kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kufundisha somo la Kiingereza

    WanaJF nakuja kwenu kuomba kazi ya Ualimu wa Kingereza. Iwe msingi au sekondari popote naweza kufundisha. Nimemaliza UDSM pale na nina Upper Second (3.8). Pia nina uzoefu wa kufundisha zaidi ya miaka mitatu maana hadi naandika uzi huu bado nipo kazini. Naweza kufanya kazi popote na niko tayri...
  2. JamiiForums Tanzania Kazi na ajira ni tofauti

    Katika lugha ya kawaida, maneno "kazi" na "ajira" mara nyingi hutumiwa kwa namna ambayo inafanana. Tunatumia maneno hayo kuelezea jinsi tunavyopata kipato chetu. Katika mazingira ya kawaida, hatuhitaji kutumia maneno sahihi kila wakati. Tunajaribu tu kufahamika. Hivyo, hatuhitaji kufuatilia...
  3. JamiiForums Tanzania Hatima ya mtumishi aliyefukuzwa kazi kwa utoro kazini akiwa shuleni kwa barua

    Kwenu wanasheria. Mpwa wangu alikuwa chuo akisoma shahada ya pili! Kwenye kile kipindi cha giza alitolewa kwenye ajira kwa kisingizio kwamba alikuwa nje ya kituo cha kazi na kwamba muajiri alikuwa hajui alipo. Amejaribu kufuatilia lakini ngoma ngumu. Japo kuna wadau wanasema anaweza kurudi...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Ni kazi gani uliwahi kuifanya ukiwa umefulia ambayo leo ukiikumbuka unacheka tu?

    Nikiwa pale udbs bana,ndipo Wakati lile jengo la pssf Tower lilikua linajengwa.kuna kipindi nilifulia nikawa sina hata mia mbovu..home nako nimeacha wife ana mimba. Nikawa napiga vibarua vya kubeba zege pale ili walau kukidhi mahitaji. Saivi hapa namsimulia wife ananicheka tu.. Ni kazi gani...
  5. JamiiForums Tanzania Wauguzi wanafanya kazi kubwa sana

    Kazi ya uuguzi ni ngumu sana Wauguzi waongezewe mshahara Nawasilisha
  6. JamiiForums Tanzania Ombi: Makalla Dar ishamshinda. Mama mrudishe Makonda

    Sijawahi kupenda mambo binafsi ya Makonda,ila naikubali kazi yake ya Uongozi na Uchapakazi Sina haja ya kuweka resumé yake hapa kwani kazi zake zinaishi Kama Mama hatojali,mrudishe Makonda
  7. D

    JamiiForums Tanzania TRA wapo sahihi kabisa kupuuza maagizo hewa ya wanasiasa! Serikali inafanya kazi kwa maandishi

    Ni aibu kubwa sana ukiisikiliza speech ya waziri mkuu! Ni kweli viongozi wakuu waheshimiwe lakini kauli tupu pasipo maandishi ni usanii mtupu! Wahenga waliwahi kusema "government work on paper " Maagizo bubu ya midomo kama hayo tuliyasikia kwenye shirika la umeme kwamba Nguzo za umeme ni...
  8. JamiiForums Tanzania Waziri Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji amewaahidi wafanyabiashara wa soko la Mchele la Magugu mkoani Manyara kufanyia kazi kero ya utozaji wa ushuru

    WAZIRI ASHATU KIJAJI AAHIDI KUTATUA KERO YA UTOZAJI USHURU KWA WAFANYABIASHARA WADOGO MKOA WA MANYARA Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) amewaahidi wafanyabiashara wa soko la Mchele la Magugu mkoani Manyara kufanyia kazi kero ya utozaji wa ushuru wa Shilingi...
  9. JamiiForums Tanzania Mwalimu mwenye kujua kazi ya 2% ya makato ya Mshahara wake kwenda CWT tukutane hapa

    Niko siti ya mbele karibuni walimu. Tahadhari, walimu wa ajira mpya itakayotolewa mapema mjihadhari na mkato ya 2% ya vyama vya wafanyakazi, lipeni 5,000 makato ya kila mwezi. KARIBUNI
  10. JamiiForums Tanzania SoC03 Jinsi kazi za ndani zinavyotokomeza ndoto za watoto wa kike

    Imekuwa ni kawaida kwa desturi zetu za sasa, hususani maeneo ya mijini pindi familia inapohotaji msaidizi wa kazi za ndani ya nyumba, hupelekekea kupiga simu maeneo ya pembezoni mwa miji Ili kupata msaidizi wa kusaidia kazi za ndani. Wengi wetu tumekuwa tukihitaji wafanyakazi hawa bila kufuata...
  11. JamiiForums Tanzania Hizi ndizo kazi ambazo mtoto wa mjini hawezi kuzifanya...

    ~kondakta wa daradara < hawezi kupiga kelele > ~kusaidia fundi < wanaita kazi ngumu> ~kuuza duka <hawawezi kukaa sehem moja> ~biashara mtandaoni < wanakwambia utapeli> ~udereva < wanaogopa ajari > ~kuuza mishkaki,chips,ndizi,karimati,mihogo,migahawa <biashara ndogo hutoboi> ~kilimo hakilipi...
  12. JamiiForums Tanzania Nini Kauli ya Serikali Kuhusu Makato ya Tozo na Mtandao Kutokufanya Kazi Vizuri

    MBUNGE KUNTI MAJALA - NINI KAULI YA SERIKALI KUHUSU MAKATO YA TOZO NA MTANDAO KUTOKUFANYA KAZI VIZURI Mhe. Kunti Majala Mbunge wa Viti Maalum amemuuliza swali Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa kupitia Wizara ya Habari na Mawasiliano na Teknolojia ya Habari...
  13. JamiiForums Tanzania Kuna Uwezekano Mganga wa Kienyeji aliyemfanyia Kazi Tukuka Musiba akawa ndiyo huyu huyu wa Yanga SC inayoenda kuwa Bingwa wa CAFCC 2023

    Tafadhali Poti wangu Musiba kuna Demu Mmoja wa Kihaya na Kinyiramba si tu ananisumbua bali ananikondesha pia kwa Kunikatalia kunipa 'Tamu Baioloji' yake. GENTAMYCINE nipo chini ya Fito zako naomba unipe Namba yake / zake za Simu ili nimpigie anifanyie Kazi yangu ifanikiwe ning'oe Mzigo kama...
  14. JamiiForums Tanzania Kwa jinsi Marumo wanavyocheza, kuelekea mechi ya marudiano Yanga inapaswa kufanyia kazi mapungufu yao

    Jamaa wana spidi na wanafika hadi langoni na pasi ni za uhakika sana. Inatakiwa benchi la ufundi lije na muarobaini wa kuwazuia jamaa wasifike langoni. Maana mechi ya Dar ilikuwa ni almanusura jamaa wapate magoli maana wamefika sana langoni na Diarra kufanya saves kadhaa. Jamaa watakuja na...
  15. JamiiForums Tanzania Wakristo, waislam, walevi, maDJ na wezi muwe watulivu wakati NEMC wakifanya kazi yao halali

    Nimefurahi sana kusikia NEMC wameanza kuwashughulikia wapiga kelele wanaosababisha zogo mtaani na kuwafanya raia wengine wakose raha na utulivu. Kipekee kabisa naomba NEMC wamulike zaidi makanisa, misikiti, vigodoro na wauza muziki (wezi wa kazi za wasanii) kwani hawa ndio wamekithiri kwenye...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Naomba Msaada kwa mtu yeyote anayefanya kazi ofisi za halmashauri ya Wilaya ya Serengeti kuna jambo nataka kuuliza!

    Ndugu zangu wana Jamiiforums, mimi ndugu yenu naomba kama kuna mtu yoyote humu anayefanya kaz ofisi za Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti nahitaji nimfate DM tuzungmze nina shida ya muhimu sana Ahsanteni
  17. JamiiForums Tanzania Nafasi ya Kazi: Assistant Nursing Officer

    Peking Healthcare limited; a newly growing company located in Ilala -Dar es salaam which offers high level quality health services is looking for competent candidates to join the team at one of her dispensaries located in Ilala -Dar es salaam. Currently there are two (02) vacancies to be filled...
  18. JamiiForums Tanzania Wana JF naombeni kazi ya customer care

    Jina: Bety Laizer Jinsia: Mwanamke Umri: 33 years old Elimu: Diploma ya Afisa Masoko Makazi: Arusha , Tanzania Uzoefu: Miaka 8 Email yangu ni tourismnewworldwide@gmail.com ,
  19. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote ya halali

    Habari wana JF, Mimi ni kijana Mwenye umri wa miaka 24, Naitwa Isack Mussa. Ni muhitimu wa chuo kikuu (UDSM) course BCOMM HRM. Nimehitimu 2021 mpaka sasa sijafanikiwa kupata ajira. Nipo hapa kama familia kuomba msaada wa yeyote atakae weza fanikisha Mimi kupata ajira au kazi ya kuniingizia...
  20. JamiiForums Tanzania Fei Toto tafadhali ufanyie sana Kazi huu Ushauri wangu mzuri na nakuomba Usiupuuze kabisa

    Mdogo wangu Feisal Salum ( Fei Toto ) leo GENTAMYCINE nimeamua kukupa Ushauri wangu kama ambavyo pia nilimpa Mdogo wangu wa Kinondoni Biafra Jonas Mkude hakuufuata na sasa yamemkuta hadi anakwepa hata Kuonana nami. Fei Toto najua Sakata lako lote na labda leo niseme tu Ukweli kuwa Mpango...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…