ndani tuwe na utaratibu wa kuchukua watoto wa ndugu kwa nia ya kuwaendeleza

    Unakaa na mtoto kwa mkataba wa kumsomesha au kumuendeleza. Mnapanga muda wake wa kwenda shuleni au mafunzoni na muda wake wa kazi. Anaishi kama mtoto wa nyumbani, unamnunulia mahitaji yake madogo madogo. Sehemu kubwa ya mshahara unakwenda kulipia ada na Bima ya afya. Akihitimu mafunzo...
  8. JamiiForums Tanzania Badala ya baadhi ya viongozi kusimama kwenye nafasi zao, wamekalia kuwasema watu

    Kuna baadhi ya viongozi badala kusimama kwenye nafasi zao kufanya kazi wamekalia kuwasema watu ndio maana mnaleta uzembe mpaka watu wanapoteza mali zao. Rais amewaweka mmsaidie kufanya kazi na sio kuwasema watu. Hivi mkiwasema watu mnafaidika na nini. Fanyeni kazi acheni maneno, kila mmoja...
  9. JamiiForums Tanzania Maandamano yaendelea kushika kazi Afrika Kusini kufuatia kukamatwa kwa Jacob Zuma

    Mamia ya watu wamekamatwa nchini Afrika Kusini huku ghasia zikienea kufuatia kufungwa jela kwa rais wa zamani Jacob Zuma. Waandamanaji wanaomuunga mkono Zuma kwanza waliingia mitaani baada ya kiongozi huyo wa zamani (79) kujisalimisha kwa mamlaka Jumatano ili kuanza kifungo cha miezi 15...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Electrical Engineer Graduate natafuta kazi

    Habari, Rejea kichwa cha habari hapo juu. Nimemaliza Chuo mwaka 2020 , natafuta sehemu ya kufanya interniship ili niweze kupata uzoefu katika fani yangu. Nina ufaulu mzuri wa masomo yangu ya engineering (Nina upper second class GPA) na nina ufahamu wa juu kuhusu:- 1. PLC programming...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi Coast Mart Supermarket – Cashier

    Job Position Cashier At Coast Mart Supermarket Coast Mart Supermarket is located in the heart of Kibaha, in a new modern building with its 1,200 square meters meets the different needs of customers with entire departments. dedicated to fresh, healthy and all other products. A store that...
  12. JamiiForums Tanzania Ukikosa kazi kwa muda mrefu, jaribu kutafuta kazi za Mauzo (Sales)

    Ninatambua kwamba watu wengi wanafuta ajira usiku na mchana bila mafanikio. Ukifikiri kwa makini utagundua kwamba, njia iliyokuwa bora ya kujihakikishia ajira sio kutafuta ajira. Bali ni kutafuta tatizo au matatizo unayoweza kuyatatua. Jaribu zoezi hili; mwezi huu tembelea Ofisi kadhaa popote...
  13. JamiiForums Tanzania Ni kazi gani ambayo ilisimama na sasa Rais anasema iendelee? Mmewahi jiuliza

    Hizi Kauli mbii hazitokei tu. Zina kuwa na maana. Wakati mwingine ni surface meaning na deep meaning. Kuna kilipindi kazi zilisimama.sivyo? Sasa Rais anasema ziendeleeee. Swali ni kazi zipi na zilisimama kwa kipindi gani? Tushauriane hapa ili kumsaidia Mh. Rais.
  14. JamiiForums Tanzania Kundi kubwa la wanaodai Katiba Mpya hawajui wanachokitafuta na hawana kazi ya kufanya

    Unafiki wa Watanzania umeendelea kudhihirika baada ya kifo cha JPM na kuingia madarakani kwa Mhe. RAIS. SSH. JPM alitumia udikteta kunyamazisha kila sauti na hakuna aliyedai Katiba mpya wala nini. Aidha, kwa udikteta huohuo aliharibu uchumi na haki za kiraia bila ya kuulizwa. Leo ameingia...
  15. JamiiForums Tanzania Kufanya kazi Vijijini ni changamoto kwasababu ya Wanasiasa

    Hakuna watu wabaya kama Wanasiasa, nina ushahidi wa kutosha wa rafiki zangu wawili mmoja yupo kada ya mifugo ni daktari wa kata na mwingine ni msimamizi wa jumuiya za watumia maji CWBOS'C Mkoani Manyara huko Babati. Sasa kuna siku nilimtembelea Kijijini huyu wa maji nikakuta anateseka sana na...
  16. JamiiForums Tanzania RC Makalla aiagiza NHC kufanya kazi usiku na mchana kukamilisha machinjio ya Vingunguti

    MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla ameliagiza Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) kufanya kazi usiku na mchana ili hadi kufikia Agosti 1, 2021 machinjio ya kisasa ya Vingunguti ianze kutumika. Makalla ametoa agizo hilo jana Julai 8, 2021 wakati alipotembelea machinjio hayo na kukuta...
  17. JamiiForums Tanzania Kwanini wanga na wachawi wana ushirikiano sana kwenye kazi zao?

    Nimeona kutumia hawa watu ambao wanga na wachawi kwa jinsi walivo na ushirikiano wa hali ya juu kabisa. Maana mikasa mingi inayosimuliwa kuhusu hawa watu unaweza kubaki mdomo wazi. Ila tuje kwenye mada iliyonileta sio sehemu yangu huko labda kaka @Mshana Jr anaweza kunieleza kuhusu kichwa cha...
  18. JamiiForums Tanzania Shades of Magufuli - Kazi nzuri toka kwa kijana Mzalendo

    Sanaa nzuri kabisaa toka kwa Kijana mzalendo kabisa wa kitanzania Mwamba Tanzania, shujaa wa Afrika na Rais wa karne Endelea kupumzika kwa amani President John Pombe Magufuli 🕊🙏
  19. JamiiForums Tanzania Wanasaikolojia mbona kazi yenu haionekani? Matukio ya watu kujiua yanashamiri

    Wanasaikolojia ni watu ambao ni muhimu sana katika afya ya kila mtu nahii nchi huwa kila mwaka inapokea wahitimu wapya wa maswala ya saikologia lakini mimi sijawahi waona. Kila mwaka huwa tunapata idadi kubwa ya wanafunzi wanajinyonga wanakunywa sumu sababu ya kuogopa mitihani ya taifa ya...
  20. JamiiForums Tanzania Kwa Kijana yeyote mwenye uhitaji wa kazi hii tafadhali nicheki

    Okay Kwema Wakuu Mi ninacho amini hali zetu haziko sawa katika haya maisha na wapo tuliotoka familia duni au tunaishi kwa rafiki au hata ndugu kwa masimango na manyanyaso makubwa. Mbali zaidi wapo wanaotakwa Kingono ili wapewe kazi kwa hawa kina dada zetu na kina kaka siku hizi japo kwa uchache...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…