kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. R

    JamiiForums Tanzania Website ya NACTEVET (zamani NACTE) haifanyi kazi

    Tunajaribu kupata information toka NACTEVET with regard to the coming academic year, website haifunguki/haipo. Tusaidieni wahusika kuna nini? Tunataka kujua matokeo ya mitihani ili wazazi tujiandae na ada etc etc etc. We are in darkness.
  2. A

    JamiiForums Tanzania Kujituma ni silaha na kazi iendelee

    Watanzania salamu, ndipo nashika karamu, Naleta jambo muhimu, Fungua zenu fahamu, Umasikini Ni sumu, unaoleta magumu, kujituma ni silaha,na kazi iendelee. Ukilala ni hasara, utaitwa ni fukara, omba omba inakera, kwa wengi unajichora, fanya kazi barabara, kipato kiwe imara, kujituma ni silaha...
  3. Brightly

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi civil engineering technician

    Habariii wakuu? Husika na kichwa hapo juu natafuta kazii katika makampuni yeyote ya ujenzii wa nyumba au barabara nipo tayari kufanya kazi sehemu yeyote. Mimi ni mhitimu wa stashahada ya uhandisi ujenzii Nina uzoefu wa miaka miwilii katika usimamizii wa barabara na ujenzii wa nyumbaa mwenye...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya udereva

    Naitwa Fidelisi Fredy Sanya Nina umri wa miaka 22 naishi Dar es Salaam nina cheti Cha kidato Cha nne, Nina cheti Cha V.I.P driver kutoka chuo Cha Taifa Cha usafirishaji N.I.T. Pia Nina Namba ya NIDA, LESENI yangu Ina madaraja matano B, D, C1, C3, E. Namba zangu za simu Ni 0689361565 au...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Kwanini kufanya kazi kwa Wahindi ni changamoto sana?

    Nimetafakari sana juu ya hali ya wafanyakazi wanaofanya kazi katika kampuni na mashirika mengi yanayoendeshwa na Wahindi na kugundua kuwa kuna vitu havipo sawa, hasa kwenye ngazi za kiutendaji. Kuanzia kariakoo mpaka sehemu nyingine nchini asilimia kubwa ya wafanyakazi huwa hawapewi mikataba...
  6. Tanzaniampyawa

    JamiiForums Tanzania 80% kufanyia kazi nyumbani wakati wa Kombe la Dunia

    Muda wa KUJIAJILI SIJUI ITAKUWAJE BAADA YA KOMBE LA DUNIA... (AU NDIO MKATABA WA MILELE WATU KUFANYIA KAZI NYUMBANI) Serikali ya Qatar imesema wafanyakazi wa serikali wa nchi hiyo watalazimika kufanyia kazi nyumbani wakati wa mashindano ya Kombe la Dunia yatakayoanza mwezi Novemba mwaka huu...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi ya Ualimu (Kisw & History) inahitajika

    Wapendwa Kuna dogo amemaliza Degree ya Ualimu ( Arts- Kiswahili & History) Kama kuna mtu anaweza kumuunganishia kazi; karibu Inbox tuyajenge Mwenyewe Yupo Dar ila anaweza kwenda mikoani kulingana na offer
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Mazingira fanyeni kazi yenu sawa sawa nchi inageuka Jalala kwa kasi

    Nimetembelea jiji la Dar es salaam, kwa kweli hali niliyokutana nayo inasikitisha sana. Mpaka ikabidi nijiulize hii wizara inayohusika na mazingira iko wapi na inafanya nini? 1. Mifuko ya Plastic mitaani imekuwa mingi sana. Miaka michache iliyopita wakati wa Utawala wa Hayati Magufuli serikali...
  9. M2WAWA2

    JamiiForums Tanzania Ukiona mume wako kachepuka na mfanyakazi wa kazi za ndani kuna mawili

    Miriam Lukindo Mauki anaandika; Ukiona mume wako kachepuka na mfanyakazi wa kazi za ndani (na mara nyingine huwaoa kabisa), kuna mambo mawili; 1. Ni mwanamke mwenye lawama nyingi, yaani malalamiko. Mwanamke asiye na kushukuru au asiyeona kitu anachokifanya mpenzi wake. Ni mwanamke mwenye...
  10. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Waziri Uingereza atimuliwa kazi kwa tuhuma za ushoga!!!

    Conor Burns, kushoto, akiwa na Boris Johnson aliyekuwa Waziri Mkuu Uingereza. Waziri wa Biashara, Conor Burns wa Uingereza ambaye vile vile nalikuwa Chief Whip wa chama chake cha Conservatives, katimuliwa kazi. Kisa na mkasa inaelekea alianza kumtongoza mwanaume mwenziwe akiwa amelewa katika...
  11. Zekoddo

    JamiiForums Tanzania Mbagala kuelekea Mkuranga ni viwanda vipi vinatoa kazi za Viwandani

    Kwa maeneo ya Mbagala kuelekea Mkuranga ni viwanda vipi vinatoa kazi za kutwa. Kama unavijua taja hapa, kwa wale wenyeji wa Maeneo hayo. Unaweza kushare hapa. Na kama una connection yoyote kwa kiwanda chochote, basi itakuwa vizuri
  12. Zekoddo

    JamiiForums Tanzania Kazi za kutwa viwandani

    Kwa maeneo ya Mbagala kuelekea Mkuranga ni viwanda vipi vinatoa kazi za kutwa. Kama unavijua taja hapa, kwa wale wenyeji wa Maeneo hayo. Unaweza kushare hapa
  13. Mwl Athumani Ramadhani

    JamiiForums Tanzania Sisi kama Serikali tuna mipango kazi mingi ya kupambana na mgao wa umeme na sio IPTL pekee!

    Ndugu zangu watanzania Mgao wa umeme unaoendelea ni matokeo ya kupungua kwa kina cha maji kwa vyanzo vyetu tunavyovitegemea KILA mwaka! Ikumbukwe KWAMBA mvua za Msimu wa mwaka 2021/2022 zilikuwa chini 1500mm hivyo kutokujaza ipasavyo nyanzo vyetu VYA umeme kama kidatu,mtera na vinginevyo,Hali...
  14. X

    JamiiForums Tanzania Bingo Natafuta kazi yoyote halali, Ndani Ya mkoa wa Mwanza

    Habari wana jamii forum, Mimi Binti, Elimu yangu ni kidato cha 4. Natafuta kazi yoyote halali ndani Ya mkoa wa Mwanza . Nipo tayari kufanya kazi pia katika (kazi za ndani, viwandani na kuuza duka, na stationary ). Naombeni msaada kwenu tafadhari. Mwenye connection yoyote aje DM.
  15. N

    JamiiForums Tanzania Maombi ya kutafuta kazi

    Kwa majina naitwa nassor maneno,naishi dar es salaam vile vile nina certificate ya clearing and forwarding , pamoja na hayo me nilkuw naomb kaz kwa mwenye connection ya clearing and forwarding au yoyote. Ahsanteni
  16. Dezoizo52

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda kwenye suala la kutatua changamoto za wananchi alikuwa the best kuliko wakuu wa mikoa wote Tanzania

    Nimetoka sebuleni na kuja kwa kitanda kujipumzisha, sasa nikawaza hivi inakuaje mji kama Dar es salaam usikalike eti kwa ajili ya panya rodi? Ndipo mke wangu akamkumbuka Paul Makonda na kunikumbusha laiti angekuwepo madarakani hawa mapanya road ingekuwa historia. Viongozi wengi wa sasa...
  17. F

    JamiiForums Tanzania Mzee Kikwete: Mchakato wa Katiba Mpya niliufanya ikabaki kura ya maoni, kazi kwenu

    Ameyasema hayo leo akitimiza miaka 72. Rais mstaafu Jakaya Kikwete akihojiwa na clouds Media Group ktk kutimiza kwake miaka 72, amegusia Katiba Mpya. Amesema ameasisi Mchakato wa Katiba Mpya kwa kuunda tume ya maoni ya Warioba na baadaye Bunge la Katiba. Rasimu ilipatikana na ikabaki kura ya...
  18. Mkurya romantic

    JamiiForums Tanzania Payoneer inafanya kazi kwa Tanzania?

    Wanajukwaa wenzangu tunaopenda kufanya kazi za online na watukutoka nje ya nchi nilikua naomba kuulize hivi payoneer inaruhu kupokea pesa toka nje ya nchi??
  19. B

    JamiiForums Tanzania Kwa waliwahi kuomba kazi Ubalozi wa Marekani

    Habari, kwa yoyeto alieomba kazi ubalozi wa marekani administaritive clerk au utillity clerk post za mwezi wa nane kuna aliyepata majibu yoyote. Kuna yoyote status imebadilika kule kwenye account maana wengine still ipo no comment na kwawalio wahi fanya usaili au kukmba kazi ubalozi wa marekani...
  20. BARD AI

    JamiiForums Tanzania UTAFITI: 95% Ya wanaofanyia kazi nje ya ofisi wana "stream" movies na muziki muda wa kazi

    50% kati yao walikubali kutiririsha movies wakati wa saa za kazi, mfanyakazi 1 kati ya 5 alisema anatiririsha maudhui wakati wa muda wa kazi kwa sababu wanahisi kulipwa kidogo. 25% ya wafanyakazi walikiri kuchelewa kufanya kazi ili kumaliza kutazama vitu mtandaoni. Kwa mujibu wa utafiti mpya...
Back
Top Bottom