kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. JamiiForums Tanzania Nahitaji kijana mzoefu wa biashara ya kuuza juice ya miwa

    Kwema wazee, natafta kijana mzoefu wa biashara ya kuuza juice ya miwa awe na sifa zifuatazo Chini ya Umri wa miaka 25 Awe mzoefu wa biashara ya juice ya miwa hasa eneo la Kariakoo na Mbagala Awe na ujuzi wa kuifanyia service mashine Awe ameshapoint eneo la kufanyia kazi lenye mzunguko mzuri ...
  2. JamiiForums Tanzania Ungeweza kuchagua kazi yoyote hapa duniani ungetamani kufanya kazi gani?

    Wakuu kwema? Kama ungepewa nafasi ya kuchagua kazi yoyote hapa duniani ungependa kufanya kazi gani? Haijalishi ina hela au lah, lakini kazi hiyo inakupa amani ya moyo na furaha na unaona ungekuwa unafanya hiyo yaani utakuwa na furaha maisha yako yote, ungependa kufanya nini? Mi napenda sana...
  3. JamiiForums Tanzania Akina Jemedari wamenawishwa kazi ya uwakala wa wachezaji

    Watafute kazi walizokuwa na ujuzi nazo. Baada FIFA na TFF kutaka wachezaji wasimamiwe na mawakala (agent) badala ya meneja asiekuwa na weledi wa kusimamia wachezaji. Hii imekata ngede kwa machawa wa wachezaji, watafute kazi nyingine.
  4. JamiiForums Tanzania SoC03 Uwajibikaji mahali pa kazi

    HABARI WADAU Natumai mu wazima, nimefurahia kujitokeza tena kwenye kinyang'anyiro cha shindano hili hapa jukwaani. Nijikite kwenye mada tajwa hapo juu isemayo: "Uwajibikaji mahali pa kazi hulete chachu ya maendeleo na kukua kwa uchumi kwa jamii inayotuzunguka na eneo uliilopo na hata kwa mtu...
  5. JamiiForums Tanzania Gaming Desktop Kwa kazi zote ngumu

    Asus Rog STRIX Z390-F Customized Gaming Desktop Core i7 9th Generation SSD 512GB+HDD 3TB RGB RAM 16GB DDR4 CPU 3.20 GHz 8 Threads RTX 2060 Super 8GB Power Supply Modular 600W Wi-fi Adapter 5 RGB FAN Hii Mashine ni nzuri kwa kazi zote ngumu.πŸ‘‡πŸΎ Rendering βœ… Video Production βœ… Graphics Designβœ…...
  6. JamiiForums Tanzania Website developer (wordpress developer) Natafuta Kazi

    Habari wanajf, Husika na kichwa cha habari hapo juu, Mimi ni self taught web/wordpress developer Natafuta kazi kama website/wordpress developer Niko tayari kufanya kama freelancer,part time, remote au full time. Kama unamjua mtu yeyote mwenye connection ya kazi, au unaijua web development...
  7. JamiiForums Tanzania Je utendaji kazi wao unafanana na mikoa waliyopangiwa!!!!

    1.Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida, Stella Mutabihirwa. 2.Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Berthaneema Mlay. 3. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Kamishina Msaidizi wa Polisi ACP, Safia Jongo. 4. kamanda wa polisi mkoa wa Rukwa, Theopista- kamanda wa polisi mkoa wa Songwe. 5. Kamanda...
  8. JamiiForums Tanzania Hebu tusemezane: Ulianza kazi mwaka gani na mshahara wako wa kwanza ulikuwa kiasi gani?

    Nimejikuta nawaza tu.... Binafsi ajira yangu ya kwanza ilikua mwaka 2000, na mshahara wangu ulikua 115,000Tsh. Nakumbuka nilikua nimemzidi babayangu mshahara na alishangaa sana.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Mtumishi wa Umma akikaa kituo kimoja anazoe kazi

    Mara nyingi tumekuwa tukisikia habari kutoka kwa wenye dhamana mbali mbali na wananchi wa kawaida kuwa mtumishi wa umma, hakimu, bwana shamba, mwalimu, askari polisi(wanainteract sana hawa na wananchi). Afisa Mtendaji Kata au Kijiji au Mtaa n.k akikaa kituo kimoja kwa muda mrefu ufanisi wa...
  10. R

    JamiiForums Tanzania KWELI Kovu la begani ni ishara Muhimu ya kutambua ufanisi wa chanjo ya Kifua Kikuu

    Wakuu, Tulikuwa tunapiga stori kijiweni wakasema kama huna kovu la ndui kwenye bega la mkono wa kulia basi ujue chanjo hiyo haijafanya kazi. Kwahiyo sisi ambao hatuna hilo kovu ndio inamaanisha chanjo iligoma kufanya kazi au? Hii ni kweli, au maneno tu ya mtaani? Maana sioni kabisa uhusiano...
  11. P

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi ya udereva wa pikipiki (2)

    VIGEZO 1. Uzeofu wa miaka 1-5, Ajue aina zote za pikipiki. 2. Cheti cha ujuzi. 3. Leseni ya udereva. muhimu kuzingatia 4. Awe mwepesi kwenye mawasiliano. 5. Umri usiopungua miaka 25 -35 6. Wadhamini wanatakiwa watatu. ZINGATIA Tafadhali wasilisha barua ya maombi ya kazi na nyaraka ya...
  12. JamiiForums Tanzania Malumbano kuhusu bandari na uwekezaji utakaofanywa na DP yametosha. Tufunge mjadala, tuchape kazi

    Tuchapeni kazi, serekali yetu sikivu imesikia inafanyia kazi kwa umakini mkubwa maoni yote. Tufunge sasa mjadala huu imetosha, tunachelewa sana kwa mijadala isiyokwisha na ambayo pengine inaweza kuhatarisha Utaifa na umoja wetu watanzania kwani hata maadui wa Taifa wanaweza kupitia mlango huu...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya Houseboy

    Wakuu natafuta kazi ya Houseboy au kibarua chochote. Nipo tayari kwa mshahara kuanzia laki 1 (malazi na chakula juu ya boss). Kazi nazoweza kufanya usafi wote, kutunza bustani na garden, kulisha kuku au nguruwe, kuosha magari pia kuuza maduka nina uzoefu. Hivyo naomba yoyote aliye tayari...
  14. P

    JamiiForums Tanzania Msaada kupata mafao NSSF baada ya kuachishwa kazi

    Jamani naomba msaada kwa anaeelewa kuhusu mafao ya NSSF. Mimi nimewahi kuajiriwa kama professional na baada ya mkataba nilifungua madai NSSF nikalipwa kwa mfumo wa 33.3% ya mshahara wangu kwa muda wa miezi 6 then muda ukapita nikiwa napambana na maisha. Baada ya muda nikapata kazi ambayo si...
  15. JamiiForums Tanzania Kazi na sala: Bruno Gomes wa Singida Fountain atoa mafunzo ya dini

    π™†π˜Όπ™•π™„ π™‰π˜Ό π™Žπ˜Όπ™‡π˜Ό πŸ™πŸΏ Nyota wa Klabu ya Singida Fountain Gate,Bruno Gomes πŸ‡§πŸ‡· amekuwa akitumia mda huu wa Likizo kutoa mafundisho/mahubiri ya kidini kwenye mikutano mbalimbali ya kidini huko kwao Brazil πŸ‡§πŸ‡·. Hongera sana @bruno_barroso97 🀝
  16. JamiiForums Tanzania Changamoto za kufanya kazi na Mtu anayekaribia kustaafu kwa heshima

    Nawasalimu, Twende kwenye mada. Kuna mzee wangu tumefanya kazi poa sana Three years back. Amebakisha 1 year, 3 Months kustaafu rasmi utumishi. Imekuwa changamoto sana kufanya nae kazi kipindi hiki, anaonekana mtu mwenye mawazo sana, na kugeuka kuwa mkosoaji wa kila kitu tunachofanya...
  17. E

    JamiiForums Tanzania Hivi aliyeshindwa kusimamia bandari zetu aachishwe kazi au alete mwingine

    ninasikiliza mambo ambayo serikali na chama wanasema juu ya bandari najiuliza mambo mengi lakini kubwa sijui kama hawa watu wanaelewa maana ya kuongoza serikali ni nini yaani umeewa bandari unatuambia bandari inakusanya bilioni 700 na serikali inaata bilioni tatu, sekita binafsi sisi kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli aliona bora awavalie miwani ya mbao afanye kazi, wapinzani wakamuita ni dikteta, Rais Samia piga kazi tusizidi kuchelewa

    Friends and Enemies, JPM Marehem, alikuwa ana Msemo wake pendwa ''Turichereweshwa Sana'' na hawa wanaojiita wanademokrasia na watetezi wa Haki za binadamu,nakumbuka pia katika suala la mradi wa bwawa la Nyerere alizungumza pia kuwananga wale waliokawa wanampinga katika mradi ule Kwa hoja ya...
  19. JamiiForums Tanzania Ulivyokuwa mdogo ulikuwa na ndoto ya kuja kufanya kazi gani?

    Leo nimekumbuka kipindi nipo mdogo nilikua na ndoto ya kuja kua Miss Tanzania. Akili yangu yote ilikua inajua Miss Tanzania ni kazi kama daktari, mwanasheria, mwalimu au kazi zingine. Nilivyofika form 1 ndo nikajua kumbe sio kama nilivyodhani, hapo nikapata mawazo ya kua mwanauchumi mpaka sasa...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu kazi ya ufundi cherehani (tailors)

    Habari yenu wakuu! Mimi ni kijana na miaka 20 nimeona nikajifunze ufundi cherehani(tailors) ili badae nijikim mahitaji yangu. Sasa lengo la kuja hapa naomba mawazo na ushauri wenu ladies and gentle man
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…