Ati tujifunze Kwa Kiswahili masomo ya sekondari, icho Kiswahili chenyewe mnakijua? au mnataka kuzalisha kizazi cha lomolomo? Je, kwani tumesahau visa na Mikasa ya vijana wadogo maarufu kama panya road? Kwa idadi wapo wangapi au tunahitaji wangapi zaidi Ili kujua kua swala la ajira ni changamoto...
Habari zenu jamani. Natafuta Binti wa kazi, Eneo ni Dar es salaam (Mbweni) ! Binti awe na uwezo wa kusoma na kuandika, umri kuanzia miaka 18. Kazi ni ya kuish hukuhuku na nyumba haina watoto. Mshahara maelewano.
0692917101 (call or whatsap tu)
TECCO is an organization which provide loans to small and medium scale farmers and entreprenuers in Kondoa and Ruvuma regions.
We are looking for loan officers at our branches( Kondoa and Ruvuma).
Job Responsibilities:
-
Conduct members recruitment and screening.
To orient clients to the...
Jana na juzi mitandaonii imekuwa na malalamiko mengi ya nyongeza kiduchu katika mishahara.
Watu walitegemea mabulungutu ya bure kutoka serikalini.
Nasema ni ya bure kwa sababu ofisi nyingi kama siyo zote, HAKUNA utendaji wenye tija.
Ingekuwa ofisi za serikali, watumishi wakahamishiwa ofisi za...
Ifike hatua tuache kubembelezana, Serikali ilisema kabisa imeongeza mshahara ikiwemo kima cha chini kwa 23%, hamkuelewa nini?
Hawa watu wa kima cha chini wa TGS A walikuwa wanapata hadi 280, 000/= Hawa ndio wamepewa 23%
Sasa wewe una mshahara wa milioni na wewe unataka 23% unaumwa eti...
Nafahamu tu:
(a). Nyongeza ya mishahara ilisimama mpaka tulipomaliza ujenzi wa barabara nchini - walitulia kimyaa;
(b). Kikokotoo kimepita - wao wametulia kimyaa;
(c). Nyongeza ya mishahara kwa Julai hii haikuonekana benki - tena wako kimya.
SASA JE HILI NI TABAKA LINALOJITAMBUA KWELI?
Nimekuwa nikifuatilia utaratibu mzuri ulioanzishwa na Waziri, Profesa Joyce Ndalichako wa kusikiliza wastaafu alianza Dodoma na leo Dar es Salaam natumaini zoezi hili litafika ngazi ya wilaya ili kuweza kuwafikia wastaafu wengi ambao hawana mahali pa kusemea shida zao.
Kongole sana Profesa...
Ni kweli kabisa sifa na utu wa mtu upo kwenye kufanya kazi, lakini si kweli kila kazi inalipa , kazi nyingine zinakupotezea muda tu.
Kila kazi unayoifanya jitahidi sana kuifanyia tathimini inakupa nini kwenye maisha yako.
Je, inakupa pesa inayoendana na kasi na mabadiliko ya maisha duniani na...
Jamani naomba kufahamishwa kwa anayeifahamu kwa ukaribu course ya Bachelor of Arts in Economics and Sociology.. mtu aliyesoma hii course ni kwamba anakuwa Sociologist na Economist kwa wakati mmoja?
Naomba majibu tafadhari
Mimi na wife ni watumishi, wife ni mwalimu na mimi ni afisa manunuzi wa taasisi fulani, tulipoanza maisha hatukuwa na msaidizi wa kazi, ila tulipo barikiwa kupata mtoto wakwanza tuliona kuna haja ya kuwa na binti wa kutusaidia kazi za nyumbani.
Basi katika kutafuta tafuta siku moja nikaenda...
Habarini za humu jukwaani ndugu zangu.
Mimi ni member mpya humu ila nimekuwa msomaji wa muda mrefu kidogo humu jukwaani.
Hope mtanikaribisha kwa bashasha tele ndugu zangu wenyeji wa humu.
Pamoja na hayo naomba niwajuze kuwa mimi ni msanii wa kizazi kipya ninayechipukia hivyo siku chache...
Inawezekana una kaela kadogo; labda umepata kama mshahara, au kuuza kitu n.k, na ungependa pesa yako ikuzalishie na isipotee.
Unaweza ukawekeza kwenye haya makundi:-
Wauza mishikaki
Wauza matunda
Mama ntilie
Utaanzaje anzaje:-
Tembelea hayo makundi hapo juu
Tathmini mauzo yao kwa siku
Kwa...
Msemaji wa Yanga SC Hassan Bumbuli alitaka Kutudanganya na Kutuficha kuwa Yanga SC hawako katika Mzozo wa Kimkataba na Wakala wa Hoteli huko nchini Uturuki ambako Klabu ya Yanga ilikuwa waende kwa ajili ya Pre Season yao.
Wakati 'Hopeless' Bumbuli akijitahidi kutaka kuleta Uswahili wake juu ya...
Kama kuliundwa mpaka Bunge la Katiba na "Katiba pendekezwa" ikatolewa, leo Kikosi kazi kilichoundwa kinafanya kazi gani tena?
CCM inajua sana kufuja fedha za Watanzania.
Heshima sana,
Mimi Ngongo Balozi wa kumi natarajia kufika mbele ya kikosi kazi kutoa maoni yangu kuhusu Katiba.
Mosi,naunga mkono katiba mpya kwakuwa hii ya sasa imepitwa na wakati.
Natarajia kuangazia mambo manne tu mengine nawaachia waTanzania wengine.
Katiba lazima ipunguze...
Salaam Wakuu,
Mkuu wa Wilaya Godwin Gondwe alipokuwa Mkuu wa Wilaya Temeke, kulikuwa na Mgogoro Hospitali ya Dar Group.
Gondwe akaitembelea, na kuwaambia Wafanyakazi na Madaktari wafunguke matatizo yao kwamba atawalinda. Watu wakajiachia.
Leo kahamishwa Wilaya kapewa Jokate. Wote walioongea...
Habari ndugu zangu wa JamiiForums, am Mechanical Engineer by professional in oil and gas industries, niko natafatu connection za kazi za nje ya nchi hususani Canada, Belgium, France na Germany.
Msaada kwa mwenye connection.
Leo, Machi 15, 2021 Samia Suluhu Hassan, Makamu wa Rais wa Tanzania ameanza ziara mkoani Tanga na akiwa kwenye kiwanda kimojawapo alichozindua kinachoshughulika na matunda wilayani Korogwe, alipata nafasi ya kusalimu wananchi baada ya kuombwa na mkuu wa mkoa wa Tanga ambapo alianza na salamu...
1. Epuka kuegemea ukuta au kupishanisha miguu
2. Epuka kukunja mikono yako kifuani; inaonyesha unajiamini kupita kiasi au dharau
3. Unapoulizwa maswali; daima angalia mbele, usiiname chini
4. Epuka kutafuna kitu chochote mdomoni au kung’ata kucha
5. Kama umekaa usiegemee sana kiti -...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.