kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. JamiiForums Tanzania Mdada wa kazi ya stationary mkoani Mwanza

    Natafuta mdada wa kufanya kazi stationary mkoani Mwanza, awe anajua kutumia computer. Tuwasiliane PM kama uko tayari.
  2. JamiiForums Tanzania Eti hapa mtaani Hawa jamaa hawana kazi kila siku wanalewa

    Kuna wasela hapa mtaani kila siku yani wanakunywa pombe kila siku Ipoje hii
  3. JamiiForums Tanzania Kazi za Sensa: Fomu Na. 1 inakusanywa wapi kati ya ofisi hizi?

    Nimeomba kazi za sensa. Nimepata ile fomu namba 1. Je, ili fomu baada ya kusainiwa inakunywa ofisi za kata su serikali za mtaa?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Shangazi Fatma Karume afika mbele ya kikosi kazi kutoa maoni yake kuhusu mambo ya katiba na mengineyo

    Mwanadada mpigania haki za binadamu na demokrasia nchini, amefika mbele ya kikozi kazi cha mheshimiwa rais kwa ajili ya kutoa maoni yake namna gani ya kupata tume huru ya uchaguzi, namna gani kufanya siasa safi nchini na katiba mpya.
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Kwanini huwa serikali inaingia mikataba bila kuishirikisha Bunge kama kweli kazi ya Bunge ni kuisimamia na kuishauri serikali?

    Nauliza tu maana sielewi vizuri sana maana mambo ya kiwa hovyo huwa naona bunge linasema iundwe tume kuchunguza jambo fulani.
  6. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya Mtekinolojia Maabara, nipo Kahama

    Wasifu: Mimi kijana mwenye umri wa miaka 23 kwa sasa nipo kahama. Ni mtaalam wa maabara ngazi ya Diploma na nimehitimu masomo mwaka 2020, Ni mtaalam nilie sajiliwa na Baraza la maabara Tanzanian. Nyaraka nilizonazo; Form IV certificate Nacte certificate Nacte Transcript Cheti Cha leseni...
  7. JamiiForums Tanzania Gari la Serikali lanaswa likisafirisha Bangi, dereva asimamishwa kazi

    Gari la Halmashauri ya Arusha linashikiliwa na Polisi Mkoani Kilimanjaro baada ya kukutwa likisafirisha shehena ya bangi kinyume cha sheria za Nchi. Dereva wa gari hilo, Athuman Magio, anashikiliwa na polisi mkoani humo na tayari amesimamishwa kazi kwa kufanya biashara haramu. Chanzo: Ngilisho...
  8. JamiiForums Tanzania Mwandishi wa habari wa Al Jazeera, Shireen Abu Akleh auawa akiwa katika majukumu yake ya kazi

    Mwandishi wa habari Shireen Abu Akleh enzi za uhai wake Mwandishi wa habari wa Al Jazeera Shireen Abu Akleh (51) ameuawa kwa kupigwa risasi ya kichwa akiwa katika majukumu yake ya kazi wakati akifuatilia uvamizi wa Jeshi la Israel kwenye kambi ya wakimbizi ya Jenin. Wizara ya Afya ya Palestina...
  9. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa jinsi ya kurekebisha taarifa za maombi ya kazi za sensa

    wanabodi salaam. Naomba msaada kwa anayejua jinsi ya kurekebisha taarifa kwenye form ya maombi ya kazi za sensa,,, mistake imefanyika kwenye email account hivyo pasword and username sijapata.. Naomba kwa anayejua anisaidie plz Sorry kama utaboreka lakini nisaidiwe jamani
  10. JamiiForums Tanzania SENSA 2022: Nimefanikiwa kujaza form ya maombi ya kazi ya muda lakini nimekosea kuandika majina ya mdhamini

    SENSA 2022 Nimefanikiwa kujaza form ya maombi ya kazi ya muda kwa ajiri ya kazi ya sensa 2022,lakini nimekosea kuandika majina ya mdhamini mmoja yaani jina la kwanza nimeliweka mwisho na jina la mwisho limekuwa la kwanza. nimejaribu ku log in kwenye account ili nifanye editing ya majina lakini...
  11. JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi - Sales and Marketing

    Tunatafuta vijana waaminifu na wachapakazi ambao watakuwa tayari kufanya kazi Dar es Salaam, Dodoma na Arusha. Ambaye yupo tayari kufanya kazi kwenye timu yetu ya Sales and Marketing anakaribishwa kutuma maombi. Vigezo: Awe na umri usiozidi miaka 34. Awe na uwezo wa kuongea na kuandika lugha...
  12. JamiiForums Tanzania Mfumo wa NBS kwa waomba kazi za kuhesabu sensa ni mzuri, Serikali ipongezwe

    Hi! Local government officials kuanzia wajumbe wa mashina, wenyeviti, maafisa wa mitaa/vijiji, kata na tarafa mpaka halmashauri wanaipenda hongo sana. Kutokuwapa kwa 100% mchakato wa kuajiri watumishi wa muda wa kuhesabu sensa imekaa njema sana. Hii ifanyike na NEC na taasisi zingine. Mimi...
  13. JamiiForums Tanzania TRA mfumo wenu wa e-fillling na utendaji kazi wenu ni Mbovu sana

    Kwa taasisi kubwa kama TRA inakosa back up, eti wanaweza wasifanye kazi siku nzima eti mtandao hakuna seriously Yaani unaenda asubuhi mpaka mchana wakati mwingine siku nzima hawatoi huduma eti mtandao hakuna, Are you serious? Ina maana TRA inakosa back up? Bora ingekuwa tatizo la Mara moja...
  14. JamiiForums Tanzania Kulikoni kazi za sensa??

    Nasikia kila mtu anaomba sasa nani atamuhesabu mwenzake? Wakuu hili tatizo la ajira inabidi tutafakari kwa pamoja kama taifa.
  15. JamiiForums Tanzania Napendekeza kazi za kuhesabu idadi ya watu (Sensa 2022) ifanywe na wajumbe wa nyumba 10 , pesa zitakazookolewa zikajenge flyover TAZARA

    Kwa kupitia serikali za mitaa / vijiji (local government) , wajumbe wa nyumba 10 wapewe fomu za sensa na wapite kwenye nyumba zilizochini yao, wapewe wiki moja tu wawe wameshazitembelea nyumba zote zilizochini yao na kuzijaza fomu zote kwa kila nyumba, wakazikabidhi fomu hizo kwenye ofisi za...
  16. JamiiForums Tanzania Namba za Wanaotoa msaada kwa waombaji wa kazi za Sensa hazipokelewi muda wote

    Siyo malalamiko ya mtu mmoja au wawili. Namba za hao Applicants Support hazipokelewi. Leo ni siku ya tatu hawapokei simu zetu Namba ipo busy na baadae ikibahatisha kuita haipokelewi. Tunafahamu kwamba simu ya mezani ukihamisha kile kikamba uweke pembeni, simu itakuwa busy mfululizo. Mamlaka...
  17. JamiiForums Tanzania Sioni Sababu ya Rais kuitangaza filamu aliyoicheza, Wizara husika zina Kazi gani?

    Kwa uzoefu wangu wa awamu za Urais hapa nchini kuna jambo nimekuwa nikiliona. Hasa awamu za karibuni. Nalo ni Viongozi wetu kutowaamini wasaidizi wao kwa mambo ambayo ni yakawaida sana. Mfano ni huu wa Filamu ya Royal tour. Kwa maoni yangu Mh. Rais ametumia muda mwingi kuielezea kwa Wananchi...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Naomba uzoefu na wadada wanaofanya kazi Benki, wanaona kama maisha wameyapatia

    Kwema ndugu zangu? Nipo kwenye mahusiano na mdada mmoja anafanya kazi bank. Hawa wadada wanaona maisha washayapatia sanaa najiuliza sana nataka kujua kama kuna mtu humu kaoa mdada wa bank wanaishije huko makwao? Wanaolewa kweli hawa wadada?
  19. JamiiForums Tanzania Vigezo vya kazi ya Sensa mbona vipo chini Sana?

    Yaani vigezo vya kuwa Karani eti Kidato cha nne? Seriously? Yaan na hili la ukosefu wa Ajira. Tarajieni mafuriko, gombania goli hata huo mfumo wa kupokea applications Lazima uzimike!
  20. JamiiForums Tanzania Kazi iendelee. Salam Inayo Expire

    Nimekuwa nikiona watu mbalimbali sasa wanashikwa kutumia hii salam, Nikiangalia hata katika mikutano wengi hawitumii isipokuwa anapokuwepo Rais ndipo hutumia. Hata hivyo hii salam inaendelea kupunguza umuhimu kwa sababu ya hari ya maisha. Ukisema kazi iendelee ni kama kejeri fulani hivi kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…