Mwalimu John alikuwa akifundisha katika shule moja ya umma, katika kufundisha kwake Kwa miaka kadhaa, utendaji kazi wake umekuwa watofauti Sana na walimu wenzake. Ilifikia hatua walimu wenzake walishindwa kumuelewa kabisa, hali iliyopelekea utendaji wake wa kazi kuwa ni wa Maswali mengi sana...