kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. M

    JamiiForums Tanzania SoC03 Ukweli usemwe! Kijana usipojifunza kutafuta pesa umasikini ni rafiki yako

    Tunatumia pesa kila siku na tunahitajika kutafuta pesa kila siku usiruhusu siku ipite bila kutengeneza pesa,na njia pekee ya kutengeneza pesa nikujifunza kutengeneza pesa.naumia sana nikimuona kijana mwenzangu wasasa pamoja na fursa zote hizi zilizopo bado anashindwa kujipatia kipato chochote...
  2. Brightly

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi Civil Engineering

    Habarii ndugu zangu Watanzania,Mimi ni mhitimu wa stashahada ya uhandisi ujenzii (ordinary diploma in civil engineering) kutoka chuo Cha ufundi Arusha mwaka 2020.Natafuta kazi kwenye sekta binafsii au hata kama mtu anawezaa kujitolea kunipa connection serikalini Nitashukuru maisha mangumu mtaanii.
  3. A

    JamiiForums Tanzania Anahitajika Mdada mwenye Uzoefu na Kazi za Microfinance

    Husika na kichwa Cha habari hapo Juu, anahitajika Mdada mwenye Uzoefu na Kazi za Microfinance. Sifa awe na Elimu Diploma ya Finance, Business Administration or Marketing. Awe na uwezo wa kufanya kazi bila kuhitaji kusimamia, Awe na uwezo wa Kutumia computer programm eg Excell , access, or...
  4. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Nigeria: Rais Tinubu awafuta kazi viongozi Wakuu wa Taasisi za Usalama

    Waziri wa ulinzi, Mkuu wa Jeshi la Polisi, Washauri wao pamoja Kamishna Mkuu wa Forodha wamestaafishwa kwa lazima na Rais Bola Tinubu na nafasi zao kuchukuliwa na maafisa wapya Kwa muda mrefu Nigeria imekabiliana na wimbi la mashambulizi yanayosababishwa na makundi ya Jihadi na Magenge ya...
  5. kimbendengu

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Inadaiwa Joram Mbyella, mwanachama wa CHADEMA amekamatwa na watu wasiojulikana

    Leo majira ya Saa Tisa za Tanzania kijana mmoja aitwaye Joram Mbyella, na mwanachama wa chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) amekamatwa na watu wasiojulikana huko nyumbani kwake Kinondoni.
  6. T

    JamiiForums Tanzania SoC03 Mikataba ya kazi iwekwe kwenye lugha mbili

    Katiba ya nchi yetu inatambua lugha ya kiswahili kama lugha rasmi ya taifa la Tanzania, bado inashangaza sana kuona mikataba ya kazi inaandikwa kwa lugha ya kingereza tu, kwa kutumia jicho la kiupembunzi kupitia visa mafunzo kulingana na masuala ya mikataba suala la kuandaa mikataba liwe na...
  7. Josephkija1840

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya ualimu

    Natafuta kazi ya ualimu Elimu:stashahada(degree) masomo:mathematics and geography mawasiliano :0684785432 location:dar es salam
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kwa namna Watanzania masikini wanavyohangaika kupata chakula Rais Samia mfute kazi ya uwaziri Hussein Bashe

    Sasa hivi ni kipindi cha mavuno hasa ya mpunga lakini chakula kipo bei ya juu. Huyu waziri mwenye dhamana ya chakula amefeli Mahindi yanauzwa vijijini debe elfu ishirini. Waziri makini lazima angekuwa makini kulinda walaji wa ndani. Hata nchi kama Usa haiwezi kuexport chakula hovyo bila kuwa...
  9. Zekoddo

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa chuo, unatumia App gani katika kufanyia kazi zako za darasani

    Kama wewe ni Mwanafunzi wa chuo chochote nchini Tanzania, basi naomba tushare Application kabambe unayotumia katika kufanya kazi zako na inakurahisishia kiutendaji kazi.. mfano Assignments, Research na mambo mbalimbali... Maana kwa Sasa kumekuwa na App nyingi ambazo mwanafunzi anaweza kuingiza...
  10. African Geek

    JamiiForums Tanzania Kuna tofauti gani ya kati ya Elimu na Ujuzi?

    Nimekuwa nikijiuliza, hivi kuna utofauti gani kati ya Elimu na Ujuzi. Elimu ni nini? Ujuzi ni nini? Je, wanaoenda shuleni na vyuoni wanatafuta elimu au ujuzi. Kama wanatafuta elimu, je, elimu wanaitafutaje? Kwa kusoma vitabu na kukariri misamiati? Je, Daktari, Engineer, fundi seremala, Mvuvi...
  11. HaMachiach

    JamiiForums Tanzania Wajumbe waasi wa kamati ya utendaji taifa CWT wakimbilia Wizara ya Kazi

    Kama tulivyowaarifu jana tarehe 15 Juni 2023, kimeitishishwa kikao cha baraza la taifa cha dharura jijini Dodoma tarehe 18 Juni 2023 kati ya mengi ambayo yangejadiliwa ni pamoja na baadhi ya wajumbe wa kamati ya utendaji wa taifa kuvunja katiba na kuvuruga uongozi na chama kwa ujumla. Naibu...
  12. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania Habari nyeti na nasaha zangu kuhusu vijana watakaofanya kazi na DP World

    Vijana wa Kitanzania, Msione tabu au uvivu kukisoma kilichopo chini, ni kwa manufaa yenu na ya Tanzania kwa ujumla. Jana kuamkia leo ilibidi nifanye mawasiliano na Diaspora wa Tanzania waliopo Dubai. Nia na dhumuni ilikuwa ni kutafuta connection ya kuwatafutia vijana fursa za kazi ndani ya DP...
  13. Kasanzu The Great

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anachapa kazi ila hazitangazwi ipasavyo. Wasaidizi wa Rais fanyeni kazi ipasavyo

    Pesa ambayo Mama Samia meipeleka kwa wananchi tangu aingie madarakani ni pesa nyingi Sana. Amejenga madarasa, vituo vya afya, ameanzisha utaratibu Wa kupeleka mil 500 kila jimbo kwa ajili ya Maendeleo ya barabara, ameinua uchumi wetu, amerejesha siasa za ushindani na demokrasia, maslahi ya...
  14. Black Opal

    JamiiForums Tanzania SoC03 Viongozi wetu wanafanya kazi kwa weledi uliotukuka, tatizo ni sisi!

    Nawashangaa wanaopiga kelele; viongozi wetu wabadhirifu, wala rushwa, wanaingia mikataba isiyo ya maana kama enzi za ukoloni za kubadilisha dhahabu na vipande vya jiwe na kadhalika, tunawalaumu bure tu, kuwatwisha msalaba usiowahusu. Hivyo ndivyo walivyokuwa toka wakiwa wanaomba ridhaa ya...
  15. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Ndugu alisomeshwa sekondari hadi chuo na kusaidiwa kupata kazi kakata mawasiliano kabisa na familia iliyomsaidia na kumjali, ni sawa?

    Bamkubwa wangu aliweza kumsomesha ndugu yake aliekuja nyumbani kwake kutoka kijijini, aliweza kumsomesha form 1 hadi chuo na kumtaftia kazi. kijana huyo aliweza kupokelewa vizuri na kuwa sehemu ya familia, yani kuanzia bamkubwa, mke wake, watoto wao watano na wengine kwenye nyumba waliishi nae...
  16. kipara01

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi katika fani ya Kilimo

    Habari za wakati Wana JF, mimi ni muhitimu wa SUA katika FANI ya horticulture nipo natafuta nafasi ya kazi KATIKA FANI husika(kilimo) naishi mkoa wa songwe ila nipo tayari kufanya kazi mkoa wowote Tanzania Natanguliza shilukrani Napatikana kupitia email yangu: yitzhakedward@gmail.com
  17. M

    JamiiForums Tanzania Nina uhitaji sana wa nafasi ya kazi, nina uzoefu wa kazi katika Microfinances na NGO's

    Habari za leo wakuu. Lengo la kuandika uzi huu ni kuomba nafasi ya kazi. Nina uzoefu wa kazi katika Microfinances kama loan officer, Data clerk, pia katika NGO's kama social worker. Pia nina uwezo wa kufanya kazi hata kwenye field nyingine. Naomba mnisaidie connection katika kampuni au NGO's...
  18. StaceyD

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi Arusha

    Habari zenu Natafuta kazi ya ofisini lakini pia nipo tayari kufanya kazi yoyote halali,mimi ni mwanamke,naishi arusha,nina miaka 33, elimu yangu ni certificate of human resource. Natanguliza shukrani zangu.
  19. MtanzaniaMakini

    JamiiForums Tanzania Naomba kazi niweze kujikimu mimi na familia yangu

    Habari ndugu, Mimi ni mtumishi wa umma. Nimefukuzwa kazi na mwajiri wangu. Sikuafiki maamuzi kwakuwa nimeonewa nimekataa rufaa Tume. Najitokeza kwemu kuomba kazi ili niweze kuendesha Familia na kulipa kodi ya nyumba maana napitia magumu, sina biashara yoyote na mtaji ndomana natafuta kazi...
  20. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Tangazo la kazi, Bandari ya Dar es Salaam

    Karibuni.
Back
Top Bottom