MEI MOSI 2026📌
💡Rais amesema: “Ni wajibu wetu sote kushirikiana, kuaminiana na kutanguliza maslahi ya Taifa. Tuendelee kufanya kazi kwa bidii, uadilifu na weledi ili kujenga uchumi imara na ustawi wa jamii yetu.” Serikali ipo na inawasikiliza wafanyakazi.
💡Kwa kuwawezesha vijana, Rais Dkt...