Na Kelvin Ogome
Takwimu zilizotolewa katika ripoti ya Benki ya Dunia inaonyesha kuwa, asilimia 7 ya pato la jumla barani Afrika hutokana na utalii. Kando na kilimo na uchimbaji madini, mataifa mengi ya Afrika hutegemea utalii na watalii kujiendeleza kiuchumi. Hili ni dhihirisho kamili kuwa...
Kampuni ya Punch company limited
Inatanganza nafasi 500 kwa wachumi, HR, ACCOUNTANT, WATU WA MASIJALA KWA AJILI YA KUPUNCH LAANA ZILIZOKO KWENYE JAMII MAANA UHURU HAWAKUTENGENEZA KITENGO CHA KUJIBU MANUNGUNIKO ya watu na badala yake yakawa laana... Mathalani:-
...... Mchawi sana/Freemason...
Nimeona Chifu Hangaya (akiwa Glasgow, Scotland) amefanya uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa NDC. Huu ni ukiukaji wa Katiba yetu.
Kwa mujibu wa Ibara ya 47(1)(c) ya Katiba yetu, Makamu wa Rais atafanya kazi zote za Rais kama Rais hayuko kazini au yuko nje ya nchi. Na kwa mujibu wa Ibara ya 37(6)(b) ya...
Rais Samia Suluhu kwa kutumia Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini TARURA,
Huu ni muonekano wa Daraja jipya la Fundimbaga lenye urefu wa mita 45 katika barabara ya Tabora - Fundimbaga,
Daraja hili linalounganisha kata za Matemanga na Marumba Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru Mkoani Ruvuma...
Jaji ni mtu mkubwa na mwenye hadhi ya juu Sana katika mfumo wa Mahakama. Majaji pamoja na kuwa na hadhi ya juu pia ni watu ambao wanamajukumu mahususi na wanapaswa kufuatilia mambo nyeti kwenye kesi zinazofikishwa mbele yao. Hili kuweka heshima ya Mahakama na kuzuia Mahakama kuchezewa Jaji...
Napitia hapa kazi za tra nimeona kuna kazi zinahitaji diploma, kiukweli diploma wanakuwaga wachache na hii inakuwa faida kwa wenye diploma maana nafasi hizi mtu aliepitia form 6 hawezi ku appy
Kimbembe kipo kwenye degree huku, ni shoida!! kuna rundo la vijana wengi mno wanaomaliza form 6 kila...
Tanzania ni nchi yenye vijana wengi na wengi wa hawa madogo wanakaa na kusubiri serikali kuwaletea ajira. Mimi kama diaspora nawashauri mchangamke hasa kwa wale vijana wenye elimu kama wenzetu wa Kenya kwa mifano hii hapa
1. Kwanza kwa sasa unaweza kufanya kazi nchi nyingine ukiwa Tanzania...
Mchakamchaka wa kujenga madarasa nchi nzima utaishangaza dunia kupitia Google Earth waki update image zao by January 2022. Nchi itakuwa imejaa mijengo tu nchi nzima.
Huwezi amini Kuna shule naijua imepewa madarasa kumi kwa mpigo. Hakyanani mama unajua kucheza draft bila mbwembwe. Watu wengi...
Watumishi wa afya 290 kati ya 300 nchini Kenya wamefeli mtihani wa Kiingereza ambao ungewawezesha kupata kazi katika shirika la afya la Uingereza (NHS).
Julai 2021 Kenya iliingia makubaliano na Uingereza ambayo yatatoa fursa za ajira kwa wauguzi (wa Kenya) ambao hawana ajira.
Habari za leo wadau.
Natafuta kijana wa kulinda mji na kuweka msafi wakati wote kutoka kigoma. Awe;
1. MUAMINIFU,
2. mcha MUNGU
3. MKWELI na
4. MCHAPA KAZI KWELIKWELI
Mshara ni Tzs 100,000/= kwa mwezi.
Atatumiwa nauli ya kutoka huko kija huku.
Naomba anitafute kwa namba hizi 0787998926...
Bila shaka umewahi kujiuliza 'injini ya ndege za abiria inafanyaje kazi? Na huenda hukupata majibu!
Ukiendelea kusoma,utapata jibu la swali hilo, Kwanza, hebu tuone sehemu za injini ya ndege.
Zifuatazo ni sehemu kuu tano za injini ya ndege (Jet Engine)
1.Air inlet
Hii ni sehemu ya mbele kabisa...
Ndugu zetu mliopo Mafinga tunaomba mtupe connection ya kazi za viwandani huko.
Mtuambie viwanda vilivyopo na malipo yake kwa kila kiwanda.
Pia kama nafasi zipo tunaomba mtushirikishe na sisi. Huku mjini njaa ni kali sana.
Mada inahusika. Makatibu wa CCM wa wilaya nchi Tanzania, wamehamishwa kwenye vituo vyao vya kazi na wamegoma kuripoti kwenye vituo vipya walivyopangiwa.
Sambamba na hilo wakatibu zaidi ya 30 wamepangiwa kazi zingine jambo ambalo hawakubaliani nalo na wamediriki kutoa rushwa Ili wapangiwe tena...
Kwanza nitoe pongezi kwa serikali iliyosikia kilio cha vijana kwa kutoa ajira zaidi ya elf 1 TRA.
Kama mnavyojua, Kwenye ajira wazanzibar hupewa asilimia 21, kwa hio katika hizi nafasi 1,097 ni sawa na wazanzibari 230 tu,
230 hao bado ni wachache kulingana na idadi kubwa ya vijana wanaomaliza...
Wanahitakija Mabinti na vijana wenye uwezo wa kutoa Huduma ya Chakula/Hotel
Maombi ya kazi : Jinsi ya Kutuma maombi andika barua ya kuomba kazi ukiambatanisha na mawasiliano yako na vyeti itapendeza zaidi tuma kwa Barua people iliyo ambatanishwa hapo chini
Mahali : Dar es Salaam, Kinondoni &...
Wanaforums wenzangu naombeni msaada niweze kupata kazi ya utendaji nimatamanio yangu nipate ajira ya kudumu hata utendaji tu ni miaka mingi natafuta kazi naishia kupata vibarua tu vya muda mfupi.
Nina diploma(2013) na degree(2016) ya uhasibu toka TIA.
Asante
Kumekuwa na tabia za hivi karibuni, kwamba ili upate nafasi za kazi kwa vyombo vya ulinzi na usalama, mojawapo ya sifa ya waombaji ni kupitia mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa. Huu ni ubaguzi wa wazi kabisa.
Hivi toka lini vijana wote waliohitimu kidato cha sita waliitwa wote kujiunga na jeshi...
Habari wadau, niliwahi kuja na uzi hapa kuhusu D09 CLUB Miezi michache kabla haijapotelea kusikojulikana na nilishambuliwa sana na waliliwa pesa zao na bila kujua hatma yao wanarudishiwa vipi na nani. Leo naomba nije na mambo 30 usiyoyajua kuhusu Qnet.
Qnet ni network marketing ambayo imevuta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.