kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. D

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu kazi ya ufundi cherehani (tailors)

    Habari yenu wakuu! Mimi ni kijana na miaka 20 nimeona nikajifunze ufundi cherehani(tailors) ili badae nijikim mahitaji yangu. Sasa lengo la kuja hapa naomba mawazo na ushauri wenu ladies and gentle man
  2. JamiiForums Tanzania Tunatengeneza Blog za kisasa pamoja na YouTube Channels. Malipo ni baada ya kazi

    Habari wakuu, endapo unahitaji blog nzuri kwaajili ya matumizi yako basi hapa umefika, tutakutengenezea blog yakisasa na kwa bei hizi; 1. Blog isiyo na custom domain name 10,000/= yaani address yake inakuwa hivi (jinakako.blogspot.com) 2. Blog + custom domain name 30,000/= yaani address yake...
  3. JamiiForums Tanzania Kwa wale wapenzi wa Calculus: Kazi bado inaendelea

    Mnaweza kukuta mnapitia baadhi ya maswali ambayo yalishakamilika kwenye attachment hizo hapo chini Pia yapo majibu ya maswali yote yaliyowahi kutajwa kwenye post hii hapa chini https://www.jamiiforums.com/threads/kwa-yule-aliyewahi-kutoa-maswali-haya-ya-hesabu-calculus.1463245/#post-44686544...
  4. JamiiForums Tanzania Serikali yatangaza nafasi za kazi 372 katika kada mbalimbali

    Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Makatibu Wakuu wa Wizara, Watendaji Wakuu wa Idara zinazojitegemea, Watendaji wakuu wa Mamlaka/Wakala za Serikali, Makatibu Tawala wa Mikoa, Wakurugenzi wa Halmashauri za Jiji/Manispaa/Miji na Wilaya anakaribisha maombi ya kazi...
  5. JamiiForums Tanzania Natafuta Kijana aliyesomea mambo ya Management, Dar es salaam

    Kwema Wakuu! Leo sina mengi ya kusema. Ninatafuta kijana awe wa kike au Wakiume aliyesomea mambo ya Management Kwa ngazi ya Shahada. 1. Awe na uzoefu walau Mwaka mmoja. 2. Elimu kuanzia Shahada moja. 3. Ajue kuongoza na kusimamia Watu. 4. Awe Dar es salaam Mahali; Dar es salaam Mshahara...
  6. JamiiForums Tanzania Sioni umuhimu wa kuendelea kuwa mamlaka ya vitambulisho taifa(NIDA) ifutwe tu! Imeshindwa kazi!

    Inasikitisha, kama si kuchekesha!. Hivi kweli tuko serious kama TAIFA!? Ama kila kitu kinafanywa kwa mazoea? TAIFA lenye watu zaidi ya watu mil 60, tunashindwa kitu kidogo kama hichi? Hii ni aibu! Ama huu ni mradi endelevu wa mkubwa fulani!? Mbona tunapiga sana kelele kuhusu mamlaka ya NIDA...
  7. JamiiForums Tanzania Ummy: Madaktari Bingwa kufanya kazi ya Kliniki binafsi katika Hospitali za umma baada ya saa za kazi sio jipya

    Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amesema suala la Madaktari Bingwa kufanya kazi ya Kliniki binafsi katika Hospitali za umma baada ya saa za kazi sio jipya na tayari linafanyika katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, JKCI, Ocean Road na Taasisi ya Mifupa MOI ambapo lilianza kutekelezwa zaidi ya...
  8. JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Halmashauri ya Buhigwe asimamishwa kazi kupisha Uchunguzi

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Angellah Kairuki amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa Halmashauri ya Buhigwe (DED) mkoani Kigoma, Essau Ngoloka kupisha uchunguzi. Mkurugenzi huyo amesimamishwa ikiwa ni siku chache zimepita tangu, Makamu wa Rais, Dk...
  9. JamiiForums Tanzania Usiku kama mchana tu, mnaopiga kazi usiku kulijenga taifa pokeeni maua yenu

    Wale ambao usiku hatulali kama popo ambao kwetu usiku ni kama mchana tu tujuane hapa, Mimi napiga mishe zangu usiku yaani full kuingiza maokoto, wakati wengine wamelala mie napiga mzigo huku naperuzi zangu Jamiiforums inipe kampani. Njoo tupige stori kuusindikiza usiku wetu
  10. JamiiForums Tanzania SoC03 Uongozi Bora: Kazi ya Moyo Inayogusa Roho za Watu na Kuendeleza Taifa

    UONGOZI BORA: KAZI YA MOYO INAYOGUSA ROHO ZA WATU NA KUENDELEZA TAIFA Imeandikwa na: MwlRCT UTANGULIZI Uongozi bora ni kazi ya moyo inayogusa roho za watu na kuendeleza taifa. Uongozi bora unahitaji kuweka maslahi ya watu na maendeleo ya taifa mbele katika maamuzi na hatua zake. Uongozi bora...
  11. JamiiForums Tanzania Tuisheni ya Kitabibu.Madaktari wa Serikali Tanzania Wameruhisiwa kufanya kazi binafsi ndani ya Hospitali za Serikali?

    Mheshimiwa Waziri Ummy Mwalimu; Nakuelewa sana as person and as a woman na unajitahidi sana kufanya kazi ila kwa hili ambalo wanasema Umeruhusu Sasa Madaktari wafanye "Tuition ya Kitabibu" Kwa kweli hiki ni Kituko PRO MAX. Hata kama lengo ni kututoa kwenye Mjada wa DP world Basii SISI tunahisi...
  12. JamiiForums Tanzania Kwanini Erick Hamissi alifutwa kazi bandarini?

    Duru za kweli zinatabanaisha aliyekuwa boss wa Mamlaka ya BANDARI alifutwa kazi kwa sababu zilizodaiwa kutoonyesha ushirikiano na wawekezaji kule Dubai alipokuwa ameambatana na ujumbe wa Rais. Jamaa walidai hawaonyeshwi ushirikiano wa haja na boss wa TPA kwa waziri na hazikupita siku mbili...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Maoni Yangu Kwenye Tume ya Haki Jinai Juu ya Takukuru

    Maoni yangu kwenye tume ya haki jinai juu ya Takukuru Tumekuwa tukishuhudia ziara za Viongozi wakubwa, mawaziri au wakuu wa mikoa wakiibua madudu ktk miradi ya serikali na kuagiza Takukuru wafanye uchunguzi!! Swali langu : Hivi kwanini Takukuru hawafanyi kuchunguza jambo mpk wapewe maagizo ...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Habari mimi ni kijana wa miaka 24 nimemaliza chuo mwaka huu natafuta kazi yoyote halali ya kuniwezesha kupata kipato. Mf. Kuuza duka/ supermarket, kuwa cashier, kupokea wageni au kufundisha watoto wadogo. Napatikana Dar es salaam Mawasiliano; 0762408926
  15. JamiiForums Tanzania Mwarabu mwingine apewa mkataba wa kufanya utafiti, kazi ambayo ingefanywa na wataalamu wetu

    Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) na kampuni ya TAQA ya nchini Misri wamefikia makubaliano ya kushirikiana katika kufanya utafiti na kuangalia masoko ya gesi asilia katika Mkoa wa Dar es Salaam. Akizungumza katika hafla hiyo Mkurugenzi wa Idara ya Biashara ya Mafuta na Gesi kutoka...
  16. JamiiForums Tanzania Nina shahada ya Kilimo, natafuta kazi

    Habari wana JF, natafuta kazi. Nina degree ya horticulture nimeipata chuo Cha SUA. Umri: Miaka 25 Experience: 1 year Jinsia: Me Mkoa: Mbeya Pia Nina uzoefu na ujuzi mkubwa wa computer yaani software maintenance na kutumia application (Microsoft office"excell, word, publisher", Photoshop )
  17. JamiiForums Tanzania Wekeni mambo wazi, ujenzi wa Ikulu Chamwino ni kazi nzuri ya hayati Magufuli, angekuwepo hata bandari ingeendelezwa na JKT bila DP World

    Miundo mbinu ya bandari ni cranes, na kuwa na gati za kisasa. Hili halihitaji mwarabu kupewa kwa nguvu hata JKT wangepata utalaamu kutoka China wqngefunga cranes za kisasa na kuwezesha ufanisi. Hii ya Ikulu Chamwino msitie Chumvi za uongo aliyepambana ni hayati. Vinginevyo wangejenga hata...
  18. JamiiForums Tanzania Waziri Mhagama Akabidhi Vitendea Kazi Kwa Watendaji wa CCM Peramiho

    WAZIRI MHAGAMA AKABIDHI VITENDEA KAZI KWA WATENDAJI WA CHAMA (CCM) PERAMIHO Watendaji wa Chama Cha Mapinduzi Jimbo la Peramiho wamehimizwa Kuendelea kushirikiana katika kusimamia utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi na kuhakikisha Miradi ya maendeleo inafanikiwa na kutoa huduma sawa sawa kwa...
  19. JamiiForums Tanzania Ni ipi kazi ya shanga kwenye mahusiano?

    Kutokana na utandawazi, karibia robo tatu ya warembo kwa nyakati hizi huwa wanavaa shanga kiunoni au ata miguuni; wao wanaita urembo. Ingawa wao wanavaa wakiamini, huwa zinawapendezesha na pia uwavutia wapenzi wao pale wanapokuwa au wanapohitaji kuwa kwenye mahusiano. Mara nyingi warembo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…