kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. B

    JamiiForums Tanzania SoC02 Walimu, wapeni kazi watoto wanaofaulu darasani

    Mwalimu John alikuwa akifundisha katika shule moja ya umma, katika kufundisha kwake Kwa miaka kadhaa, utendaji kazi wake umekuwa watofauti Sana na walimu wenzake. Ilifikia hatua walimu wenzake walishindwa kumuelewa kabisa, hali iliyopelekea utendaji wake wa kazi kuwa ni wa Maswali mengi sana...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Afande Sele: Tozo zimekuwa nyingi na hazionekani zinafanya kazi gani

  3. R

    JamiiForums Tanzania Leo tuachane na siasa, tujifunze magari yetu yanafanyaje kazi

    majority humu mnaendesha magari. Je, engine yako inafanyaje kazi? C&P
  4. B

    JamiiForums Tanzania KAZI KATIKA TAASISI ZA KIMATAIFA

    UNITED NATIONS CAREERS https://careers.un.org › lbw › jobfeed United Nations Job Openings - UN Careers Posted Date : 8/26/2022 ... Department/Office : Economic Commission for Africa ... UNCTAD Intenship Programme in the International ....
  5. PAZIA 3

    JamiiForums Tanzania SoC02 Vijana tufanye kazi, nyakati zinabadilika, uchumi wako unategemea utendaji kazi wako

    Salaam kwenu wapenda maendeleo. Najua Kuna wakati tunawachosha kwa makala nyingi za mfululizo , tusichoke kushiriki Hanna kwasababu kupitia platform hii, Kuna watu wanabadili mitazamo. Kuna wengine tunaandika siyo tu kwaajili ya shindano la story of change, No, wengine tunaitumia platform hii...
  6. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Ofisa wa TRC aliyefukuzwa kazi kwa kukosoa tozo akamatwa na Jeshi la Polisi akiwa nyumbani kwake

    Taarifa iliyotufikia hivi punde inasema kwamba Jonas Afumwisye meneja wa TRC aliyesimamishwa kazi kwa kupinga Tozo, AMEKAMATWA NA POLISI. Wakili wa Meneja huyo Peter Kibatala, amedai kupigiwa simu na Mteja wake Ndugu Afumwisye na kuelezwa kwamba amefuatwa na Polisi nyumbani kwake ambao...
  7. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Sensa na Changamoto ya Intaneti: Karani wa Sensa Akutwa Juu ya Mti akitafuta Mtandao Butiama, Mara

    Ni huko wilaya ya Butiama kwa Baba wa taifa hili Mwl J. K. Nyerere. Kwa jinsi ambavyo viongozi wetu wasivyopenda kukosolewa, si ajabu karani huyu wa sensa anafukuzwa kazi kwa kuposti picha hii na kueleza changamoto hii. Anaweza kuwa charged kuwa anahujumu zoezi la sensa. ======== Makarani wa...
  8. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mawakili wanena kuhusu Mfanyakazi wa TRC aliyefukuzwa kazi kwa kupinga tozo

    Wanasheria mbalimbali wametoa maoni tofauti kuhusu kufukuzwa kazi kwa Meneja wa Shirika la Reli nchini (TRC) Kanda ya Dar es Salaam, Jonas Afumwisye huku baadhi yao wakionyesha nia ya kumpatia msaada wa kisheria. Juzi, Afumwisye alipokea barua iliyosainiwa na Mkurugenzi Mkuu wa TRC, Masanja...
  9. ubuntuX

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Dell latitude E6510(Machine ya kazi) 8GB RAM, core i7 and 500Gb ROM Kwa 475,000 tu

    ,nauza machi
  10. kyagata

    JamiiForums Tanzania Ushauri uliotolewa na Mwigulu kuwa wakurugenzi wa mashirika ya umma waombe kazi ajira portal, umeanza kufanyiwa kazi.

    Sasa hivi ni mwendo wa ajira portal. Hakuna cha kusubiri uteuzi kama ilivyokua https://www.jamiiforums.com/threads/waziri-nchemba-napendekeza-wakuu-wa-mashirika-ya-umma-wafanyiwe-usaili-kwa-ushindani-badala-ya-teuzi-kama-awali.1992080/
  11. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Thailand: Mahakama yamsimamisha kazi Waziri Mkuu

    Mahakama ya Katiba imemsimamisha kazi Waziri Mkuu Prayuth Chan-ocha baada ya kuwekewa pingamizi na vyama vya Upinzani vilivyodai kiongozi huyo amemaliza muhula wake wa miaka minne Inaelezwa kuwa pingamizi hilo la kisheria linaweza kumuondoa kazini Kiongozi huyo ikiwa ni miezi michache imesalia...
  12. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania TUCTA yapinga kufukuzwa kazi kwa aliyekuwa meneja wa TRC kanda ya Dar es Salaam

    Baada ya aliyekuwa Meneja wa Kanda wa Shirika la Reli Tanzania, Jonas Afumwisye, kuthibitisha kupokea barua ya kufutwa kazi, Rais wa Chama cha Wafanyakazi nchini amesema wanapinga hatua hiyo kwa kuwa alitimiza haki yake ya kutoa maoni. Meneja huyo anadai, kusimamishwa kazi kutokana na kupinga...
  13. P

    JamiiForums Tanzania Usaili wa kazi za Ubalozi wa Marekani hukuchua muda gani kuitwa?

    Wakuu samahani, Naomba kufahamu usahili wa kazi kwenye Ubalozi wa Marekani huwa inachukuwa muda gani mpaka kuitwa huko
  14. Kennedy

    JamiiForums Tanzania Njombe Karani wa Sensa afutwa kazi baada ya kuibiwa Kishkwambi

    Mratibu wa zoezi la sensa mkoani Njombe Amewafuta kazi makarani wawili, baada ya mmoja kuibiwa Kishkwambi, akiwa na mwenzake kwenye ulevi ulipitiliza Pamoja na kuwafuta kazi hao, Mratibu amesema zoezi litakwenda vema japo hao wawili wameondolewa Mambo ya ngoswe yameanza mapema kujitokeza...
  15. Breaking bad

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu: Jinsi wasanii wa WCB wanavyoweza kunufaika na kazi zao

    Wcb wasafi ndio lebo namba moja afrika mashariki na kati hivi sasa lakini wasanii wake ni masikini kwa sababu kikubwa katika wanachotengeza kinaishia kwa mameneja na kidogo kwao. Nimewahi kumsikia mkubwa fela pale wasafi fm alisema analipwa milion 40 kwa mwezi na mond ukiweka mbali mgao kutoka...
  16. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Sensa: Leo ni leo, Kazi ni Moja tu!, Kuhesabiwa!

    Wanabodi
  17. R

    JamiiForums Tanzania Dada wa kazi za ndani na utapeli mpya mjini

    Habari wakuu, Kumekua na hii tabia inayokuwa kwa kasi inayofanywa na wadada wanaofanya kazi za nyumbani. Tabia ambayo imegharimu na inaendelea kuwagharimu watu, hivyo wanajamvi muwe makini na watu hawa mnaowachukua kwa lengo la kusaidia kazi za nyumbani. Iko hivi, utakuwa na uhitaji wa kupata...
  18. Rajabu mjanga

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya upishi

    Habari, Mimi ni kijana ninaumli wa miaka 23, ni mvulana kwa sasa naishi Zanzibar, ila nyumbani ni Dar es Salaaam, nimejifunza kazi ya upishi na ninauzoefu wa kupika tokea 2019 mpaka sasa 2022. Najua kupika vyakula vya Indian food, Asia food, Americans food, tacos za Mexico na pasta za Italian...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi kwenye Shirika au Taasisi yoyote ya Elimu

    Habari wana JF, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 29 na muhitimu wa SHAHADA YA ELIMU KATIKA SERA, MIPANGO NA UTAWALA. Pia, ni mwalimu wa masomo ya JIOGRAFIA NA KISWAHILI. Natafuta kazi kwenye mashirika na taasisi mbalimbali zinazohusiana na taaluma yangu, nawaombeni wana JF kwa yeyote...
  20. David Lanta

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mwalimu wa kubadilishana naye vituo vya kazi

    Habari. NATAFUTA MWALIMU WA KUBADIRISHANA NAYE KITUO CHA KAZI, YEYE AJE KIGOMA MJINI NA MIMI NIENDE KASULU MJINI. Idara : SEKONDARI
Back
Top Bottom