Kwa taasisi kubwa kama TRA inakosa back up, eti wanaweza wasifanye kazi siku nzima eti mtandao hakuna seriously
Yaani unaenda asubuhi mpaka mchana wakati mwingine siku nzima hawatoi huduma eti mtandao hakuna, Are you serious? Ina maana TRA inakosa back up?
Bora ingekuwa tatizo la Mara moja...
Kwa kupitia serikali za mitaa / vijiji (local government) , wajumbe wa nyumba 10 wapewe fomu za sensa na wapite kwenye nyumba zilizochini yao, wapewe wiki moja tu wawe wameshazitembelea nyumba zote zilizochini yao na kuzijaza fomu zote kwa kila nyumba, wakazikabidhi fomu hizo kwenye ofisi za...
Siyo malalamiko ya mtu mmoja au wawili. Namba za hao Applicants Support hazipokelewi. Leo ni siku ya tatu hawapokei simu zetu
Namba ipo busy na baadae ikibahatisha kuita haipokelewi. Tunafahamu kwamba simu ya mezani ukihamisha kile kikamba uweke pembeni, simu itakuwa busy mfululizo.
Mamlaka...
Kwa uzoefu wangu wa awamu za Urais hapa nchini kuna jambo nimekuwa nikiliona. Hasa awamu za karibuni.
Nalo ni Viongozi wetu kutowaamini wasaidizi wao kwa mambo ambayo ni yakawaida sana.
Mfano ni huu wa Filamu ya Royal tour.
Kwa maoni yangu Mh. Rais ametumia muda mwingi kuielezea kwa Wananchi...
Kwema ndugu zangu?
Nipo kwenye mahusiano na mdada mmoja anafanya kazi bank.
Hawa wadada wanaona maisha washayapatia sanaa najiuliza sana nataka kujua kama kuna mtu humu kaoa mdada wa bank wanaishije huko makwao?
Wanaolewa kweli hawa wadada?
Yaani vigezo vya kuwa Karani eti Kidato cha nne? Seriously? Yaan na hili la ukosefu wa Ajira. Tarajieni mafuriko, gombania goli hata huo mfumo wa kupokea applications Lazima uzimike!
Nimekuwa nikiona watu mbalimbali sasa wanashikwa kutumia hii salam, Nikiangalia hata katika mikutano wengi hawitumii isipokuwa anapokuwepo Rais ndipo hutumia.
Hata hivyo hii salam inaendelea kupunguza umuhimu kwa sababu ya hari ya maisha.
Ukisema kazi iendelee ni kama kejeri fulani hivi kwa...
Hili ni suala nimekuwa nikijiuliza kitambo sasa.
Mama is on the move daily.
Sisi tunaomtakia heri tunaona kuna kasoro.
Mama Samia ni kama hakai ofisini, kila uchao yuko huku na kule.
Kweli ni mambo ya Kitaifa lakini turudi nyuma kidogo,hata Mwalimu aliwahi kusema, kazi ya Urais na ofisi ya...
TANGAZO LA NAFASI ZA MUDA ZA MAKARANI NA WASIMAMIZI WA SENSA
Serikali imetangaza ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022.
Akizungumza na Waandishi wa Habari, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) George Simbachawene amesema...
Kwa alichofanya mkuu wa mkoa wa Mwanza cha kumdhalilisha mwandishi wa Habari Mabere makubi pamoja na kutumia madaraka yake kumfukuza kazi mtangazani huyo ni ishara ya ukatili na uonevu unaofanywa na viongozi wanaolipwa Kodi na wananchi.
Mhe.Rais Naamini hatovumilia aina hii ya viongozi...
Wakati wachina wanaadhimisha siku ya taifa ya vijana, vijana kutoka nchi za Afrika ambao wamekuwa wakiishi China na kufanya kazi pamoja nao, wamekuwa wakitoa maoni mbalimbali kuhusu wanavyowaona wenzao wachina. Maoni ya vijana wengi kutoka Afrika kuhusu vijana wa China yanafanana, na karibu kila...
Yupo dada wa kazi hapa home,
Chai anaiva wote tukishatoka kwenda kwenye majukumu huko, na anaamka mapema kabisa saa 12, tukirudi jioni tunaikuta kwenye chupa
Mchana hapiki kwasababu sote tunakua hatupo home (hapa sina tatizo)
Shida inakuja usiku, anapika chakula kidogo sana... yaani hata...
Serikali Kupitia Wizara ya Nishati (Tanesco) kuilipa kampuni ya Symbion Tsh Billion 356 baada ya kuvunja mkataba wake na Tanesco awamu ya 5.
Kampuni ya Symbion ni Kampuni iliyokuwa ya Kimarekani ambayo ilikuwa ikifua umeme na kuiuzia Tanesco! Kampuni ya Symbion ilifunguliwa rasmi awamu ya 4 na...
Kuna mtumishi mmoja analalamika kwanini upandishaji mishahara umekuwa wa hisani ya Mhe. Rais nikamwambia akamuulize Mbunge wake aliyempeleka Bungeni. Nimemjibu hivyo Kwa sababu awali enzi ya JK alikuwa anawaona wapinzani Bungeni kama watu wasio na uchungu na nchi hii na wasiofaa kuwepo.
Baada...
Intelejensia ya Dunia katika karne ya 21 imebadilika sana! Nchi nyingi duniani sasa zinafanya kazi kutengeneza nguvu na ushawishi kwenye uchumi!
Kupata nguvu na ushawishi kwenye Uchumi kunahusisha kutengeneza matajiri wakubwa wenye pesa wanaoweza kuwekeza, kushawishi uwekezaji, kuongeza ajira...
Nilikuwa na shangazi yangu ambaye alikuwa na dada wa kazi. Kwa miezi mingi hakumpa mshahara. Sasa siku ya kuondoka yule dada ikafika. Shangazi akamwambia. Ulivunja sahami hii na ile, akakata pesa. Mara ulisema pipa likikaa nje hawataiba na wameiba, akamkata.
Mwisho alipewa elfu nane. Nauli ya...
Nimeuliza swali hili kutokana na kauli ya rais Samia leo kwenye maadhimisho ya siku ya wafanyakazi.
Kwamba hapa nchini waajiri wengi wa wasaidizi wa kazi za ndani, hawazingatii maslahi ya hao wafanyakazi pamoja na mikataba ya kimailtaifa.
Natamani kujua, hivi kila mkataba ni lazima taifa...
Habari zenu natumaini wote ni wazima na ambao sio wazima mungu awabariki na kuwatia nguvu mrudi kwenye hali zenu za kawaida.
Kama kichwa cha habari kinavyosema mimi ni kijana nina degree ya human resource management nilikuwa naitafuta sehemu ya kujitolea katika mkoa wa Tanga yeyote mwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.