kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. B

    JamiiForums Tanzania OSHA yaimwagia sifa benki ya CRDB kwa kuzingatia usalama mahali pa kazi

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Profesa Joyce Ndalichako akimkaidhi tuzo Mkuu wa kitengo cha Ulinzi, Usalama na Mwendelezo wa Biashara wa Benki ya CRDB, Misana Mutani wakati Benki ya CRDB ikitunukiwa tuzo tatu ambazo ni mshindi wa kwanza katika kundi...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Mzee Warioba ateuliwe tena kukamilisha kazi aliyotumwa na Watanzania

    Tuliona kazi iliyotukuka iliyofanywa na Tume ya kukusanya maoni juu ya Katiba mpya mwenyekiti wa Tume hiyo akiwa Mzee Warioba. Walikuwepo wazee kama Mzee Sitta walioshiriki katika mchakato huo katika ngazi mbalimbali, pamoja na kuwa na afya njema enzi hizo, Leo hatunao tena Duniani lakini Mzee...
  3. Lanlady

    JamiiForums Tanzania Upimaji wa utendaji kazi kwa kutumia OPRAS hauna tija!

    Inashangaza kuona baadhi ya maeneo bado wanatumia opras kama rejea ya utendaji kazi wa watumishi. Ikumbukwe kwamba fomu hizi hujazwa na mtumishi kwa kushirikiana na kiingozi wake. Kwa asilimia kubwa, hakuna uhalisia katika upimaji kwa kutumia hizi fomu
  4. B

    JamiiForums Tanzania Barrick yaendeleza rekodi ya ushindi tuzo za Wiki ya Usalama na afya Mahali pa kazi (OSHA)

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Prof. Joyce Ndalichako akikabidhi tuzo ya OSHA mshindi wa jumla wa maonesho hayo Mkufunzi wa Usalama mahali pa kazi wa Barrick Bulyanhulu, Azaely Kitenge (katikati) ni Mwenyekiti wa Bodi ya OSHA, Dkt. Adelhelm Meru...
  5. G Jonathan Kamenge

    JamiiForums Tanzania Madini yetu, kazi zetu

    Doto Mashaka Biteko, mmoja wa wanasiasa vijana kabisa na ambao tangu kuingia katika siasa na katika serikali, wameonyesha siyo tu utendaji unaokwenda na wakati, bali pia uwezo wa kuzielewa wizara zao kiasi cha kuingia kwenye lile kundi waliofahamika miaka kadhaa huko awali kama “askari wa...
  6. Logikos

    JamiiForums Tanzania The Killer (1989) - Moja ya kazi Nzuri Sana ya John Woo

    Kama haujaiona hii Movie nashauri iangalie ni movie moja Nzuri sana (Good Story; Good Actions; and a Bit Emotional) kwa kuogopa kutoa Spoilers ngoja nikupe Theme Song yake kama Dondoo....; Anyway katika Ma-directors maridadi John Woo na yeye ni Mtaalamu (From Mission Impossible mpaka A Better...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya Kazi Ubalozi wa Uingereza, Mshahara Milioni 5.3 kwa Mwezi

    View Vacancy - Senior Programme Manager (04/23 DAR) The British Government is an inclusive and diversity-friendly employer. We value difference, promote equality and challenge discrimination, enhancing our organisational capability. We welcome and encourage applications from people of all...
  8. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Nani amefanikiwa kuapply kazi ya Mwandishi wa Taarifa Rasmi za Bunge

    Natumai sote tuna taarifa BUNGE letu lilitangaza nafasi za kazi hivi karibuni. Naomba kufahamu kama kuna yeyote aliyefanikiwa kutuma maombi ya nafasi ya mwandiishi wa taarifa rasmi za bunge.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Waungwana, msaada tutani

    Habari za muda huu Naomba kujuzwa, hivi kampuni inaposema tunatoa mshahara mnono kwa nafasi ya ulinzi inaweza ikawa kama Tshs ngapi ? Mana nimeona tangazo la kazi ya ulinzi katika mradi wa bomba la mafuta na wameandika tunatoa mshahara mnono Naomba kwa wenye uzoefu wanisaidisme kunijuza...
  10. P

    JamiiForums Tanzania Mnaoshinda mitandaoni mnafanya kazi saa ngapi?

    Umofya kwenu members! Umofya tena !!! Niende moja kwa moja kwenye mada, Baada ya kufanya utafiti mdogo nimegundua baadhi ya watu kushinda mitandaoni muda mwingi si asubuhi mchana wala jioni. Swali langu ni mnafanya kazi saa ngapi kama kutwa kukicha mitandaoni? Mnamajukumu kweli ? Tutafikia...
  11. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Utafiti Marekani umeonesha kwamba watu waliozaliwa kuanzia mwaka 1997 ni wabishi, wajuaji na hawana heshima

    Marekani utafiti umeonyesha kwamba ni vigumu sana kufanya kazi na kizazi Z ama generation Z ambao wamezaliwa kuanzia mwaka 1997. Meneja na wakurugenzi wa wakuu wa utumishi walioulizwa kwenye utafiti wamesema ni ngumu sana kufanya kazi na kizazi Z kwani ni wabishi, wajuaji, hawana nidhamu wala...
  12. Mr Q

    JamiiForums Tanzania Kwanini watumishi hawana hamu na tarehe 1/5/2023 sikukuu ya wafanyakazi? Ni majeraha ya nyongeza ya 23% mshahara?

    Kama mjuavyo mwaka jana watu walikuwa kimuhemuhe cha nyongeza ya mishahara kwa asilimia 23.3 kitu ambacho "msigwa na raisi wa tukta" hawana majibu ya namna asilimia hizo zilivyo ongezwa kwenye mishahara ya watumishi. Jambo hilo huwenda ndio chanzo cha watumishi walio wengi kupoa mioyo yao...
  13. heartbeats

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kazi ya udereva wana JF

    Wakuuuu kwa anayeweza kutoa msaada au connection ya kazi ya udereva. Namwombea baba yangu. Ana leseni class D, E, G ni mzoefu wa magari miaka mingi. Mwenye connection au maelekezo naomba msaada nimtupie mzee taulo, shukrani.
  14. jastertz

    JamiiForums Tanzania Kwanini Graduates wengi hawapendi kazi zenye kipato kidogo?

    Hello JF! Currently tuna changamoto ya ajira kwa wanazuoni wengi but hata zile zenye kipato kidogo hawataki. Anaona kuliko apewe 150k per month bora akae nyumbani au bila kazi. Bila kujua pale sio tu anapata 150k but exposure ya mambo mbali mbali pamoja na ujuzi na kuaminika maeneo mbalimbali...
  15. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Tottenham yamfuta kazi Kocha wa muda baada ya kufungwa 6-1

    Kocha Christian Stellini ambaye alipewa mikoba kuongoza timu hadi mwisho wa msimu baada ya kufukuzwa kwa Antonio Conte, naye amefikia ukomo wa ajira yake ikiwa ni wiki chache tangu alipopewa ajira hiyo Spurs ilifungwa 6-1 na Newcastle United katika mchezo wa Premier League, hivyo timu kwa sasa...
  16. ZING SOKONI

    JamiiForums Tanzania Hii inasaidia nini au kujipa kazi za bure tu

    Wataalamu wa friji na freezer hizi mbao kama stand hapo chini ya friji, huwa zinasaidia nini au tunajipa kazi za bure tu.
  17. Mamujay

    JamiiForums Tanzania I am looking for a Housemaid job

    I'm Doto from Temeke Toangoma Dar es salam, 26 yrs old. I'm here looking for housemaid job please can you help me, I have 5 yrs experience for housekeeping and 1 yr babysitter. I know to cook, cleaning, washing, ironing and family careers and all the home surround work. Nisaidie please...
  18. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Video: Kiwanda kikubwa cha uzalishaji magari chaanza kazi rasmi

    Wakati tukijadili namna kamati ya viwanda toka wizarani ilivyomnanga Masoud Kipanya na vigari vyake, tuangalie namna Ghana inavyotengeneza magari kama Japan kwa sasa....
  19. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Hongera Gerald Hando kwa kusimamia weledi kwenye kazi yako. Piga kazi watanzania tunakukubali

    NANDY HAWEZI KUMSHAWISHI BINTI YANGU - GERALD HANDO. Mjadala umeibuka kwenye #MsumariWaMoto kuhusu baadhi ya Wasanii kuoa au kuolewa kuonekana kupoteza ushawishi wao kwa Mashabiki Vijana, mfano mzuri 'The African Princess' Nandy. King Mende @geraldhando anaamini kitendo cha Nandy kuolewa na...
  20. David Harvey

    JamiiForums Tanzania Nimemdanganya wife nimefukuzwa kazi anataka kurudi kwao

    Nimepata likizo ya kikazi ya siku 28 nikasema ngoja nitumie hii likizo kupima Imani ya mtu ,sasa hii ni wiki ya 3 tangu nilipomwambia wife nimefukuzwa kazi, ndani ya wiki 2 za mwanzo alijifanya kuvumilia hali ananipa moyo ila ugali na dagaa zilivyozidi kutaradadi leo ameamua kufunguka ya rohoni...
Back
Top Bottom