Mods sitaki mbadili title,
Ktk watu ambao huwa wanaanza na idea ya kitu, wanakitathimini, wanatafakari na kupata picha halisi kabla idea hiyo haijafanyiwa kazi na kuwa kitu, basi ni hawa watu wanaoitwa maingineer.
Fikiria daraja la kigamboni, fikiria daraja la ssalenda lile jipya linalopita...
Wanajukwaa naomba ufafanuzi wa kitalaamu kwa wenye ufahamu kabla sijaenda TUME YA USULUHISHI WA AJIRA.
Niliajiriwa na kampuni moja hapa Dar nikapewa mkataba nitafanya hiyo kazi kama miezi 10 baada ya hapo wakanipeleka mikoani nkafanya kazi huko kwa miaka 2 sasa nikaachishwa kazi huko baada ya...
Habari wapendwa, poleni kwa majukumu mbalimbali ya kujenga Taifa.
Mwenzenu ninatafuta nafasi ya kazi katika taasisi mbalimbali kama za afya, mifugo, kilimo au tafiti.
Nina shahada ya Biotechnology and laboratory science.
Ninauzoefu wa miaka minne katika molecular biology and microbiology...
Leo naomba niwamegee story fupi!
Chanzo cha yote haya, niliwahi tokea kumzimikia mtoto mmoja nzuri sana enzi hizo akiwa beki3 maeneo ya tabata!
Nakumbuka nikiwa naanza maisha ya kujitegemea, nilipanga chumba maeneo ya Tabata!
Mwenye nyumba yetu alikuwa na bomba la maji hivyo watu walikuwa...
Bda ya kuzunguka viwandani bila mafanikio kutafuta ajira, hatimae Kesho nitaerekea Kariakoo kutafuta kazi ya kuweza kuniingizia chochote kitu..
Maisha ni kutafuta. Kesho yangu INAKUJA
Ndugu Jamaa na marafiki wa JF mnaopatikana maeneo ya K'KOO naombeni mnipokeeeeee.
Eehh Mungu unisaidie...
Sasa imekuwa kama mtindo wa maisha kwa watanzania wengi, bila kufahamu kuwa wanapoteza pesa na muda mwingi ambao ungetumika katika kujenga jamii.
Baadhi ya watu hasa wa maisha ya kawaida kwa kipindi hiki wameonekana wakifanya sherehe nyingi zisizo za lazima. Nabaki najiuliza nini sababu hasa...
Huu ndio ukweli. Sasa umegeuka kuwa aibu hata kwa Mkuu wa Nchi.
Haiwezekani mtu yule yule aliyepinga na kutushawishi kutumia matunguli leo anageuka na kutushauri vinginevyo. Hawezi kuaminika hata uwe Waziri, Mkuu wa Mkoa, DED au mkuu wa vyombo vyenye nguvu.
Hii kazi ni nyepesi inahitaji weledi...
Sasa hivi watu wanavaa uniform za kazini mitaani kuturingishia kuwa wana kazi, zamani walikuwa wanavalia kazini
Maisha yamebadilika zamani mtu alikuwa anaona aibu kuondoka nyumbani akiwa kavaa uniform ya kazini na kurudi nayo kavaa .Walikuwa wakienda kubadlishia kazini na akitoka anaingia...
Habari wadau..!
Kwa tetesi za mtaani viwango vya riba vimeongezwa kwa wale wanohitaji kuweka pesa kwenye akaunti za kuzaa faida yaani Fixed deposit au fixed term ,wanadai hii inatokana na ukwasi katika mabenki mengi hivyo wanahitaji watu watakao weka pesa kwenye mabenki yao.Je ni kweli?
Kwa...
MAAFISA MIFUGO, UGAVI ETC.
=========
WAKALA WA VYUO VYA MAFUNZO YA MIFUGO (LITA)
Wakala wa Vyuo vya Mafunzo ya Mifugo (LITA) ni Taasisi iliyo chini ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi. LITA ilianzishwa kupitia Wakala za Serikali Sura 245. LITA ilianzishwa tarehe 01, Septemba, 2011 na...
Nimeona wengi wakiwa desperate wakitaka kazi, lakini mabandiko mengi yamekaa kihuni sana. Ni vigumu kupata kazi kama tu first impression itakuwa ni mhuni fulani hivi. Kwa sababu kizazi cha xoxo kimekuwa na mtindo wa kudharau vitu vya msingi kwa pretext ya "Usi complicate maisha", nimeona...
Habari nimeamua kuadika uzi huu kwa lengo la kusaidiana hasa kwa wale pata shida kwa kukosa ajira na kuishi kulimbikiza stress kichwa na wakti mwingine kufikia kujiwazia mabaya katika maisha yao.
Hivyo bhasi niombe wanzengo kama kuna mwenye mchongo wowote ilhali ni salama na usio kinyume sheria...
Habarini wakubwa,
Kama kichwa kinavyojieleza. Nilikua namtafutia mtu dada wa kazi kwa bahati nzuri nikapata contacts za wadada 5 wa ziada walikua wanatafuta kazi. Kuna ambao wapo Dar na wengine mkoa.
So kama kuna mtu anahitaji anicheki PM nimuunganishe naye/nao.
ANGALIZO: Mimi sio dalali...
Habari wakulungwa
Leo katika pitapita zangu kwenye email zangu nikakutana na email 📧 niliambiwagwa nijiandae kwa virtual interview, lakini mpaka Leo Mwezi wa Tano
Lakini nakumbuka hilo Tangazo lilikuwa linahitaji watu kibao wa logistics, marketing na sales nk
Nimeona niulize vipi kuna mtu...
Yanga kufungwa na Zanaco wachezaji kumeondoa mapema kiburi cha wachezaji na kujiona mafundi.
Sasa hivi kocha ana kazi rahisi kwenye mazoezi maana wachezaji wote walishushuliwa mbele ya halaiki ya wanayanga.
Nadhani wachezaji watakuwa makini kumsikiliza mwalimu ili kuepuka aibu kama Ile...
mwamba kamaliza mkataba wake yanga kuanzia leo
Hivyo klabu inamtakia kila la heri
Naona wakat wa Haji manara sasa
====
Uongozi wa klabu ya yanga umetangaza kuachana na aliyekuwa Afisa Muhamasishaji wa timu hiyo, Juma Khatib Nugaz(Antonio Nugaz) , Taarifa iliyotolewa na klabu hiyo imeeleza...
Kama ulidhani hii kesi ni lelemama basi unapaswa kujitafakari upya , wakati baadhi ya mamluki wakishangilia kutupwa kwa pingamizi lililohoji uhalali wa Mahakama ya uhujumu uchumi na rushwa kusikiliza kesi ya Ugaidi, Mawakili wa Mbowe wameweka pingamizi ambalo wasomi wengi walikuwa wanalisubiri...
Kama kuna Kitu ambacho bila Unafiki au Sanifu au Kukudanganya nakipenda Kwako ni Uwezo wako mkubwa wa Maarifa uliyonayo hasa juu ya Fani yako na Exposure ya Wastani.
Ila Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba kama kuna tatizo Kubwa ulilonalo ni la Uwasilishaji wa Jambo katika Public (...
Natanguliza shukrani za dhati kwa wanajukwaa Mimi ni mhitimu wa clinical medicine mwaka 2021
Naomba nafasi ya kujitolea kwenye dispensary au kituo Cha afya popote inchini kikubwa tu nipate Malazi na chakula🙏
Nipo shinyanga
Mawasiliano 0746532392
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.